Search results

  1. Kesa

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Mabasi ya Ikarus yalikuwa marefu kama haya ya mradi wa mabasi yendayo kasi!! yatakapo anza kazi yatatukumbusha enzi hizoooo!!!
  2. Kesa

    Bachelor of education with special need-udom

    Don't cross the bridge before you reach there!!!!!
  3. Kesa

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    This page is excellent. Ukiwaambia vijana mabo yalivyokuwa wanadhani tunaongeza salt.Nadhani wanajionea wenyewe mabo yalivyokuwa. Mipango miji waende shule upya na kale ka ufisadi syndrome kapate tiba
  4. Kesa

    Jaman naombeni ushauri wenu,madeni yamenizungka kila kona

    Hebu fuata ushauri wa Madam Bubu Msemaovyo. But this should be a big lesson to you and others with such tabias. Ukiwa chuo acha matanuz. Jitahidi kula urefu wa kamba yako ukilazimizimisha kwenda mbali utakata shingo au mguu uliofungiwa kamba. Hope umenipata
  5. Kesa

    Vituko vya MC kwenye harusi

    MC wengine wanaweza kuwafanya watu wapate stroke ukumbini!!!
  6. Kesa

    Kama ni wewe...

    Hapa unaweza ukaishia kwa Babu Mwasapile kwa pressure!!!
  7. Kesa

    Msaada kwa mkaka

    Jamani let us be serious!!! Yaani wewe umetoka na mbegu zako ziwe mtama, uwele au mahindi na ukaamua kuja kuziotesha kwenye shambe la mtu mwingine ukiwa na akili zako timamu, utamdai mwenye shamba kwamba hayo mazao ni ya kwako? Huyu jamaa MWIZI ingawaje wengine hawataki na jamaa zake wakubali...
  8. Kesa

    Can you answer this child's question?

    The doctor who is doctoring has to practice his doctoring as a doctor because the doctor who is being doctored is a patient. It is undoctoral for a doctor to fulfull the interest of the doctored!!!! Hahahahaaah!
  9. Kesa

    Breaking newzzzzzzzzzz......!!!!

    Nyani haoni kundule!!! Hapo Kenya kuna mji unaitwa KAKUMA, pale Kibosho kuna watu wanaitwa MBORO hayo majina yapo mpaka kwenye vyeti vya ubatizo kanisani na shuleni. Tunao akina Nguruwe, Komba, Mbawala, Mapunda, Tembo nk. Huko Visiwani kama alivyosema mwana JF mmoja ni vurugu tupu, Mchamba wima...
  10. Kesa

    Dah!! English ngumu

    Waswahili wanasema Nguo ya Kuazima haisitiri ******. Huyu jamaa angetoa maelezo kwa kikwao stori ingekuwa tamu sana
  11. Kesa

    hivi hapa JF...wakaka

    Wewe BBI unayetaka kukagua wa kakazzz, be careful usije ukashawishika
  12. Kesa

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kumchinja Kobe yataka timing, Utaishia kunawa, Usiidharau kazi yangu yakwako hainisaidii, Aibu yako ni yangu, lakini hii....!!!!
  13. Kesa

    Wasakwa kwa kumvisha mbwa fulana ya Kikwete

    ACTIONS SPEAK LOUDER THAN WORDS!!!! Hivi hawa jamaa wana mtindio wa ubongo!!!!??? wanataka wananchi wawaambieje zaidi ya haya yanayo tokea???:
  14. Kesa

    Wasakwa kwa kumvisha mbwa fulana ya Kikwete

    Pole sana Mheshimiwa Quinine. Mimi nashauri hata hii AVITAR yako uibadilishe ili isionekane ime kaa ki CCM, CCM. Umesema kweli tusije tuka pata shida ya kuingia gharama za uchaguzi mara 2
  15. Kesa

    Elections 2010 PICHA: Kikwete alivyofunika jana huko Mwanza

    HAKUNA UWONGO MBAYA KAMA KUJIDANGANYA MWENYEWE!!!!!! Tehetehe!!! Yaani hii inanikumbusha vituko vya MR. BEAN anapojitumia mwenyewe kadi za krismas ili naye aonekane wamo wakati hakuna hat jirani anaye mjali.
  16. Kesa

    Elections 2010 Kipindi cha Dk Slaa kilichokuwa kirudiwe chaahirishwa

    Huwezi kumfunga bondia mwenzako mikono halafu utambe eti umeshinda kwa knock out (KO). si utaonekan mwehu tu??!!
  17. Kesa

    Elections 2010 Kipindi cha Dk Slaa kilichokuwa kirudiwe chaahirishwa

    Hii ndio raha ya kuwa na Rais Kilaza kwani hawezi kubuni mambo yake mwenyewe mpaka apige chabo. Kuna vimjamaa viwili vinadhani vyenyewe ni V.I.Ps wa nchi hii. January na Ridhwan. Kama wao ni wababe wakatafute dawa ya kifafa ya JK!!! Na kama JK atakwenda Jangwani tarehe 30 akianguka haamki tena...
  18. Kesa

    Licking the tits

    I think the title is clear, it is LICKING teats not SUCKING. I don't think there will be any milk oozing out during the process even if the mother is lactating
  19. Kesa

    Hii ni picha halisi ya tukio zima la kuapishwa kuwa rais kwa awamu ya pili 2010-2015

    Inaelekea wewe una tatizo linoloitwa ki taalam DYSLEXIA. Unachanganya tarakimu. Huyo doctor wenu wa Mlingotini atapata kura 09!!! Usichanganye tarakimu
  20. Kesa

    Elections 2010 Sakata la Rushwa ya Askofu.DR.Mokiwa lachukua sura mpya

    Ninampongeza Askofu Mokiwa kwa ujasiri na kusimamia wito wake wa KITUME kwa Ujasiri na kuonyesha kwamba hata kama alichaguliwa kwa kura kuwa Askofu lakini Yule anaye mtumikia ana mamlaka KUU kuliko mamlaka zote za hapa duniani. Ni heri kufa kuliko kuli aibisha jina la Kristo. Huu ni U Mafia...
Back
Top Bottom