Search results

  1. K

    Kichomi ni nini? Husababishwa na nini? Na tiba yake ni ipi?

    Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na kichomi na nimeshatumia dawa nyingi sana za hospitali lakini bado tatizo liko pale pale. Naomba mnisaidie dawa itakayonisaidia kuondokana na tatizo hili.
  2. K

    Padri Hauawi, Hata Sheikh Pia...!

    Nasikitishwa sana na hukumu zinazotolewa dhidi ya Waislamu. Mtu anaweza kuuwawa kwa mambo mengi sana, hata kama akiwa ni mcha Mungu wa kiasi gani. Si lazima Padri auwawe na WAISLAMU au SHEIKH auwawe na WAKRISTO. TUTAFAKARI KWA KINA JUU YA HAYA.
  3. K

    Gharama kubwa za nini kutangaza matokeo ya sensa?

    Leo nimeshangazwa sana kuona Gharama kubwa zikitumika katika kutangaza matokeo ya Sensa ambapo tayari gharama kubwa zaidi zilishatumika katika kuyaandaa. Kwani wangeamua kuyatangaza matokeo hayo kwa kutumia PRESS CONFERENCE ingewagharimu kitu gani? Huu ni utumiaji mbovu wa fedha za walipa kodi...
  4. K

    Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    Kaka Elungata mbona ni mgumu kuamini? Si lazima habari uione wewe. Ukweli ni kwamba ITV wametangaza habari hiyo. Na kuhusu Farouk Karim yeye ndiye aliyeripoti kupitia Radio One. Poleni sana Wa-Catholic wote nchini.
  5. K

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Tukitulia tutawajua Members wote wa CHADEMA MASALIA walioanzisha PM7.
  6. K

    Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

    Zitto tafuta shahidi mwingine,huyu hajajipanga.
  7. K

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Siamini kabisa hizi sarakasi zinazoendelea CHADEMA...Mbona mnataka kumpa umaarufu Wassira?
  8. K

    Mkenya mwenye diploma anaajiri mtanzania mwenye degree au masters...hii imekaaje

    Cha ajabu ni nini? Mbona Joshua Nassari anaongoza watu wenye elimu kubwa Jimboni kwake? Acha mawazo mgando.
  9. K

    Kibanda: Kinana ni Kimbunga

    Kama unafanya kikao kuanzia mwanzo hadi mwisho bila ya mtu hata mmoja kupinga au kuchallenge mawazo yako, basi ujue kuna tatizo. Huwezi kujua madhaifu yako kama hutaki kukosolewa...WENYE HEKIMA WAMENIELEWA.
  10. K

    Mulugo shame on you, umeongopa kwenye media: Na jibu hizi kashfa sasa hapa ndani

    Hizi tuhuma ni tosha kabisa kumuadabisha Mulugo-ila zipo mahala ambapo sio sahihi. Ila ni vyema pia kama tutajifunza namna ya kufichua maovu maana mtoa mada anajua kabisa kwamba Mulugo alinunua kadi za CCM lakini akakaa kimya hadi leo Taifa linaaibika ndo analeta ushahidi wake...Tuwe wazalendo...
  11. K

    Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

    Huyu anayedai Mishahara ni katibu wa Magamba au anacheo gani CCM? Masuala ya Mishahara ya CCM cc yanatuhusu nini?
  12. K

    Kwa Wasiojua Kufunga Tai

    Ahsante kwa kunitoa tongotongo...
  13. K

    Ijumaa iwe siku ya mapumziko: Nini ushauri wako?

    Dini kwenye nchi hii si tatizo, tatizo ni sisi tunaojadadili dini. Thread imejadili mambo mengi sana kutoka kwa wachangiaji mdahalo wa mabadiliko ya Katiba, lakini mtoa mada sijui alitumia kigezo gani kuchagua heading ya UDINI...Nani ni mdini kati ya Mtoa mada na Mtoa maoni ya madiliko ya...
  14. K

    Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

    Liko wapi tatizo la Msikiti ndani ya Shule ya Bagamoyo? Nani asiyejua kwamba PUGU SEKONDARI kuna kanisa kubwa la Roma? Mbona MARA Sekondari kuna Kanisa Kubwa la ROMA lakini hakuna Msikiti? Je umeshawahi kusikia mgogoro toka katika Shule hizi za Serikali. MISIKITI na MAKANISA kwenye Shule za...
  15. K

    Uzinduzi jiji la Arusha Joshua Nassari aleta taharuki!

    Aliyeshangiliwa na aliyeandika Post wanaakili zinazofanana.....Protocal imevunjwa halafu unashangilia? Kuwa upinzani haimaanishi kuwa kinyume na kila kitu TAFAKARI...
  16. K

    Gazeti RAI laishambulia CHADEMA

    Hivi CDM haipaswi kuhojiwa,kukosolewa au kushauriwa? Bila ya kukikosoa Chama kitajijengaje? Kama tukiamini kwamba kila kinachofanywa na CDM ni sahihi tutakua hatukisaidii Chama kujijenga bali tutakuwa tunakiangamiza. Au mnataka tuamini zile kauli za 'ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA...
  17. K

    Kwa watu wa mkoa wa Mara

    Habari zenu ndugu zangu wa MARA. Mimi si wa mkoa wenu lakini nafanaya kazi kwenu. Ninyi mmejaa ukabila sana. Wala msilalamikie watu Viongozi kwamba wanaona uharibifu lakini hawaufanyii kazi. Ukiondo Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa, viongozi wengi wa kuchaguliwa ni lazima watoke Mkoa wa Mara...
  18. K

    Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

    Huu sio ushahidi...hizi ni hisia za mtu binafsi.
  19. K

    Uamsho na harakati za mombasa republican council....

    Kila ninapofikiria juu ya Harakati za Mombasa Republican Council kuhusu kujitenga kwao na KENYA ili warudi ZANZIBAR kwa wakati huu, pia nikiangalia harakati za UAMSHO naona kama kuna kitu kibaya kiko mbeleni. Madai ya MRC na yale ya UAMSHO ni kama yanafanana. Wasiwasi ni kwamba, kama...
  20. K

    Ya Mbagala Na Bedui Aliyekojoa Msikitini...

    Ndugu Phillipo Kidwanga nadhani unakosea unapolinganisha Jazba ya Maswahaba wa Mtume Muhammad (S.A.W) na Waislam wote....Si kweli kwamba Waislam hawana Subra kama Maswahaba. Mbona Wafuasi wa YESU walitumia Panga hadi kumkata sikio Askari mmoja wakati wa kukamatwa kwa YESU? Inamaana Wakristo wote...
Back
Top Bottom