Wazazi walilalamika wanachagishwa michango ya chakula hadi ikabidi lugha ibadilishwe kutoka elimu bure kuwa bila ada. Mmesahau au mbwembwe tu za mitandaoni? Mijadala ya watoto kulishwa mafuta ya taa hazipati traction lakini wakilishwa kwa msaada wa mzungu ndio mnakuja kutunisha vifua. Kama...
Pamoja na ubinafsi wa viongozi, kuna hulka huwa tunayo kwamba wanaokuja kutusaidia kuna wanachopata. Hii husemwa hasa pale mtoa msaada akiwa na ngozi nyeupe, japo hata mwezetu akianzosha taasisi ya kusaidia jamii, tunakimbilia kusema ni dili anafukuzia hela za wazungu. Sijui tunataka wenye...
Mapungufu ya kiteknolojia waliyo nayo ni ya wazi, lakini siamini kama ndio tatizo lao la msingi. Ukiangalia ITV ilipokuwa at its best, sidhani kama vyombo vingine vya leo vimepafikia, achilia mbali kuvuka, pamoja na kwamba Wana teknolojia bora zaidi. UTV wana nafasi ya kufika mbali zaidi japo...
Tulikaa baa kuangalia matangazo ya moja kwa moja kutoka jumba kubwa tukinywa bia. Baa zilineemeka, TBC na vyombo vingine vilipata content, watazamaji. Hamna namna, tuunge mkono juhudi kwa kuchangishana tulipe.
Ukisikia mradi wa serikali ukipambwa na vibwagizo vya 'unakwenda kumaliza tatizo fulani', fanya mambo yako usipoteze muda. Haijalishi ukubwa wa mradi wenyewe. Sijui huwa kuna ulazima gani wa kutumia lugha sweeping kuuza miradi Kwa umma.
Mpaka tutapogundua tunapoteza muda tu wa kufikia maendeleo ya kweli ndipo tutaona mabadiliko.
Hizi sarakasi na wanaozicheza Shangazi aliviita historical accidents tu, ni speed bumps tu zinazotokana na ubinafsi na upeo mfupi.
Sahihi. Pia sitaki kuamini mialiko haikusema dhumuni kwa kuogopa waalikwa watagoma kuja. Most likely hawakutaka habari ya kusainiwa mkataba ivuje kabla ya wakati.
Kuna mada ya dissertation hapa kwa mnaosoma. Case study ya jinsi uwepo wa mfumo wa haki kupitia vyombo kama mahakama unavyowezesha (enabler) wa uminywaji haki.
Logic kama ya mleta mada si mpya, tumezisikia pia kwa akina Manji, Chenge na wengine wa kaliba zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.