Search results

  1. Millionea

    Wahuni wa Ghana walivyoiliza Idara ya Ulinzi ya Marekani kwa zaidi ya miaka 10

    Mimi binafsi nasikitika kukosa hii nafas ya kupata visa ya huko. shida ya Marekani waoga sana wanahisi kila mtu ni adui yao ndio Maana kwenye visa wanabagua sana
  2. Millionea

    Wahuni wa Ghana walivyoiliza Idara ya Ulinzi ya Marekani kwa zaidi ya miaka 10

    Ukiona mwenzako anavitu vikubwa wewe fanyakidogo....juwa hicho kidogo pia kitamnyima raha pamoja na yeye kufanya vitu vikubwa
  3. Millionea

    Mahakama Kuu yasimamisha mchakato wa uchaguzi Liberia

    Mahakama ya Juu nchini Liberia imesimamisha mchakato wa uchaguzi nchini humo siku moja kabla ya kufanyika kwa duru ya pili. Duru ya pili ya uchaguzi wa urais ambao ungeuliwakutanisha nyota wa zamani wa soka George Weah akipeperusha bendera ya muungano wa CDC (Coalition for Democratic Change), na...
  4. Millionea

    Seoul na Washington waendesha mazoezi makubwa ya kijeshi

    Majeshi ya Marekani na Korea Kusini yanafanya mazoezi makubwa ya pamoja katika bahari ilio kati ya Japan na rasi ya Korea. Mazoezi haya yalianza tangu mwishoni mwa juma lililopita. Mazoezi ambayo yanaendeshwa na vikosi vya wanaanga kutoka nchi hizi mbili. Viongozi wa Korea Kaskazini wanasema...
  5. Millionea

    Utapeli, conspiracy & secret societies: Uhalisia wa umiliki wa kesho ya Ulimwengu

    Tupia hiyo website. Usitunyime uhondo na sisi
  6. Millionea

    Utapeli, conspiracy & secret societies: Uhalisia wa umiliki wa kesho ya Ulimwengu

    Wewe jamaa unataka upotee kama "Landlord"
  7. Millionea

    Kikwete hajatoa kauli ya kuhamasisha vurugu. Ni uzushi wa watu wanaomchukia

    Chadema hawana adabu....mbona silaha alisema nchi haitakuwa na amani. Alikuwa na. Maana gani? ------- zenu chadema
  8. Millionea

    Kikwete hajatoa kauli ya kuhamasisha vurugu. Ni uzushi wa watu wanaomchukia

    Chadema ni wajinga...tena hawana adabu kabisa. Mbina Salha
  9. Millionea

    Kikwete hajatoa kauli ya kuhamasisha vurugu. Ni uzushi wa watu wanaomchukia

    Chadema ni chama kisichokuwa na busara....nisawa
  10. Millionea

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Hii ndio Tazania nchi yenye mbwembwe nyingi.....maajabu ya watu wakale yote yanavunjwa record hapa...ila ukweli utabaki pale pale hakuna chama cha upinzani chenye nguvu zaidi ya kuipundua CCM. haya maneno niliongea nyuma kabla hata chadema haijaanza kulumbana...na malumbano ya Chadema ndio...
  11. Millionea

    Kuanguka haraka kwa CCM na Hatari inayolikumba Taifa hivi sasa!

    Naunga mkono hoja yako....anadanganya umma na historia yake ya uongo. Na amesema kuwa akishika kalamu yeye huandika jambo sahihi. Sisi wenyekuijuwa historia ya zanzibar. Tunampinga. Nakama amelikibubali hili basi hata huo waraka wake ni wauongo mtupu. Akajipange upya
  12. Millionea

    Kupiga kavu kavu ni noma..!

    Kweli ila wengi hujisahau raha zikikolea kitandani
  13. Millionea

    Kanuni hii ndio imemtimua Mbowe bungeni - Ndungai yupo sahihi

    Naomba nijibu hii hoja ya kipengele kipi kimetumika kuwapiga wabunge wa chandem. Pinda neno lake akiongea katika bunge nisheria na kama mnakumbuka vizuri alisema " mtu yeyote ambaye hataki kusikia na kifuata sheria basi apigwe tu maana tumechoka kulea watu wasio sikia" So kwa mantiki hiyo...
  14. Millionea

    Mnyika: Ndugai alitumwa na akajiandaa

    Hiyo ndio ccm kwa nguvu hamtoweza kuitoa...ila kwa kutumia akili mtaweza, wapinzani undeni chama kimoja ili kuingoa ccm kinyume na hapo mtaishia kuburuzwa kila siku mimi yangu macho
  15. Millionea

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    East Africa Radio HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limekanusha kumpiga risasi Katibu wa Jumuiya ya Taasisi za Kiislam Sheikh Ponda Issa Ponda. Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro ACP Faustine Shilogile amesema polisi walikwenda kumkamata lakini kwa kusaidiwa na wafuasi wake aliwatoroka na...
  16. Millionea

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    East Africa Radio HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limekanusha kumpiga risasi Katibu wa Jumuiya ya Taasisi za Kiislam Sheikh Ponda Issa Ponda. Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro ACP Faustine Shilogile amesema polisi walikwenda kumkamata lakini kwa kusaidiwa na wafuasi wake aliwatoroka na...
  17. Millionea

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Inalilahi wainnailaihi rajiun. Ameshafariki teyari.
  18. Millionea

    Hotuba ya Rais Kikwete Mwisho wa Mwezi Julai: Amjibu Kagame!

    Binafsi mimi ule waraka wa Mtikila ulinifungua macho na mengi sana kuhusu uhusiano wetu na Rwanda, ila JK namkubali yuko makini na kazi yake. maana utandawazi ushampa taarifa mapema sana na mpaka kufikia kufunguka yote haya maana yake teyari TZ tushajiandaa kwa lolote dhidi ya Rwanda. Mtikila...
  19. Millionea

    Ni kweli Waziri Mkuu kafikishwa Mahakamani?

    Ulaya tu ndio ukimpiga mtu unashitakiwa. Hapa Africa tunaenda kipunda Punda mpaka tutafika...!!! Mzungu ukimwambia nyamaza atanyamza. Mwafrika ukimwambia nyamaza anaimba. Huoni kunatofauti.
Back
Top Bottom