Search results

  1. A

    Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

    Hotuba za nini? Za mwalimu Nyerere bado hamjamaliza kuzisikiliza. Tunataka vitendo zaidi
  2. A

    Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

    Kweli ni kero sena. Sasa hivi nimepita maeneo ya raskazoni wamejazana kama ishirini hivi. Wanasababisha trafic jam mchana huu
  3. A

    Watoto shule za msingi

    Its true!!!!!!!!!!! watoto wanawahi sana darasani kisa mkakati wa la saba. wanaingia darasani mapema sana na wanachelewa kutoka, Watoto wengine wanaishi mbali na shule na hii inawasababishia usumbufu mkubwa. Ni vizuri hili swala likaangaliwa kwa undani zaidi. Hii nchi sii salama sana
  4. A

    Jamani wanaume wachaga ni hatari...!

    nakubaliana na wewe 100%
  5. A

    Binti au kijana aliyetendwa kimapenzi anaweza kurudisha upendo kwa mchumba mpya?

    Inawezekana kabisa. Ila msikumbukie the past, na ujaribu kumkeep busy all the time, atarudi na mapenzi atakupa
  6. A

    KATEKISTA kumsukuma bibi harusi altalen mpaka kuanguka ni sawa?

    Nampongeza sana katekista kwa kazi nzuri aliyoifanya. Hii iwe fundisho kwa wengine
  7. A

    Msaada. natafuta jina zuri la kike

    Gabriela, Cornelia, Gesina, Wendy, Issabella
  8. A

    Dada zangu wa kichaga jisafisheni kimapenzi maana sehemu kubwa ya jamii inawaogopa kimapenzi

    Acheni kuchangia hii mada kwani kwa kufanya hivyo mnazidi kuwapandisha chati na wataolewa kwa fujo sana. mimi kaka zangu wawili wameoa wachagga, mmoja marangu na mwingine machame. ni mawifi zangu poa kabisa na ndoa zao zipo gado. Tabia ya mtu haitokani na kabila lake. tumetofautiana. MSIOGOPE...
  9. A

    Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

    Nampenda Lema, nawapenda makamanda wote wa Arusha!!!!!!!!!!! Poleni sana magamba, mliipenda sana arusha lakini ndo hivyo. 4 bila imewahusu. Kaeni mkijua kwamba huu ni mwanzo mapambano yanaendelea Tanzania nzima hakuna kulala mpaka kieleweke. Peoples Powerrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  10. A

    Vituko vya January Makamba

    Hayo ni maisha binafsi ya mtu na sioni yanakuhusu nini. kama anafikia hotelini na kazi anaifanya ipasavyo nyumba ya nini? Kuna mambo kadha wa kadha wa kujadili hapa JF lakini sio hayo
  11. A

    Tunakenua meno, nchi inafungwa spying gadgets

    Mshana jr hapo kwenye red ni typing error au umemaanisha? Nimecheka sana!!!!!!!!!!!!!!!!!
  12. A

    Sumry imeua nane papo hapo

    Again!!!!!!!!!!!! Sumry kila siku? poleni sana majeruhi, na mliopoteza wapendwa wenu. mungu awatie nguvu sana
  13. A

    Tanzia: KyanakyoMuhaya nimempoteza baba mzazi

    Pole sana, mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu
  14. A

    Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

    Mimi binafsi nashangaa sana kuona ni jinsi gani watu wanakosa usingizi kisa eti wachaga!!!! fanyeni kazi acheni blaa blaaa. Wachaga wanazidi kupeta
Back
Top Bottom