Search results

  1. dodoso33

    Mzumbe University Selection 2014

    mzumbe kuna baf mbili kuna baf ya business sector na kuna hyo baf uliochaguliwa ya public sector usiogope
  2. dodoso33

    wakubwa nipo chini ya miguu yenu plz

    naombe nisaidieni za voda APN: _________________ APN Type: ____________ Proxy:________________ Port:_________________ Server:_______________
  3. dodoso33

    wale wa mzumbe

    kaka wewe chakufanya nenda accomodiation au office ya dean of student lazma upate kwasababu first year,certificate na watu wanaochukua masterz lazma upate kumbuka ni lazma upate
  4. dodoso33

    wale wote waliochaguliwa MZUMBE MOROGORO

    wale wote wenye maswali au wangependa kujua chochote kuhusu mzumbe university ya morogoro nitafute through number hii 0718859577 karibuni sana
  5. dodoso33

    Karibuni wa Mzumbe University

    Walee wadogo zangu wa mzumbe wanaokuja mzumbe morogoro kwanza karibuni then kama unamaswali ungependa kujua nitafute through this number 0718859577 karibuni sana havard of tanzania
  6. dodoso33

    Bodi ya mikopo

    ndio unafanyaje kaka kama unaomba kama first year
  7. dodoso33

    mwanamke anapokutana na mwanaume kwa mara ya kwanza

    1.Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la. 2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna. 3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna. 4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena...
  8. dodoso33

    sofware

    windows loader kazi yake nini?
  9. dodoso33

    Is Acer Mini Laptops (i.e D270, AOD270) Supports Windows 8?

    mimi ninayo window 8 pro. Na permanet activator key yake nitafute kaka
  10. dodoso33

    Drivers za computer

    msaada jamani wakubwa
  11. dodoso33

    Drivers za computer

    wakubwa zangu wote shikamoni naomba msahada wenu wahali na mali katika hili natumia NOTEBOOK aina ya ACER-"ASPIRE ONE" na tatizo langu kubwa ni kwamba ina fail kusoma usb na flash nikichomeka na nikienda kwenye driver status inaniambia WINDOWS HAS STOPPED DUE TO PROBLEM (CODE 43) yani sijui...
  12. dodoso33

    kwanini usalitii

    Sijawahi kuona popote pale mtu afike ngazi ya kuwa CEO halafu ghafla aseme amechoka uboss, anataka kuwa Messenger...Sijawahi...Nakushangaa wewe kijana, Mungu amekupa mwanamke mzuri tu,ana kila kitu,anakupenda,watu wanamtolea macho hawampati,ila wewe unaenda unacheat na Kinyamkera cha...
  13. dodoso33

    wajamenii wajameni embu angalieni wenyewe!!!

    sasa nitaipata wapi driver hyo mkubwa wangu!
  14. dodoso33

    wajamenii wajameni embu angalieni wenyewe!!!

    kiukweli napataga taabu sana sijui ni kwanini nina note book aina ya accer yani tatizo lake kubwa haisomi any device ya usb na flash hapo siku za nyuma kidogo ilikuwa inakubali kusoma modem na flash mpaka uwashe ukiwa umeshachomeka cha ajabu sasa hivi imekataa kabisaa sasa sijui nifanyaje msaada...
  15. dodoso33

    economics economics pleeasee...msaada

    In november 2012,every mzumbe university student had income of 150,000/= per month,facing the price of meal (x) 1000/= and average price of other goods (y) 1000/=.the initial utility maximizing quantities were, (x,y) : (75,75). In july 2011,the price of meal increased to 1500/= while the average...
  16. dodoso33

    Micro-economics 1st year,2nd,3rd and masterz questions..

    swali linasema hivi ""can demand create its own supply?"" naombeni jibu wakubwaa
  17. dodoso33

    Micro-economics 1st year,2nd,3rd and masterz questions..

    swali linasema hivi ""can demand create its own supply?"" naombeni jibu wa kubwaa
  18. dodoso33

    story ya kweli yenye uzuni na masikitiko ndani yake!..

    ((((((STORY FUPI YENYE MAFUNZO ))))))) Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ng’ombe, niliiba maziwa kila siku na kumpelekea kwao. Akanenepa!! Penzi letu likawa huru alipoanza maisha yake mwenyewe. Sikuwa...
  19. dodoso33

    Soma hapa tafadhalii..please

    una switch vipi wireless! Kuhusu wireless card ipo! Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom