Search results

  1. Nguvu ya Hoja

    CHADEMA imevuna mawaziri zaidi ya 8 kutoka CCM na Katibu Mkuu mmoja hadi sasa; Je, orodha itaongezeka au itapungua?

    Kwa nini Mkuu? Si wanaruhusiwa kufanya siasa baada ya kustaafu au?
  2. Nguvu ya Hoja

    Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire ashikiliwa na Polisi kwa amri ya RC John Mongella

    Sijui chochote kuhusu ufisadi wa kiwanda hicho,ila nawafahamu vizuri sana Bwire na Kibamba,bahati nzuri nimewafahamu kwa miaka mingi kabla hawajapta hizo nyadhifa zao. Kwa ufahamu wa historia zao Bwire ni FISADI wa kutupwa na Kibamba ni mwanasheria makini sio fisadi. Japo binadamu tuna tabia ya...
  3. Nguvu ya Hoja

    CHADEMA imevuna mawaziri zaidi ya 8 kutoka CCM na Katibu Mkuu mmoja hadi sasa; Je, orodha itaongezeka au itapungua?

    Baada ya Mhe.Lazaro Nyarandu kuachana na CCM na kuomba kujiunga na Chadema,nimejaribu kukumbuka idadi ya mawaziri wakuu,mawaziri,manaibu waziri ambao wamehamia Chadema,kwa haraka nimepata idadi ipatayo nane akiwemo Lowassa,Sumaye,Kingunge,Ntagazwa,Makongoro,Lau Masha,Ole Medeye(baadaye alihamia...
  4. Nguvu ya Hoja

    Mhe. Rais Magufuli na mhe. Tundu Lissu wanaongea lugha moja kwa lafudhi tofautii

    Baada ya malipo ya 'dola bilioni 700' (Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Ikulu) Mchanga uliokamatwa bandarini ni wa kwetu au wakwao?
  5. Nguvu ya Hoja

    Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

    Sio yeye tu aliyefukuzwa,wamo pia wabunge wenzake watatu wa majimbo na wenyeviti wawili wa CCM kutoka kanda ya ziwa.Membe na Kikwete Mkubwa na mdogo, wameponea tundu la sindano. Kinana kasusa.
  6. Nguvu ya Hoja

    Mhe. Rais Magufuli na mhe. Tundu Lissu wanaongea lugha moja kwa lafudhi tofautii

    Hata mimi mawazo yangu ni kama yako,sioni ni wapi wanapopingana!!!!
  7. Nguvu ya Hoja

    Mhe. Rais Magufuli na mhe. Tundu Lissu wanaongea lugha moja kwa lafudhi tofautii

    Kwa vile wamepewa na sheria na mikataba ya nyuma haiguswi bado ni mali yao.
  8. Nguvu ya Hoja

    Mzee Mkapa yuko wapi?

    Atakuwa Chato kuanzia Jumapili hadi Jumatatu,ni mgeni wa mhe.JPM
  9. Nguvu ya Hoja

    Mhe. Rais Magufuli na mhe. Tundu Lissu wanaongea lugha moja kwa lafudhi tofautii

    Wote waongea kwa hisia kali ila kwa jambo hilohilo,sijaona wapi wanapopingana!!!
  10. Nguvu ya Hoja

    Mhe. Rais Magufuli na mhe. Tundu Lissu wanaongea lugha moja kwa lafudhi tofautii

    Kwani kuna lipi ambalo Mhe. JPM ametofautina kimantiki na TL hadi nishambuliwe?
  11. Nguvu ya Hoja

    Mhe. Rais Magufuli na mhe. Tundu Lissu wanaongea lugha moja kwa lafudhi tofautii

    Tangu kuibuka kwa suala la mchanga dhahabu kumekuwepo na maneno mengi na majibizano tofauti ambayo yalichukua mkondo wakisiasa. Ila katika yote nimegundua kuwa Pande mbili zilizokuwa zikiongozwa na mhe. Rais wa JMT kwa upande mmoja na Rais wa TLS kwa upande mwingine,sasa wote wanongea lugha...
  12. Nguvu ya Hoja

    Mzee Mkapa yuko wapi?

    Ukimuhitaji nenda Chato Jumapili tarehe 9/07/2017, atakuwa nyumbani kwa mheshimiwa JPM,ataongozana na balozi wa Japan. Watakuwep hadi Jumatatu.
  13. Nguvu ya Hoja

    Maalim Seif Shariff amtembelea Askofu Gwajima, amshitaki Prof. Lipumba

    Kwani Lipumba nye amekula maharage?
  14. Nguvu ya Hoja

    Maalim Seif Shariff amtembelea Askofu Gwajima, amshitaki Prof. Lipumba

    Nimeona hata kule kwenye instagram ya @bishopgwajima wamepost mapokezi ya Maalim Seif...
  15. Nguvu ya Hoja

    Leo Serikali inatarajia kutoa Orodha ndefu ya Majina ya waliotengeneza vyeti fake

    Huyu ana astashahda aliyoichukua kwa kutumia elimu yake ya darasa la saba,kwa vile anamudu kazi angerejeshwa kwenye elimu yake.Ttamaa ya kupata elimu ya stashahada ndiyo imemponza.Tayari amevuka darasa la saba.
Back
Top Bottom