Search results

  1. mamseri

    Napata ndoto za kutisha baada ya kwenda kwa mganga wa kienyeji

    Kwanza naona wote wanakupotosha wewe uliambiwa mila za kwenu ndio chanzo, sasa bila kwenda kumaliza hizo mila hakika hutasimama katika kipato chako. Kwanza jiulize ndoto huwa zinatoka wapi unahitaji ushauri upo gizani. Ndoto ni taarifa kutoka kwa malaika wako Mungu aliokujaalia sasa umeonyeshwa...
  2. mamseri

    Mazishi ya mtu hai kishirikina

    Mkuu naomba na mm hiyo link
  3. mamseri

    Utabiri wa Sheikh Yahya Huessin mwaka 2006 na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke

    Wewe dini huijui watabiri wengi ni wasomi wakubwa wa dini ya kiislam
  4. mamseri

    TCRA kudhibiti utoaji huduma za vifurushi kwa kampuni za simu

    Mbona halotel ni 1000 gb 1 na dakika 10 bure kwa wiki?
  5. mamseri

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Mimi nilijiunga kifurushi cha bila kikomo cha 1500 tena dk zilikuwa nyingi lakn siku mbili hata sijatumia naambiwa sina salio mpaka leo lain yangu ipo mfukoni sijui mnakwama wapi
  6. mamseri

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Wewe kwenye ndoto usifikiri hizo nguvu ni zako wanaopigana ni malaika wako Mungu aliokujalia (Babu na bibi zako) washukuru na wape sadaka pamoja na mwenyezi Mungu
  7. mamseri

    Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo Usseri Rombo!

    Ng'ombe anatumika kwenye mila pia huzibwa mdomo halafu kwenye pua inaingizwa vitoto vya mgomba kuziba pumzi mpaka anakufa.
  8. mamseri

    Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo Usseri Rombo!

    Hata ww hujitambui aliekumbia matambiko ni ushirikina nani, tambiko ndio dini ya asili ya mwafrika hizo nyingine mbwembwe tu
  9. mamseri

    Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo Usseri Rombo!

    Hiyo ni asili yao kwan kuna madhara gani tena anabanwa pumzi mpaka afe ndio achinjwe kikwetu
  10. mamseri

    Serikali itusaidie kukomesha huu udalali kwenye tiketi za mabasi

    Hawa wapiga debe huwa wananunua tiketi zote ofisin ikifika muda wa safari mwenye bus yeye anajua gari imejaa hivyo wakishindwa kuuza wanapata hasara wao sio mwenye bus.
  11. mamseri

    Serikali kuchunguza madai wananchi kuibiwa data, vifurushi na kampuni za simu

    Atusaidie tu maana mtu unanunua kifurushi ikitokea dharura hujatumia unaambiwa muda umeisha na pesa hurudishiwi.Tunataka ukinunua kifurushi utumie mpaka kiishe sio unanipangia muda wa kutumia
  12. mamseri

    Uganga wa Tiba ni haramu?

    Uganga ndio tiba sahihi kwa mwanadamu hizo nyingine ni mbadala tu, mfano mtu amelogwa hiv hospital ya kawaida anaweza tibiwa? utapigwa masindano mpaka unauwa figo na ini, na katika kitu wazungu walituweza ni kutuambia kuwa vyakwetu vyote havifai na ni ushirikina. Dini ya asili ya mwafrika ni...
  13. mamseri

    Unahitaji utajiri wa fasta? Pitia hapa

    Utajiri upo mkubwa tu we fanya mila za kwenu muombe Mungu na mizimu yako ikupe mali wala hakuna garama maziwa na pombe au kondoo
  14. mamseri

    Kwa bei hizi ni akina nani hununua bidhaa kutoka maduka ya Street Soul ya Dar es Salaam, Arusha na Mwanza?

    Mkuu unataka kuniambia huu mchele wa elf mbili haufai sio tununue wa elf 16 kuepuka magonjwa?
  15. mamseri

    Kwa bei hizi ni akina nani hununua bidhaa kutoka maduka ya Street Soul ya Dar es Salaam, Arusha na Mwanza?

    Yaan hizo bei ni kubwa lakn vitu ni org, ila hapa aim mall kuna super market moja mchele kg1, inaanzia elf 7 mpka elf 16 mpaka unajiuliza ni kwa ajili ya dawa au ni chakula tu
  16. mamseri

    Kwa bei hizi ni akina nani hununua bidhaa kutoka maduka ya Street Soul ya Dar es Salaam, Arusha na Mwanza?

    Huwezi fananisha mkanda wa elf 50 na huo wa 185000 nenda kagua vizuri
  17. mamseri

    Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    Mm niliachana na hizo jumuiya tangu 1998 mpka leo zile ni saccos za kukusanyia mapadri hela kibaya zaidi kilichoniuma jumuiya zinashindana kupeleka za wadi kwa parokia yaan jumuiya x ikileta mayai, kuku, mchele, wine na lak 3 tunapanga eti ss tiwazidi
  18. mamseri

    Tulioamishwa Tarrifs na TANESCO

    Mm pia nanunua kila mwezi haijalishi unit zipo au la mpaka sasa nina unit zaidi ya 500 za akiba, nina uwezo wa kutumia mwaka mzima bila kununua umeme
  19. mamseri

    Nimeamua kuachana na siasa rasmi. CHADEMA walinihatarishia ajira yangu ya umma ila leo wameunga juhudi

    Tanzania hakuna upinzani wote ni wasaka tonge mimi nilisanuka tangu ya Lowassa hata huyo Mbowe sio mpinzani labda Lissu
  20. mamseri

    Serikali msijisahau katika hili la daktari kumtibia mtu wa jinsia tofauti na yeye

    Lakini nasikia wakati mnawapima njia huwa mnawachezea na vidole
Back
Top Bottom