Search results

  1. C

    Wizi wa pesa kupitia computer kwa na mba 419

    ingekua vizuri ukasoma hadi mwisho ni nini nilichoandika kabla hujaropoka ulichojisikia, haikua na ulazima wa kucoment maana nimetaka mafahari wanaojua hii habari ndo wacoment na kueleza vile inakua.. ashakumu si mtafu, mtawaza mtoto hanuki mavi.. ila nashukuru kwa mchangako wako bwana PAKA JIMY
  2. C

    Wizi wa pesa kupitia computer kwa na mba 419

    kuna mingurumu ya sauti kutoka marekani na nchi za magharibi kuwa wamekuwa wakiibiwa pesa kwa njia ya namba 419 kutoka africa.. mimi si mjuzi wa hii habari.. ila baada ya kufanya utafiti nikagundua chimbuko ni NIGERIA mbapo inasadikkia kuwa ni scarm.. Si vibaya fahari wawili au...
  3. C

    Rick Ross I love youuuuuu please marry meeee,take me to Florida'

    hahhahaaaaa.. kama kapenda ndevu mwacheni akazilambe... ila me nahisi ningemfuata lulu alipo:embarassed2: :embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2:
Back
Top Bottom