Search results

  1. Tinabo Jnr.

    Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

    Kwa hiyo posts za mama Salome Peter hujaziona au ???
  2. Tinabo Jnr.

    Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

    Very interesting!!!
  3. Tinabo Jnr.

    Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

    Kiranga!! Umeamua kutema yai. Hatari sana I seee!
  4. Tinabo Jnr.

    Msaada: Nahitaji mtu wa kujitolea kunifundisha kuendesha gari

    Hii kitu ilishapigwa marufuku - kufundishwa gari mitaani bila kupitia vyuo vinavyofundisha uendeshaji magari na vyombo vya moto. Tafuta driving schools upewe mafunzo ya kina.
  5. Tinabo Jnr.

    Filamu za kun'gfu za enzi zetu

    The Boomerang.
  6. Tinabo Jnr.

    No Doctors in JF, Mnakatisha watu Tamaa tu

    Mkuu Chimps, unachekesha sana! Kwanza wewe siyo daktari, pili unakubari bila shuruti kuwa una uelewa mdogo ktk fani ya udaktari, tatu ukubaliani na yeye (daktari)! Inashangaza Mkuu Chimps, think about it!
  7. Tinabo Jnr.

    Jamani Mke huyu amenishinda...anagawa kama pipi

    When a heart is on FIRE, sparks always fly out of the mouth! Pole sana mtani.
  8. Tinabo Jnr.

    Hodi WanaJamvi - JF!

    Shikamooni Wakuu, wadogo zangu habari zenu? Nimekuwa nikisikia habari za JamiiForums kwa muda mrefu sasa hususani toka kwa marafiki zangu, so nimekata shauri leo hii kujiunga nanyi hapa jamvini. Nomba ushirikiano wenu. KWAHERI FACEBOOK! Asanteni. Tinabo Jnr.
Back
Top Bottom