Search results

  1. T

    Zitto Kabwe awalipua wazungu!

    mganga aloiloga serikari yetu ashakufa so kupona ni ndoto!!!!!!! But t can only end once kama tutapata serikari makini yenye watu makini and not hawa Chukua Chako Mapema CCM
  2. T

    Tanzania Hatarini, Kila mzalendo achukue hatua sasa

    :shut-mouth: Wenye kuskika wamefungwa midomo they here something they say nothing OMERTHA
  3. T

    Kipindi cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere; mgeni Mohamed Said - Radio Imaan

    Wao walikua wapi wakati Tanu inataifishwa kuwa ya wakristo???? Kama walipenda madrasa sie tulipenda vyote Mungu(kanisa) na shule so waache kuchonga wawe watendaji sio lawama...
  4. T

    Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

    Mpaka hapo ni Jamaa ni CCM tena mwenye itikadi kali...
  5. T

    Sijazibwa Mdomo - Dr Ulimboka

    Mwisho wa siku utaskia na CHADEMA ndo wanahuska kuichafua CCM do u think hicho kimya ni cha hkeri kweli??? Jibu tumsubiri atasemaje...Mafisadi wamesharefusha mkono tayari
  6. T

    Mrisho Mpoto ana kesi ya kujibu

    Alimwambia Adela anyooshe kidole hana nia mbaya ya kumrudisha darasani.. Ni darasa lipi na Adela ni nan sasa mpoto ni zamu yake kunyoosha kidole kwan hatuna nia mbaya ya kumrudisha darasani (darasa la wazalendo wenye kujivunia nhi yao popote katika hali yoyote) by the way hana moyo wa...
  7. T

    Copy and Paste ya Mlima KILIMANJARO.

    Sasa kwani tatizo liko wapi? ni kitu ambacho kila mtu anakijua na sio cha kufikirika kiivyo.. angecopy slogan sawa ka CUF wanavyo copy na kupest
  8. T

    Tahadhari: CCM, Msikilizeni Sumaye

    Aanze kujihukumu yeye na serikali yao alipokua madarakani kwa kuacha nyufa na kudharau kuiziba sasa ukuta ndo ushamwangukia ananyooshea watu kidole
  9. T

    Jussa na Seif mnawachelewesha Wazanzibari kuwa "huru kamili"!

    Huo mkataba na wachina, sera za kidini na vijimafuta na misaada toka nchi za kiarabu ndo zinawapa kiburi waache waende ila wanamashimo mengi ya kuziba ukiwemo ulinzi bora wa nchi ambayo ni secta muhimu zaidi na yakwanza ni sitashangaa kuona wakijitenga tena wao kwa wao (wapemba na waunguja)...
Back
Top Bottom