Search results

  1. D

    Kocha wa Yanga angemsikiliza Captain Wanayanga tungekuwa tunacheka muda huu. Hili ni fundisho kwake

    Capt alitaka wapige kina nani?? Wataje majina Pili,Sisi wanayanga tumekubali matokeo na tunasonga mbele.Team ipo Avic Town ikiendelea na mazoezi Kwa Ajili ya Mechi ya kimataifa pamoja na KMC. Tulishasahau tunajipanga Kwa ajili ya ligi na KIMATAIFA
  2. D

    Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

    Tatizo Kubwa la Wanawake ni kuwa mkiwa kwenye mahusiano wanadhani baada ya NDOA maisha yatabaki kuwa vile vile uku home wakidemand vitu kibao
  3. D

    Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

    Kwenu mmezaliwa watoto wangapi?? "ENENDENI NA MKAIJAZE DUNIA"
  4. D

    Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

    Ningemletea na room ningewaachia, ni maisha tu na mwanadamu unapoambiwa umebakiza kipindi iki kabla ya umauti wako ni lazima kidogo akili ivurugane na ubongo. NINGEMLETEA.
  5. D

    Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

    Hata kutongoza tulishaacha, SIKU HX TUPO KIDIGITAL YANI TUNAKUTANA TUNAWEKA APPOINTMENT THEN MTU ANALIWA VZR TU.BAADA YA HAPO KILA MTU NA 50 ZAKE,UKIMMISS UNAANDAA FUNGU THEN KAMA KAWAIDA
  6. D

    Kati ya Kelvin de Bruyne na Bruno Fernandez nani bora kwenye soka?

    Acha kimfananisha KDB na vitu vya kipumbavu.
  7. D

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Ngoja nikusaidie kidogo,Kwenye sesnsa iliyopita ya 2022 Idadi ya watu ilikuwa ni 31M wanawake Kwa 30M wanaume ila kiuhalisia Katika hao 30M inayosemwa ni wanaume,Wanaume wa KWELI tupo around 10M pekee!! Kwanini nasema hv,kati ya hao 30M Kuna Mashoga,Kuna Mariooo Kuna wambea,Kuna...
  8. D

    Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

    Mleta Thread sijakuelewa,Hii ni Madam ya WALIMU au ya JESCA wa Kitambaa Cheupe?? Ila Naomba nikukumbushe kitu kimoja tu,Unione muuza Machungwa anatajirika nawe ukaacha KAZI Ili nawe ukauze Machungwa Ili utajirike. Mfumo wetu wa elimu ndio changamoto maana ni wachache wanaweza kuwa na uthubutu.
  9. D

    Sielewi Nini kinaendelea kwa huyu mwanamke wiki hii

    Natumai umekutana na manzi Fulani hv,kama ndio huyo basi afadhari Yako wewe Una biashara Yako mie nilikutana naye nikakaa naye siku 3 Ijumaa,jmos na jipi kwenda Job J3 nikapigwa Warning letter Moja nzito Sana. Sasa sikuwaza kabisa kuwa yeye anahusika..Nimerud tena kwake tokea Alhamis mpaka jmos...
  10. D

    Mshikaji wangu kampenda Mwanamke wa Club

    Kupenda ni upofu,Ushauri wa jf achana nao kwanza, Wewe na akili zako timamu unataka Nini kitokee.?Binafs sijaona suala la kuja kuomba Ushauri uku. Kama tatizo ni yeye kwenda club peke yake nawe nenda naye! Ukiona wewe Sio wa kwenda club kama yeye basi Sio type Yako.
  11. D

    Wakuu nipeni michongo ya pesa ndefu

    Umewai kucheza Zeppelin au Aviator?? Kama haujawai basi mchongo hupo uku
  12. D

    Dar - Mbezi Msuguri; Nauza Friji kubwa na ya kisasa (brand samsung) na SOFA nzuri sana (Leather sofa)

    Hiyo fridge Nina 400,000/= mkuu. Kama vipi njoo Whatsapp 0753 304854.
  13. D

    Mo Dewji ulikosea sana 'Kumsifu' vile hadharani Kocha Mgunda

    Mleta mada haamini kama Simba inaweza kufungwa na Azam, Baadae uje na Refa mmoja kuchezesha derby 2 ndani ya siku 4. Usisahau mastory ya kule Avic Town
  14. D

    Mo Dewji ulikosea sana 'Kumsifu' vile hadharani Kocha Mgunda

    Huyu jamaa anatapa tapa SANA maake kwanza Nchekee😄😄😄😄 Vipi habari za Nabi hazina tena nafasi??Aucho na Morrison hawajakunjana uko Avic Town??
  15. D

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Mmeliwa kimoja 😂😂😂😂😂😂😂😂
Back
Top Bottom