Search results

  1. Michael Mtitu

    Gharama za Lipa kwa simu mbona zimepanda sana?

    Nimetoka kutoa muda huu ni bure.
  2. Michael Mtitu

    Calculator nyingi ni za uongo hebu angalia hii hesabu

    WanaJF wanaonesha umwamba wao wa mathematics enzi wakiwa darasani.
  3. Michael Mtitu

    Kupata msaada juu ya matatizo ya kiakili....

    Ungesema hayo mambo ufanyayo ili kuwasaidia na wengine. Kuna watu hapa wana matatizo ila hawajijui na tunawapoteza hivi hivi.
  4. Michael Mtitu

    INASIKITISHA : Simba tayari ameshapoteza hii game. Arudi tu kuja jipanga

    Mkuu aliamua kuongea kinyume kwa makusudi au bahati mbaya!
  5. Michael Mtitu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimewahi kufanya utafiti uchwara. Kila mechi 13 ambazo zinalingana nguvu kwa vigezo vya ODDS, angalau theluthi yake hutoa DRAW. Nilifanya utafiti huo kupitia jackpot za sportpesa mwaka jana. Kwa lugha nyepesi kila jackpot ya game 13 huwa kunakuwa na sare angalau 4. KWA HIYO Ukichagua DRAW game...
  6. Michael Mtitu

    Safari ya Bujumbura inaendelea tunazidi kupukuta upepo, tupo Kigoma

    Safari njema. Ila usijefanya kama kule Lindi hadi kidagaa akazingua.
  7. Michael Mtitu

    Kuuliza bei kabla ya kuhudumiwa ni ishara ya Umasikini?

    Bei za Msisiri Mwananyamala hizo. unanyoa kwa kwa buku kisha unahamia upande wa pili uwanjani kupata ugali wa buku mia mbili mboga saba.
  8. Michael Mtitu

    Wadau tusiache Kumwombea huyu Fundi (Na Mafundi Wengine Mbalimbali) Kila napomfikiria Machozi yananitoka

    Hapo kiboko huyo fundi cherehani. Ukienda asubuhi unamkuta kashika kabisa suruali yako, ukirudi jioni unakuta kashika suruali yako tena anashona.
  9. Michael Mtitu

    Kufungua radio station

    Jamaa alisimamia ndoto zake.
  10. Michael Mtitu

    Kwa wanaoagiza mchanga au kokoto tunaibiwa aisee kumbe uwa wanapunguza njiani kuna vituo

    Tuwasubiri madereva waje na utetezi au ndio wanatu-zoom kwa mbali!
  11. Michael Mtitu

    Ipi imekaa njema oppo a16 na Redmi 10c

    Nimeona tigo wanauza 520k, wewe ulipata wapi kwa hiyo 480k?
  12. Michael Mtitu

    “Mwanyamala kwa wahaya” ni zaidi ya Sodoma na Gomora!

    Ila umekosea kufananisha Mwananyamala na Sodoma na Gomola. wale watu walipinda aisee
  13. Michael Mtitu

    Kwaya bora Afrika Mashariki na kati

    Kuna mabibo kwaya, mamajusi, kuna KKKT Makongolosi Chunya
Back
Top Bottom