Search results

  1. Frank King

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Upo wapi ewe utuhabarishaye? Mbona hatuoni picha na shamrashamra za hapo Airport!!
  2. Frank King

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nani aliyempa Mamlaka Job Ndugai,yakumrudisha Cecil Mwambe Bungeni ili hali alishajitoa?
  3. Frank King

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    petro matei, Na mimi wakwangu Anamiaka hivyo hivyo,na tabia kama hizo hizo ulizozisema,,,kwakweli sijui tunafanyeje hapa. Mtaalam ebu tupe namna tufanyeje wenda tukapata njia.
  4. Frank King

    Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

    Daudi huyu mtu walimshika na mkono wa Albino,,,,Huyu jamaa alikuwa hayupo,karudi juzikati tu.alikuwa na tuuma nzito na serikali...hii issue Ilizimwa kimya kimya,na akakubaliana na masharti yakumpigia debe mkulu 2020
  5. Frank King

    Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

    Ha ha ha ha ,,,LAZMA AMPIGIE KAMPENI KWASABABU JUZI KATI SI ALISHIKWA NA MKONO WA ALBINO?....ikabidi akubaliane na Masharti kama alivyo yakubali Gwajima.
  6. Frank King

    Watu hutazama mwisho wako na si mwanzo wako

    Naona ANGUKO KUU LA Paul Makonda. Atatafuta njia ya kupita,atakuwa amechelewa Atalitafuta Jeshi linalomzunguka sasa,,,Hataliona tena. Ataomba Msaada kwa Baba yake,ambaye muda huo atakuwa ameji quarantine CHATO,,,,hatasaidiwa Mungu alivyo muaminifu,yoote atakayotaka kufanya ili kuiokoa nafsi...
  7. Frank King

    Lema amjibu DPP Mganga Biswalo, amtaka aache kutisha watu

    Asante Sana Mh. Lema Mungu akubariki kwa maneno mazuri yaliyo ubariki moyo wangu.
  8. Frank King

    Hivi ndivyo NIDA inavyoshughulikia Watanzania Wazawa?

    Serikali ya chama cha mapinduzi ndivyo ilivyo,,,,binafsi nina namba tu,,,,of course walinitumia sms kwamba kitambulisho nikakichukue kipo tayari,,,nikajizoazoa mzima mzima nikafika,kisha nikauliza Kitambulisho na nikawaonyesha na sms waliyonitumia,,, Jibu walilonipa”HAKIONEKANI,WENDA...
  9. Frank King

    Rais Magufuli amlipia Peter Msigwa Tsh. Milioni 38 ili atoke gerezani, CHADEMA wadai wameshamlipia Mil 40

    Nilichogundua ni kwamba WASHAURI WA Rais ni bogas kweli kweli,...
  10. Frank King

    TCRA kulazimisha laini moja tu kwa kila mtandao kwa Raia si sahihi!

    Sijawahi kuona Serikali ya ajabu kama SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI.
  11. Frank King

    Esther Bulaya: Nyakilanganyi Construction LTD ni akina nani hawa miaka 12 ya upigaji fedha za maji Bunda! Rais, Waziri Mkuu wote wakwama

    Nikwasababu Viongozi wote watoa tenda,,wapo mfukoni mwake. Nimesema huyu mjamaa akipata dili la bilioni moja,,,atahakikisha million mia tano amenunua serikali,yaani yupo radhi apate faida ndogo lakini tenda ziwe zake kila iitwapo leo.
  12. Frank King

    Esther Bulaya: Nyakilanganyi Construction LTD ni akina nani hawa miaka 12 ya upigaji fedha za maji Bunda! Rais, Waziri Mkuu wote wakwama

    Nyakirang’ani ni mfupa ulimshindaga fisi.... Jambaka lililoiweka serikalI MFUKONI tangu enzi ya Kikwete,,,mbabaishaji flani hivi mwenye kula na wakubwa,akipewa mradi wa ml 800 aidha wakukwangua tu barabara,atahakikisha ml 400 anainunua nayo serikali....yaani hiki kikampuni cha ajabu mno.
  13. Frank King

    Ogopa sana mafuta ya upako na maji ya baraka toka kwa manabii na mitume wa kileo

    Pole mshana Nahisi kama umetoka kwenye ule uzi usemao WALEVI WOTE TUKUTANE HAPA...
  14. Frank King

    Mkurugenzi Babati Mjini azidi kufunga makanisa

    Pambana na watu wanaoipotosha injili ya Kristo na sii Kanisa,, Kanisa ni Mwili wa Kristo my Friend!!!! Hakuna mtu aliyepambana na Kanisa akabaki salama rafiki,,,,hata wewe unabwabwaja kwasabbu una mdomo wakubwabwaja,,,endelea kung’ang’ana na KANISA LIFUNGWE UTAKUWA HISTORIA....
  15. Frank King

    Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

    Haya ni matumizi mabaya ya Maneno... Eti haki yake kwenye madini,,, Giza kabisa.
  16. Frank King

    Uzi Maalumu kuwapongeza Mabeberu kuwaajibisha serikali ya CCM (wakoloni weusi wa Tanzania). Dhidi ya Watanzanai

    Mungu awabariki sana Mabeberu wetu. Tembeeni kifua mbere,ccm mwisho wa mpaka wao ni lumumba,hawana cha kuwafanya...
Back
Top Bottom