Search results

  1. Denis denny

    Kwako Rais Magufuli na TRA, kinachoendelea Karikoo kwa hawa wafanyabiashara ni hujuma kwa Taifa

    Mijitu kama nyinyi ndomana mkija madukani mwetu huwa hatutaki kuwauzia sababu unataka risiti kama ilivyo halafu unalialia bei upunguziwe ,ukitaka upewe risiti yako halali toa hela inayotakiwa usilielie ili nawe uonje uchungu wa risiti ukoje. Nchi hii kuendelea bado sana yani machinga anauza...
  2. Denis denny

    Sababu ya Prof. Kabudi kuwa mpambe badala ya mshauri ni hii?

    Njaa mbayaa inakushusha thamani kabisa..
  3. Denis denny

    Tusikufuru CAG ni binadamu siyo Mungu!

    We jamaa huwa unaandika ukiwa tumbo wazi ..unafiki unakutafuna.
  4. Denis denny

    Nyalandu anagawa kadi za CHADEMA misibani Singida

    Nyalandu amewashika Mapupu mnatapatapa .
  5. Denis denny

    Juhudi za RC Makonda: Kariakoo biashara kuwa masaa 24!

    Matatizo ya kuwaza kwa kutumia firigisi ..hata tunakonunua bidhaa nje huwezi uziwa masaa 24 na huwezi mlazimisha mtu aache kupumzika na mumewe/mkewe akuuzie wewe kama ulishindwa hudumiwa kwa masaa 12 jipange kwa siku nyingine
  6. Denis denny

    Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

    Tanzania hii kuna wasomi visheti wanakalilishwa madude ya ajabu mtu anamaliza kichwa kipo empty
  7. Denis denny

    Kwa miaka 18 sijawahi kushudia ugumu wa biashara kama awamu hii ya Tano

    Nimekuuliza mana naona umetanguliza tumbo wazi mbele kwa kuanza kupondea halafu huna chochote ulichoshauri katikati ya malalamiko yako sababu unakuwa kama mpiga zumari.
  8. Denis denny

    Kwa miaka 18 sijawahi kushudia ugumu wa biashara kama awamu hii ya Tano

    Biashara ya awamu hii ni kama mchezo wa kubeti
  9. Denis denny

    Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

    Nassari ameunga mkono kwa kubadili Gia angani ..tumbo mwanamalegeza
  10. Denis denny

    Serikali yawaomba radhi wakulima wa Kahawa Tarime mbele ya mbunge wao John Heche

    Huyo ndo kiongozi siyo unakuwa mwongomwongo
  11. Denis denny

    Vijana wa Lumumba UVCCM, MATAGA mliokuwa mnamtukana Lowassa mnajisikiaje?

    Musukuma nasikia kalazwa kwa muda haamini alichoona..Majizi yamerudi nyumbani kumenoga.
  12. Denis denny

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Jizi limerudi nyumbani kwake
  13. Denis denny

    Gavana BoT: Baada ya Arusha sasa ni Dar, hakuna haja ya kuwa na Bureau de change zaidi ya 100

    Jana wamefanya ukaguzi sana Kariakoo,walinikutia nabadilisha tumadafu twangu ..mhudumu ana vibrate tu,nchi hii serikali ya CCM mnatutaka nini lakini leseni mtoe wenyewe kisha mnaanza kuwasumbua watu.
  14. Denis denny

    Madalali wa Korosho zetu, Indo Power waanza kusaka soko kupitia Alibaba!

    Jamaa ni fungi la kukosa ashukuru vyombo vya Dola na vile kazungukwa na watu wenye njaa na waoga kazi ipo.
Back
Top Bottom