Search results

  1. UdakuziMtandaoni

    Mbinu Tano za Kutafuta Kazi

    NI NANI hupata kazi bora? Je, ni yule anayestahili zaidi? “La,” anasema Brian, mshauri wa kazi. “Mara nyingi yule anayetafuta kazi akitumia mbinu nzuri ndiye hufanikiwa.” Unaweza kutumia mbinu gani kutafuta kazi? Acheni tuzungumzie madokezo matano. Uwe Mwenye Utaratibu Ni rahisi kuvunjika moyo...
  2. UdakuziMtandaoni

    Msaada wa harufu ya kinyesi gheto

    Pole sana na matatizo hayo, pengine itakuwa ndio matambiko ya ibada za kishetani ndio maana unasikia harufu.
  3. UdakuziMtandaoni

    TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

    Ndio maisha yalivyo unavuma na kisha unatoweka. Hata uwe jeuri kiasi gani, hakuna kupona kwenye Kifo. Kitu cha msingi ni kujiandaa na kuishi vizuri duniani.
  4. UdakuziMtandaoni

    Wazima humu

    Tayari wameshakwangua thread yangu nyingine.
  5. UdakuziMtandaoni

    Wazima humu

    Asante sio Broo hapo umeteleza sio kuanguka. Wakuswaga nafungua nyingine kwani wanashida gani?
  6. UdakuziMtandaoni

    Wazima humu

    Kumbe hata wewe, nilidhani pekeyangu. Unajua kuna wakati mods hata hawasomi yaliyoandikwa. Kwa kweli wamenikwaza sana
  7. UdakuziMtandaoni

    Wazima humu

    Kweli ni raha
  8. UdakuziMtandaoni

    Wazima humu

    sasa kwa nini waaache kazi zao?
  9. UdakuziMtandaoni

    Hivi ni kwanini Watanzania ni waoga kufanya manunuzi Mtandaoni?

    Mitandao sio mizuri sana, kwani matapeli nao hawachezi mbali. Na hapo ndio tatizo linapoanzia
  10. UdakuziMtandaoni

    Wazima humu

    Uamuzi wa kupeleka Wabunge kushangilia Stars sio wa kiungwana hata kidogo. Kwani kazi zao za Bungeni nani anawafanyia?
  11. UdakuziMtandaoni

    Rais Magufuli: Msimamo wangu wa kutoteua upinzani bado upo palepale

    Huwa nashindwa kuelewa kauliza wanasiasa.
  12. UdakuziMtandaoni

    Tendo la ndoa mara nane kwa siku, mke amechoka

    Ama kweli ndoa ndoano jamani
  13. UdakuziMtandaoni

    Natafuta kazi

    Jamani Watanzania, mwenzenu maisha yamenipiga, kwa sasa sina kitu mfukoni na maisha ya hapa jijini kwa kweli sio mchezo. Kama kuna mtu anataka nimuwekee Tangazo kwenye blog yangu ili mwenzako nipate kipato kidogo cha kuweza kunisaidi nitafurahi sana. Pia nimesomea habari za Viwandani hasa hasa...
  14. UdakuziMtandaoni

    Jamani Mgeni Mie naanzaia wapi?

    Poa nashukuru nadhani nkiwa mzoefu nitaelezea vizuri.
Back
Top Bottom