Search results

  1. S

    Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    hatutaki makapi wala mamluki sisi woii watu twenye akili zetu tutahama hiki chama maana kinawekewa nuksi sasa.kitanuka
  2. S

    Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

    nilidhan waliopo tigo wanafaid ndo mana wanafunz weng wapo huko kumbe hola.bas navutwa na halotel soon
  3. S

    Kuanzi 1 March tutaweza kuhama mtandao bila ya kubadili namba, Mobile number Portability (MNP)

    afadhali nihame huu mtandao.ila nahofia watakuwa wanachelewa sana kujibu request zitakazokuwa zinapelekwa kwao na mitandao hamiwa maana kwao hata suala dogo tu unaambiwa subiri masaa 72.
  4. S

    fao la uzazi nssf

    habbarini naomba ufafanuzi kwa wanaojua procedure za hili fao..kwa navoelewa wameongeza muda ni kuanzia mama anapokuwa na wiki 30.. utata ni kwenye fomu zinazojazwa.kiufup naona kuna kausumbufu ili hali wanajua fika mama mjamzito hawez kuwa na stamina ya kufuatilia mambo kedekede
  5. S

    Kilimanjaro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    mwanga nimesikia maghembe kachukua cs vibabu vichache vya pale vinapenda rushwa laki ni pesa
  6. S

    Msaada kuhusu mafao

    Habari wanajamvi, Naomba kujuzwa kwa wanaolewa maswala ya mafao, hususan mifuko ya NSSF na PPF na mingineyo kuhusu fao la uzeeni. Kwa uelewa wangu mdogo ni linawafaa wale waliostaafu kwa hiari ama kwa lazima. Sasa swali langu, naomba nisaidiwe: endapo mtu amefikia umri wa kustaafu kwa hiari...
  7. S

    NSSF Moshi, Kwanini wanalazimisha rushwa?

    Sijui ni rushwa sijui hawajui wajibu wao.yan hawaeleweki.hivi kweli mtu ufatilie kwa miez sita inamana kazi zao ofisini ni zipi?hawajui kuhudumia wateja kwa wakati.hii serikali imeoza kbs
  8. S

    Kuhusu utaratibu wa fao la kujitoa NSSF

    Kwakweli ni shida naona wachangiaji ktk hili swala hawapo kabisa ila tunateseka sana wanachama najuta nilijiunga ya nn.hivi ni lazma siwez kuwa napewa changu tu na mwajiri kiishe na ukubwa huu sijui kwann nasaidiwa kuhifadhiwa hela zangu ambazo nikizihitaji sipewi.nssf mnakera
  9. S

    NSSF huu ni ujumbe wangu kwenu

    Habarini za jion.napenda kutoa lalamiko langu hapa huenda litasikika.ni hivi huu ni mwez wa sita sasa tangu nianze kufatilia kulipwa kwa mafao yangu.lakini cha ajabu napigwa kalenda zisizoelezeka.hivi naomba kujua inachukua muda gani mimi kulipwa endapo nimekamilisha vielelezo vyote...
  10. S

    Wizi/Utapeli/ubabaishaji wa Vodacom!

    Wezi wakubwa hawa,hawajui umuhimu wa wateja wa sh enz sana,wanatuibia tukiona,hata kama kuna shida ya mtandao,kuna haja gan ya kutukata bila sababu?kwann mnaziiba na hamzirudishi?turudishien hela zetu
  11. S

    Kampuni ya Khas ya Moshi na utapeli wao

    Habari wanajamvi, naomba niwajulishe kwa wasiofahamu kampuni hii, kuwa makini na huduma zao. Ni kampuni inayohusika na kutafuta wafanyakazi kama vile housegirl, houseboy, garden boy nk. wao ni middlemen kama ilivyo radar. Tatizo lao ni kwamba shughuli wanayoifanya ni nzuri endapo wangeifanya...
  12. S

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vilevile jaman watanzania tuangazie kwa upya mtandao huu tukikazia macho kitengo cha mpesa.kiukweli wanatoza pesa nyingi mno.hebu fikiria unamtumia mtu pesa,wewe unaemtumia unakatwa na anaezipokea pia atakatwa pindi atakapozitoa,hii ni haki?na wamefanya hivo ili kupunguza ukali kidogo tu kuwa...
  13. S

    Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

    Dah sina wivu ila kiukweli inaleta picha ya utofaut japo si sana,me pi nawafahamu kias,primary kama walivosema wadau ni levolosi primary,secondary olevel ni kifungilo,a level ni arusha sec,na chuo ni ushirika. Ktk level zote hizo cjaona rushwa yyt iliyotokea,naweza sema walikuwa ni watoto serias...
  14. S

    Waeleweni wake zenu

    Sisi tulioana kwa sababu tulipendana na hatukutaka kuchezeana wala kuumizana na kuachana,tulihitaj kujitegemea na kujenga familia yetu
  15. S

    Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

    Swali langu la kwanza,hair treatment ya palmers inatumiwaje maana nikienda nayo baadh ya salon wanasema inasetiwa wengine nikae kwenye steamer bt cku nilipokaa kwa steamer ilikuwa kama ugali kichwani.je niendelee nayo? Pili mm huweka beutful begnn ya box,sasa cku moja nikatafuta duka mbili tatu...
  16. S

    Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

    Hebu elezea zaidi kuhusu hiyo curl na permanent curl,weka na picha kama unazo,maana naona kuna mdau kauliza kuhusu kalikiti ukamwambia ni old fashion wakti mm nilidhani kalikiti ndo hiyo hiyo curl,fafanua tafadhali
  17. S

    Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

    asante kwa fursa nzuri,mm ni mdau wa maswala ya urembo hasa wa nywele,na naweza sema ninazo ndefu si haba.nami nataka kujua zaidi kuhusu hiyo mirija naipenda sana.ila nipo moshi na sjui wapi wanaweza niweka hiyo,yan ungeweza kuelezea hapa jinsi inavowekwa hatua kwa hatua huenda wenye salon zao...
  18. S

    Nahitaji msichana wa kufanya kazi za nyumbani

    Benefits ni za kawaida as one of my family member should be
  19. S

    Nahitaji msichana wa kufanya kazi za nyumbani

    Habari za leo, kama kichwa kinavoelezea, ninahitaji hilo kama una ndugu jamaa au rafiki anaehitaji kazi hiyo ni pm tuwasiliane. Niko moshi mjini, pia kama kuna mwenye link za hao watu anaweza nisaidia kunipa angalau namba za simu. Majukumu ni ya kawaida kabisa na bado kwa nilipo kimaslahi...
Back
Top Bottom