Search results

  1. S

    fao la uzazi nssf

    habbarini naomba ufafanuzi kwa wanaojua procedure za hili fao..kwa navoelewa wameongeza muda ni kuanzia mama anapokuwa na wiki 30.. utata ni kwenye fomu zinazojazwa.kiufup naona kuna kausumbufu ili hali wanajua fika mama mjamzito hawez kuwa na stamina ya kufuatilia mambo kedekede
  2. S

    Msaada kuhusu mafao

    Habari wanajamvi, Naomba kujuzwa kwa wanaolewa maswala ya mafao, hususan mifuko ya NSSF na PPF na mingineyo kuhusu fao la uzeeni. Kwa uelewa wangu mdogo ni linawafaa wale waliostaafu kwa hiari ama kwa lazima. Sasa swali langu, naomba nisaidiwe: endapo mtu amefikia umri wa kustaafu kwa hiari...
  3. S

    NSSF huu ni ujumbe wangu kwenu

    Habarini za jion.napenda kutoa lalamiko langu hapa huenda litasikika.ni hivi huu ni mwez wa sita sasa tangu nianze kufatilia kulipwa kwa mafao yangu.lakini cha ajabu napigwa kalenda zisizoelezeka.hivi naomba kujua inachukua muda gani mimi kulipwa endapo nimekamilisha vielelezo vyote...
  4. S

    Kampuni ya Khas ya Moshi na utapeli wao

    Habari wanajamvi, naomba niwajulishe kwa wasiofahamu kampuni hii, kuwa makini na huduma zao. Ni kampuni inayohusika na kutafuta wafanyakazi kama vile housegirl, houseboy, garden boy nk. wao ni middlemen kama ilivyo radar. Tatizo lao ni kwamba shughuli wanayoifanya ni nzuri endapo wangeifanya...
  5. S

    Nahitaji msichana wa kufanya kazi za nyumbani

    Habari za leo, kama kichwa kinavoelezea, ninahitaji hilo kama una ndugu jamaa au rafiki anaehitaji kazi hiyo ni pm tuwasiliane. Niko moshi mjini, pia kama kuna mwenye link za hao watu anaweza nisaidia kunipa angalau namba za simu. Majukumu ni ya kawaida kabisa na bado kwa nilipo kimaslahi...
  6. S

    Itabidi tu nitumie,na Mungu anisamehe

    Sijajua nieleze vipi ila kwa ufupi nina sikitika sana kwa uamuzi ulionilazimu kuufanya,baada ya kuwa mmoja wa wale wanaopinga sana utumiaji wa njia za uzazi wa mpango,nami nikawa natumia njia ya asili,kwa takriban miaka miwili imenisaidia,ila mpk dk hii sijajjua nilipokosea lakini nimejikuta...
  7. S

    Real estate ni nini?

    Habari wanajamvi,nimewahi kulisikia mara nyingi hili neno,ila sikulipa umakini wowote,ila leo ningependa kujua kila kitu khs maana ya real estate na kila kitu kinachohusu real estate. Kwa idea yangu finyu nimegundua tu kuwa ni mali yaani asset ya ardhi,ambayo majengo yanauzwa kununliwa na...
  8. S

    Ipo siku Interview zitadoda

    Nawaza sana inakuwaje unawatoa watu mikoa ya mbali unaenda kuwafanyia aptitude test. Hivi siku watu wakigoma kabisa kuja mtafanyaje? Sioti ila huku tuendako watanzania ipo siku watachoka na hamtaamini mnaita watu mia sita na vituo kumi vya intavyuu afu hatatokea hata mtu mmoja kuifanya. Ipo siku
  9. S

    Uume wa mtoto kusimama kwa muda mrefu

    Habari zenu madocta,naomba kujua kama kuna shida yoyote ama ni kawaida kwa mtoto mdogo kusimamisha uume kwa muda mrefu,sijawahi kuiona hiyo hali,ukiacha tu ule muda anapoamka lakini tokea juzi hivi napata wasiwasi maana mpaka usiku wa manane nikimuangalia kimesimama.nimepata wasiwasi hivo naomba...
  10. S

    Serikali: Hivi ni sahihi kweli kila kitu mpaka Dar?

