Search results

  1. J

    Samsung galaxy Note ya 300,000 nataka

    tutafutane mwenye Samsung galaxy Note yoyote chini ya 300 vyuma vina grease... +255623678056
  2. J

    Plan ya kununua wanasiasa kutoka upande fulani pamoja na ile ya kuwahonga vyeo ikifeli, watakuja na plan gani?

    “Lowassa kaomba kurudi CCM, alichonituma kwa JPM ni hiki” – Mrisho Gambo – millardayo.com
  3. J

    Wanawake mnawachukuliaje wanaume waliowatoa bikira?

    hahaha basi ulikuwa na dushelele kubwa so umewaachia shimo kubwa watu wengine wakienda wana pwaya. lazima wakutafute
  4. J

    Siasa ya Tanzania kama bifu ya Diamond na Kiba

    kweli vija wanaumiza kichwa sana
  5. J

    Siasa ya Tanzania kama bifu ya Diamond na Kiba

    Naandika haya nikiwa kama mtu wa kati. Inasikitisha sana kuona watu tunakosa uzalendo na kuendekeza uchama, sio CCM, CHADEMA, CUF wala act. Serikali na vyama pinzani sana ni maadui lengo la kusukuma nchi iende mbele hakuna tena. Huyu anamkandamiza huyu huyu anamchafua huyu. Tunaonekana vituko...
  6. J

    Rais Magufuli: Kwenye vita huwezi kuwa msaliti, halafu ukawa una-survive tu

    mmeelewa vibaya vijana kasema wasaliti kwenye vita ya uchumi huwa wana survive...
  7. J

    Kibiti: Kamanda Sirro, Angalau Tunaweza Kusema Kazi Ndo Umeikamilisha.

    acha bangi ww, kwani jamii form mbona watu binafsi huwa wana post hizo ishu zikitokea kabla hata ya vyonbo vya habari. inamaana hata wananchi wamefungiwa! mtu akifa watu watajua labda afe sisimizi. acha kukurupuka...
  8. J

    Nahitaji line za tigopesa, airtelmoney, mpesa

    tuchekiane kama unazo hizo line pesa ipo mkononi
  9. J

    Ziara Ya Rais Magufuli Pwani: Yaliyojiri kutoka Viwanja Vya Bwawani Kibaha Mjini

    Ukimsikiliza maneno yake utaona jinsi alivyo mzalendo. na matendo yake ndo yanakamilisha kuwa kama mzee wetu Nyerere. tunamuombea mungu amlinde na kumuongoza.
  10. J

    Ndege ya tatu aina ya Bombardier Kuwasili nchini Mwezi huu

    wapingapi maendeleo mwaka huu mtajuta... mnaongea tu maneno ya kupotosha watu. ndege zinaruka fresh kabisa. hamna ndege mbovu. mimi ni eye witness apa airport...
  11. J

    Lijuakali: Ndege moja tayari hairuki ni mbovu sababu ya one man show

    kweli elimu muhimu sana. uzuri mm nipo sekta ya mambo ya anga, ndege mpya mbili zilizonunuliwa zinafanya kazi kama kawaida na mda huu naandika ndo inaenda kuruka. cku chache zilizopita ilienda kenya kufanyiwa servic. ilikaa cku kadhaa ni mambo ya kawaida tu, hata cc tuna ndege zetu zikifika mda...
  12. J

    Tataka gari kwa kulipa taratibu

    hahaha sawa wakishua
  13. J

    Tataka gari kwa kulipa taratibu

    karibuni wadau
  14. J

    Tataka gari kwa kulipa taratibu

    iko poa njoo inbox
  15. J

    Tataka gari kwa kulipa taratibu

    vyovyote vile ilimladi gari ipatikane
  16. J

    Tataka gari kwa kulipa taratibu

    Kwa aliye teayari kuuza gari yake kwa malipo ya taratibu anakaribishwa, yeyote mwenye gari ndogo ndogo vits, passo, stalet n.k tuwasiliane.
  17. J

    Kupwaya kwa vipindi Clouds tv

    clouds wapo ki maslahi zaidi. sipendagi vitu vya namna hii
  18. J

    Taarifa za kukanusha tuhuma za audio inayosambazwa ikumhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

    we huna akili kabisa... sauti hazifanani hata kidogo unatuletea humu. umetumwa wewe. usiwe na akili fupi kama hujasoma we huna akili kabisa... sauti hazifanani hata kidogo unatuletea humu. umetumwa wewe. usiwe na akili fupi kama hujasoma
  19. J

    Dada anatafuta kazi

    hahahaha kweli ndugu
Back
Top Bottom