Search results

  1. M

    Samsung galaxy s4 kwa $100 UD tu

    Unapatikana wapi boss!
  2. M

    Samsung galaxy s4 clone inauzwa

    Ni mpya? Bei ya mwisho
  3. M

    Samsung galaxy s4 kwa $100 UD tu

    Hiyo ni clone? Pics pleasa
  4. M

    Maswali 7 ya Jaji Joseph Sinde Warioba

    Ni kweli kodi zetu zinaliwa, sisi kitaa tumechoka balaa, wabunge wanajadili uozo. Mimi namshangaa mwenyekiti wa bunge la katiba amekua weak sana. Ama kwa sababu waliobakia wote ccm! Watu wanatoka nje ya hoja yeye yupo kimya tu! Wabunge wanasutana yupo kimya! Hawajadili...
  5. M

    Be foward Tanzania hamjajipanga, boresheni huduma.

    Pia ukiagiza gari wanachelewa kukutumia! Gari linakaa 2 to 3 months! Mtu analipia February anapata gari yake may! Wamekua ovyo, better to use others.
  6. M

    Maswali 7 ya Jaji Joseph Sinde Warioba

    Jaji warioba yupo vizuri!watu hawajadili katiba, hawasikilizi maoni ya wananchi! Nchi inaendeshwa kidictator.
  7. M

    Msaada: Battery ya Apple IPhone 4S

    Password yako unayotumiaga boss
  8. M

    Msaada: Battery ya Apple IPhone 4S

    Or format yote,kutakua na apps inayodrain battery.reset ya factory just try it.
  9. M

    Msaada: Battery ya Apple IPhone 4S

    Iphone phones ni km ina life warrant,haifi kirahisi hivyo.check na ur charger or hard reset
  10. M

    Mafuta ya ubuyu

    unauzaje?na kwa ujazo gani?
  11. M

    Nyumba ya self contained, tegeta wazo, imewekwa bati 20 m zinahitajika haraka

    hamna,bei sio mbaya huku mimi ndio ninapoishi.kiwanja kitakua squarter.aweke full details
  12. M

    Fuso linauzwa

    Ina number gani? By ze way hamna v8 ikawa ni 18 ton! Kwa knowledge yangu ni 8 to 9 tons, !
  13. M

    ideos ndogo na galaxy nexus zinauzwa

    400,000 je ? Cash niambie upo wapi ! Hiyo nexus
  14. M

    Tahadhari: Biashara HARAMU ya Polisi Barabara ya Bagamoyo

    Hao police imekua ni kazi yao! Hata me nimeshuhudia two times, wanasimamisha gari wanapewa buku kumi. Ni mizigo isiyolipiwa kodi inakuja na majahazi na kushushwa mbweni! Imekua ni kama mradi wao! Sijui IGP anajua haya! Wanaaibisha jeshi la police! Bado kuzunguka na magari ktk machimbo ya mchanga...
  15. M

    Iphone 4 32GB for tsts 550,000/=

    Ina ios ngapi mkuu
  16. M

    Iphone 4 32GB for tsts 550,000/=

    Shuka bei nichukue
  17. M

    Viwanja vya bei nafuu sana vinauzwa goba matosa

    Matosa kubwa sehemu gani?karibu na sekondari?
Back
Top Bottom