    Habarini. Kama kichwa kinavosomeka, hivi na nchi zingine ndo wanateseka hivi? mpaka sasa ni kampuni chache tu zinazoita usaili mikoani, asilimia 90 ni mpaka Dar. Sasa imekuwa kero watu wapo mikoani aptitude test Dar, akae asubiri oral ambayo haijulikani itakuwa lini. Hivi ni kweli kuwa serikali...
  11. S

    Dawa ya kukamata mwizi

    Kwa masikitiko makubwa naomba mwenye kujua dawa ya kukamata mwizi aniambie,maana hakika kilichonitokea nadhani sitakisahau,nilizoea shule za bweni wanafunzi walizoea kuibiana ila sikuwahi kufikiria nitakuja kukutana na hiko kitu mpaka maofisini kipo.tena kwenye taasisi ya fedha,mfanyakazi...
  12. S

    Tetesi;noti ya elfu hamsini

    Kuna tetesi nimezisikia tanzania inakaribia kuwa na nti ya elfu hamsini,je zina ukweli?
  13. S

    Wanasiasa someni hapa

    WAsalaam, sijachochea wala kuhamasisha mgomo nieleweka kwanza,ila natangaza kabisa mwaka 2015 sitapiga kura endapo bili ya umeme haitashushwa,bill za maji,bei ya gesi,bei ya vyakula na madawa hospitalini,bei ya usafiri na nishati ya mafuta,kwa ufupi mfumuko wa bei ukiendelea hivi sahauni kura...
  14. S

    Wasichana wa kazi!

    Jaman habarini za mwaka mpya.sijui ni mimi tu ninae pata shida au na wengine,hawa wasaidizi wa kazi hawapatikani kabisa,hivi nini kulikoni?nasikitika sana watoto wetu watalelewaje kwa staili hii,mimi nilikuwa na mmoja,tumevumiliana kwa mapungufu yetu kwa mwaka mzima na nusu,kaenda krismas...
  15. S

    Sielewi kama ni tetesi;jana kuna bus la kilimanjaro lilidondoka wami?

    Habari wote,tuko ofisini,mmoja wetu kasema jana kuna bus la kilimanjaro express lilidondoka mto wami,ila kwa kuwa ni bus la klm na si bus jingine habari hiyo haijatolewa popote hata hapa jamii forum,je ni kweli au ni uongo?
  16. S

    Natafuta kiwanja moshi mjini

    Habari wana jamvi,nimeona hapa ni mahali sahihi,kwa wenyeji wa moshi naomba mnisaidie kupata kiwanja,kwanza mnishauri mahali pazuri ni wapi,mimi apendelea zaidi mjohoroni,msaranga au bonite.nina milioni nne kamili.asanteni madalali nipotezeeni tafadhali,nahitaji kununua bila dalali
  17. S

    Je condom husababisha madhara?

    Habari,mwenzenu mimi hutumia mpira mara kwa mara kwasababu situmii njia zingine za uzazi wa mpango.sasa kama wiki mbili zilizopita nilipata uti,wakati nimeitibu,tulikutana na mume wangu kimwili na alitumia condom,lakn cha kushangaza kesho yake nilianza kuwashwa sana na kukawa kumevimba.je nini...
  18. S

    Tamthilia ya my eternal

    Habarini wakuu,hii tamthilia naifuatilia kwa karibu japo imeanza kuniboa kias flan,inaonyeshwa na star tv,kama kuna mtu anaweza nsaidia pakuipata full yote kwa sasa,au anieleze tu mwisho wa matukio yote haya,maana net hawaelezei episode after episode,asanteni
  19. S

    Kupasha kiporo

    Habarini,leo naomba mnijuze wanaojua,au tujuzane wote,hii dhana ya kupasha kiporo ktk mahusiano na ndoa wewe unaielewaje?kuna mawili hapa: watu kuishi pamoja miaka miwili mitatu na mtoto wao kisha wanabariki ndoa,au watu kila mmoja anaishi kwake au kwao halafu wanapeana mimba na kabla mtoto...
  20. S

    Msaada wa voda kama mpo hapa

    Nimenunua luku toka jana sijapata majibu mpk dakika hii,kibaya zaidi namba zao ninazozijua zote no network,plz help
Back
Top Bottom