Search results

  1. LeopoldByongje

    Mliosikiliza cd ya askofu mpemba tujulisheni ina uchochezi gani?

    Katika Kitabu Cha Quar'ani, Mwenyezi Mungu anaposema anatumia wingi ona Na hatukumtuma Mtume ila kwa ulimi wa kaumu yake ili apate kuwabainishia. Basi Mwenyezi Mungu humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa amtakaye. Naye ni Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima 14:4. Na tulimtuma Musa pamoja...
  2. LeopoldByongje

    Mliosikiliza cd ya askofu mpemba tujulisheni ina uchochezi gani?

    Mathayo: 28:18-20: Yesu akawajia na kusema, "Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. Kwa sababu hii, enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika...
  3. LeopoldByongje

    Mkurugenzi wa zamani wa TANESCO (Mhando) atapeliwa magari 5

    IMEANDIKWA Marko 26:52 "...........................kwa maana wotewatumiao upanga watakufa kwa upanga."!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. LeopoldByongje

    Mliosikiliza cd ya askofu mpemba tujulisheni ina uchochezi gani?

    Njiwa wrote: hakuna mahala yesu alipokiri na kusema "mimi ni mungu" YESU AMETAMKA MARA NYINGI NDANI YA BIBLIA KUWA NI MUNGU (Katika ushirika na Mungu Baba) Soma Kwa mfano YOHANA 17: 1-11 “Baba, saa imewadia, umtukuze Mwanao, ili Mwanao apate kukutukuza Wewe. Kwa kuwa umempa mamlaka juu ya wote...
  5. LeopoldByongje

    Gari Moshi (Train) zaanza safari jijini Dar es Salaam!

    Mradi huu ni nia njema ya watu kama akina Mwakyembe. A True son of the land.BIG UP HARRI-SON (Harison Mwakyembe) !!!!!!!!! Lakini ubinafsi wa Wabongo utauua mradi huu. Hata hao wanaoitwa private operator je wapo ambao ni credible na wanajua viwango? Mimi sidhani kama wapo. Kazi kweli kweli.
  6. LeopoldByongje

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    Shibe siku zote ina tabia ya kumuumiza aliyeshiba. Naona mnamshabikia Lema eti mpiganaji!!!!!!!. Hii ni kwa kuwa mmeshibaa Amani. Siku amani itakapotoweka kuirejesha haitawezekana. Sikio la kufa halisikii dawa. Nawataka tafakari kauli zenu. Mnaweza kuwa mnadai haki lakini fanyeni kwa njia au...
  7. LeopoldByongje

    Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

    Hii ni nadharia mpya ambayo inahitaji kufanyiwa utafiti ili kuthibitisha tafsiri hiyo. Nahisi Sample size iliyotumika ni ndogo sana kutoa a meaningful interpretation.
  8. LeopoldByongje

    Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

    Hii ni nadharia mpya ambayo inahitaji kufanyiwa utafiti ili kuthibitisha tafsiri hiyo. Nahis Sample size iliyotumika ni ndogo kutoa meaningful inteprretation.
  9. LeopoldByongje

    Msaada wajameni-Hamu ya kutamani Mke wa Mtu....

    Chunga sana. Wake za watu kaa mbali sana nao. Usiendekeze kutamani bila fikra. Jitambue na chukua hatua kurekebisha tabia hiyo. Mbona wasio na wenza wapo kibao!!! kwa nini usihangaike nao?
  10. LeopoldByongje

    ETI CCM haya yanayotabiriwa yatawezekana?

    <IMG id=vbattach_53728 class=previewthumb alt="" src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=53728&amp;stc=1" attachmentid="53728">
  11. LeopoldByongje

    Msimamizi wa uchaguzi Arumeru anastahili

    Bw. Kagenzi ni msimamia Haki. Baada ya Uchaguzi wa Tarime; Kagenzi alizushiwa kesi na kusimamishwa kazi. Mahakama ilimrejesha kazini. Baadaye akahamishiwa Arusha. Sasa sijui itakuwaje kwa kosa hili la kutangaza CDM washindi. Tumuombee Mungu amzidishie ujasiri.
  12. LeopoldByongje

    Nyoka na fimbo kwenye Noti ya Tsh 500 ina Maana gani? BoT yatoa ufafanuzi

    Alama ya Nyoka ni alama inayotumika kimataifa kumaanisha masuala ya Tiba. Ndivyo ilivyo kwenye nembo ya Shirika la Afya la Umoja (WHO) na utaikuta katika vituo vya tiba duniani kote. Alama za Freemansons zipo nyingi na Hazina nyoka!!!!!!!!!!!!!! Ebu angalia Note hiyo ya USA na...
  13. LeopoldByongje

    Alfred Ngotezi hatunaye tena

    You were sharp and forward looking person. I will miss you. RIP Alfred.
  14. LeopoldByongje

    Hungry rooster!!!!!!!!!!!!!!

    A Rolls Royce pulls up in front of a really expensive restaurant and a really rich sheik gets out from it followed by a harem of women, and a rooster. The "party" is escorted to a table and given a menu. When time to order the sheik orders for himself and the harem, and also asks for a basket...
  15. LeopoldByongje

    Swali lisilojibiwa: Ndege ya Qatar iliwezaje kutua KIA?

    Tanzania itajengwa na wenye MOYO na inaliwa na wenye MENO>>>>>>>>>>>>>>>>>>
  16. LeopoldByongje

    Imagine A World Without Women

    It is crazy. isn't??? Look at this. Can you imagine a world without women?!!!. Valentine's Day and Mother's Day would no longer hold any meaning. The world would have less pink--less laughter--less creativity--simply less.... Look at this.. " I was given birth by a woman--I am married to a...
  17. LeopoldByongje

    First lady wa USA (Michelle Obama) atimua Mbio. Kulikoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    This is quite a challenge on African first ladies........watch them how they keep fit Would any other First Lady have chanced it? the USA First lady looking GOOD, ready for some football!!!!!!!!! That's NFL Commissioner..,Roger Goodell and former NFL Coach of the Year, Tony Dungy...
  18. LeopoldByongje

    What is the swahili word for "Motto"?

    Kiswahili cha Maneno haya ni: Motto - Kauli mbiu Mission statement - Dhima vision statement - Dira
  19. LeopoldByongje

    Kauli ya Mkurugenzi LHRC kuhusu Osama ina utata

    Ukuu wake wa kituo cha haki za Binadamu na uumini wake katika haki za binadamu vinasigana. Hivyo ninachoweza kuona kwa haraka ni kuwa ukuu wake huo ni kwa ajira si uumini wake katikahaki za binadamu bali Huyo anaganga njaa. Msamehe tu
  20. LeopoldByongje

    Je unazijua sura za wanaume?

    Hii Ya leo kali. Mimi simo. Najiweka pembeni.
Back
Top Bottom