Search results

  1. SirPoetic

    Dkt. Magufuli na maslahi ya watumishi wa Umma, nianzie wapi?

    Uongo mwingine ni wakitoto sana.
  2. SirPoetic

    Hawa watu sasa wamekubali kuwa Corona imeisha?

    Hizo balozi zinapata wapi hizo taarifa? Kama sio hisia zao tuu.
  3. SirPoetic

    Polisi wameweka kambi Ilala Sokoni, wanashusha abiria wasio na barakoa na kuwacharaza bakora

    Kwa hili namuunga mkono kabisa wabongo wagumu kuelewa.
  4. SirPoetic

    Sababu za Makonda kuzuiwa kukanyaga Marekani, wapambe msipotoshe

    Huduma hii soon itapatikana Muhimbili National Hospital.
  5. SirPoetic

    Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

    Bora umewambia ukweli maana mtu toka 2018 kwa nini alete leo tuhuma zake.
  6. SirPoetic

    Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

    Kwa mikataba ya namna hii ni wazi kabisa hii inchi haitakuja kuendelea chini ya uongozi wa CCM. Maana kila siku mikataba yenye tija imekuwa haileti manufaa kwa taifa. Huu uchambuzi wa kina umetuhuzunisha sana watanzania maana ni kinyume na matarajio ya wengi.
  7. SirPoetic

    Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

    Mwambie ukweli ili asipoteze muda wake na wewe. Maana mpaka mtu anakuja kutoa kukuvisha pete ni kwamba kulikuwa na mawasiliano mazuri kati yenu na mlipanga pamoja mambo mengi.
  8. SirPoetic

    TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

    TCRA wamelichukulia hili jambo kwa matakwa ya kisiasa zaidi kuliko uweledi. Hivi kama nahost domain yangu hostgetor nitakuja kurejista hizi IP address TCRA ili wafanye nn?. Kuna haja ya watu kuwa na misimamo ya kitaluma na sio kufuata matakwa ya kisiasa.
  9. SirPoetic

    Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani

    Nakubaliana na huo utafiti kwa 100%.
  10. SirPoetic

    Mpigie kura Rais Magufuli kwenye Forbes Africa Person of the year

    Du na huku anakimbiza! Kweli JPM ni Rais pendwa
  11. SirPoetic

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Lukuvi atamfaa magufuri kwa sababu anazijua vizuri siasa za serikalini pia ninaona hana mpango na urais
  12. SirPoetic

    sumu ya ndoa ni ...

    Sumu ya ndoa ni kwa wanandoa kutotimiziana mahitaji ya kimwili. " yaani kutoridhishana kimapenzi"
  13. SirPoetic

    TETESI: Serikali yatishia gazeti la KULIKONI

    Ni wazi watanzania walio wengi tumeshachoka na serikali isiyo na dira angavu, yaani mimi sielewi "what is this government is for"Hii yote inatokana na viongozi waliokuja madarakani kwa rushwa na ufisadi ndio maana wanashindwa kuwajibishana, Mi sijaona mfano wa serikali yetu ambayo mtu kama RA...
  14. SirPoetic

    Your help is needed

    You have to know what u need to accomplish with the knowledge u get after completing the MBA. Then these challenges of ur own will help and guide in deciding what to write in ur desertation. The best way to find the topic is to relate the current situation in the world specificaly in tanzania to...
  15. SirPoetic

    Kitandani kwetu...

    Kwanza nakupa pole mwana JF mwenzangu kwa huo masala maana its pain so much. Nionavyo mimi katika swala la mapenzi kuna majibu mawili tu, [1] Kukubali [2] kukataa. Tatizo lako ni zito sana na hauitaji kuchukua maamuzi ya haraka haraka u need to have a great time to think about the whole...
  16. SirPoetic

    Natafuta Mme !

    Mimi naona wewe unaleta utani na mume, kama wanaume wangukuwa wanatafutwa hivyo basi kila mwanaume angeoa idadi inayotaka. Maana mademu wanoajitangaza kama wewe ni wale waliochoka na vibuti na mwanaume makini hawezi kuoa mke kama wewe.
  17. SirPoetic

    Nafasi ya kazi

    Asante kwa habari njema lakini ninaomba unieleweshe ni mtu wa aina gani anahitajika yaani professional na reference kutoka wapi?
Back
Top Bottom