Hakuna siri yoyote ila wizi tu ambao mwisho wa siku inaitwa siri.
Hivi watanzania lini ujinga utatutoka?
Kwa nini mikataba iwe siri kama inatuhusu? Tumefanywa wajinga sana
Jamani mwacheni kajifia mhuni yule. Hii ya kutisha watu haitaondoa ukweli kuhusu mapungufu makubwa ya huyo jamaa yenu.
Kama watu watakataa kunichagua kwa sababu ya mhuni huyo waache. Shauri yao.
Hili ni funzo kubwa sana kwa wajinga kama Sabaya.
Nadhani kuna wengine nao walistahili wawe rumande kwa ku abuse madaraka ikiwa ni pamoja na yule jaji aliyekuwa dpp anayeitwa Biswalo.
Kwa wachezea katiba hawa, hata hili watalidharau. Nchi hii inatakiwa viongozi wapate hukumu ya moto kwa Mungu. Hawatekelezi viapo! Wanaichezea katiba kama kitu ambacho ni useless!
Zitaponza vipi? Kwani tbc ni kitu gani?
Wanajiita television ya taifa huku wanatengeneza pesa?
Walichukua haki ya redio zingine kwa kutumia pesa ya walipakodi na hawataki kuilipa Yanga?
Nawapongeza sana Yanga kwa kazi nzuri.
Uliza pesa za wafanyabiashara benki zilikwenda wapi pia? Uliza matrilioni ya mikopo yalikwenda wapi pamoja na kodi lukuki alizokuwa anatutangazia kupata.
Huyo mjanha abaki huko huko kaburini ametusababishia matatizo mengi.
Mkitaka Samia aseme vyote mtakufa mapema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.