Search results

  1. Y

    Atachaguliwa kwenda A LEVEL?

    Akajisajili kituo cha mtihani, asome tuition tu na atapiga vizuri. kama akiwa seious. KAMA AKIWA SERIOUS
  2. Y

    Wanachuo wa KCMC na MUCCOBS, acheni ushamba

    mkuu umenipa burudani sana aisee
  3. Y

    Ninaweza kusoma Degree kabla ya kumaliza Diploma

    duh aisee mbn km hueleweki na huelewi unataka nn
  4. Y

    Jinsi ya Kuandika Project Plan

    ingia hapa sites.google.com/site/bdrdp2015 chagua project planning and management kisha udownload ppt zile ztakusaidia
  5. Y

    Heslb

    mm sina profile heslb najarbu kutoa msaada
  6. Y

    Heslb

    Ingia kwenye profile yako uone kama kuna mabadiliko
  7. Y

    Dr Magufuli Baada ya kuapishwa naomba uanze HESLB

    chuo utaripoti hata mwez ujao haina shida hyo.
  8. Y

    HESLB nini tatizo?

    kula ada ikifika UE utajua kama una mkopo au la
  9. Y

    Tumechoka kusubiri TCU na NACTE!

    sio lazma uende chuo tarehe mbili
  10. Y

    Mikopo

    uza ng'ombe ukasome
  11. Y

    Mikopo

    duh hii kali
  12. Y

    HESLB mnasubiri uchaguzi upite ndio mtoe majina ya waliopata mkopo 2015/2016?

    jibu zuri kuliko yote ni hili. aisee agiza kinywaji, Nyosso atalipia.
  13. Y

    Mwenzenu majanga

    absolutely ryt. wanachagua vyuo kimajina baadaye 2nd round wanaanza kutapatapa. mtusamehe ila tunaongea from experience
  14. Y

    Mwenzenu majanga

    kwa nnavyojua mm, UDOM hapajai hasa kwa walimu wa sayansi. kutaka kusoma vyuo vikubwa (km jinsi wanaviita) ndio huwagharimu. km vp atuambie machaguo yake ya mwanzo
  15. Y

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    in service mkopo wa nn? kuweni na huruma na wadogo zenu
  16. Y

    Mwenzenu majanga

    mtu wa science kukosa ualimu ni jambo linaloshangaza sana. kama alijaza machaguo ni ualim tupu ndipo napata mashaka
  17. Y

    Mwenzenu majanga

    uliomba vyuo gani? kama ni two huwez ukanambia umekosa ualim aisee
  18. Y

    Mwenzenu majanga

    hyo gpa ni sawa na div ngap kwa old sys? au masomo una alama gn
Back
Top Bottom