Search results

  1. P

    Katika hili, Dr. Slaa anastahili sifa!

    Dogo big up. Odinga aliibiwa kura hakuna asiejua yule mwenyekiti wa tume ya kenya alitangaza matokeo kwakushinikizwa ndio maana mwisho wa siku alijiuzuru Slaa ndo kabisaaa ni Rais ambaye hata Mungu anajua. JK anajua kabisa kwamba hakushinda ndo maana he is the worst President in Tanzania. Big...
  2. P

    Kwa video hii, sishangai yanayotokea CHADEMA

    Yap it looks like Zitto was not present. huyu ni trouble maker the best thing nikumudharau kama Shibuda. Zitto hana wimbo
  3. P

    Mafuru resigns from NBC

    All the best Mafuru. ila pole. umeweka historia umekua MD wa NBC . such is life
  4. P

    Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    Yaani leo hii maaskofu wamesema kwamba hawa wenzetu wamenda watu wakuwaua maskofu na wachungaji siku haijapita imetokea shem to the governments. Tunawasamehe
  5. P

    Mahakama yaisindikiza CHADEMA Ikulu

    Together we can.
  6. P

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    let him be fired]
  7. P

    Huyo ndiye Ben Saanane na majibu ya Zitto

    Kwakweli this thread ni nzito. Kuna mwlam wangu aliniambia, ukiona jina lako linatajwatajwa ujuwe kuna jambo.Mm binafsi naheshimu sana Zito lakini miyenendo yake isiyookua yauwazi inanitia shaka. Bwana Yesu alisema wataendaje wasipopatana? Zitto kama nikweli pliz chech yourself hii ni dunia...
  8. P

    Uwezo mdogo wa kufikiri wa madiwani wa Ilala na Meya Jerry Silaa

    Mimi ni mmoja wa watu ambaye nilikua namuona Jerry kama kijana kweli mwenye mawazo yakijana. lakini kwa uupuzi ule aliofanya nimemumfananisha na Napy Nnaue. Hata kama hatuna ushahidi wakua altumia hela za halimashauli ila uwezekani ni mkubwa mno kwasbb ya nembo ya halmashauli. Go Jery. your time...
  9. P

    Mbowe na Slaa wamesusiwa chama?

    Mimi binafsi sikubaliani na mtazamo wako japo nauheshim. mfano hujafanya utafiti kuhusu machemri ni mmoja wa wa bunge ambao kazi yao ni nzuri sana imagine mtu alimwangusha getrude mongela kazi yake ni nzuri jimboni. benson mbona is active. Nadhani ulikua huna habari lakini hongera kwaku wa alert.
  10. P

    Nikiangalia uso wa Tundu Lissu namsoma namna hii...

    Kwakweli that guy is special. ndio maana kikwete hakutaka aingie bungeni. Ukisikiliza hoja zake ni vifungu vya sheria. Ndio maana hata alipoibua ile hoja ya rais kuteua majaji vihiyo hata wanasheria wamagamba mm binafsi waliniambia kwamba wapo hao majaji.Huwezi kujua kama huendi mahakamani.Big...
  11. P

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Nimekusoma jfmwaipopo. kama kweli yuko hv nami nikiwa mwanachama mtiifu wa CDM nashauri abadirike mapema. Hawa magamba wanalitamani sana hili jimbo na tukifanya mzaha tumekwisha.Kamanda Mdee kama umenipata plz we dont want to lose you in 2015 wake up. Tembelea kata zote fungua mashina na...
  12. P

    Chadema ajiri makatibu wa mikoa na wilaya

    Kama kweli CDM tunataka kuchukua dola katika chaguzi za diwani zilizopita ni fundisho kwetu tujipange namna yakufanya kampeni na kuendelea kujiimarisha vijijini ambako ndiko magamba wanajivunia.Ninaimani na mwenyekiti pamoja na kamati yake wataka chini nakutafakari ni wapi pakuanzia.Muda umeisha...
  13. P

    Esther Bulaya VS Esther Wassira

    Mimi bado sijafanikiwa kumona Esther Wassira ila Bulaya nimemuona mara nyingi bungeni.Nilichokiona kwake sip mjengaji hoja ila mbambiaji hoja.Uchangiaji wake mara nyingi ni wa cheap popularity analenga kitu bado anawakati ajifunze kwa watu kama Mnyika.But namushauri Wassira tumuone wkt wa M4C...
  14. P

    Three brothers ndani ya Simanjiro; wamasai wajivua magamba, kadi zagombewa kama njugu!

    makamanda we appreciate kazi yenu.Nilazima kila kata iwe M4C.
Back
Top Bottom