Mara nyingi kama gari imechukulia mkopo, kadi original ya gari hubaki sehemu iliyokopewa.
Hivyo kabla hujanunua hakikisha unaiona kadi original na sio copy.
Ukiona unazungushwa kupewa original card basi jua kuna shida mahali.
Mawakili wa serikali hawana hii fact uliyonayo wewe.
Fanya mpango ukawasaidie kama shahidi wao maana ushahidi unaotoa hapa una mashiko sana kuliko ule wanaiutoa mashahidi wao.
Kwakweli watanzania tunatakiwa tubadilike.
Tuna ubinafsi uliopitiliza ndio chanzo cha ufisadi.
Tunakula bila ya kukumbuka kesho na vizazi vijavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu kubwa ni ufisadi.
Donor anapokufadhili katika mradi fulani, mwisho wa siku anahitaji kuona ripoti ikiwa inaendana na matumizi ya pesa.
Kwa redcross ilikuwa ni tofauti.
Mara kwa mara donors wakifanya ukaguzi wanakuta upotevu wa mamilioni ya pesa.
Ilifikia kipindi pesa yeyote inayopita...
REDESO ni tofauti na redcross.
Ni mashirika mawili tofauti kabisa ingawa na wao wanafanya kazi katika kambi za wakimbizi.
Redcross wapo kwenye sekta ya afya wakati REDESO wapo kwenye kitengo kingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi zimetangazwa kama formality tu.
Ukweli ni kwamba kwa sasa shirika halina mfadhili hivyo haliwezi kulipa hata mishahara ya wafanyakazi wake.
Kuna mambo mengi sana machafu yaliyosababisha mpaka leo wasiwe na mfadhili(hii ni topic nyingine)
Kumbuka shughuli wanazofanya source ya pesa ni...
Labda nikueleze taarifa muhimu zaidi.
Idadi ya nafasi zilizotangazwa hazina uhalisia.
Zimetangazwa nafasi nyingi sana lakini watakaoajiriwa hawafiki hata robo ya nafasi zote.
Sababu ni kwamba, idadi walizotangazwa zote tayari kuna watu wanafanya kazi hizo.
Inawezekana hujanielewa.
Ni hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.