Search results

  1. Rashidabdallah

    Kama huijui vizuri kampuni ya utafiti ya SYNOVATE sasa hivi inaitwa Ipsos synovate.

    Hii kampuni ni ya kinyonyaji sana kuanzia kwenye mfumo wao wa malipo uko ovyo sana na ubabe mwingi sana unatumiwa na managing director wao mr Aggrey uriwo. Watafiti wanacheleweshewa wages zao zaidi ya miezi sita na hii ndiyo inasababisha upikwaji wa data pala. Wakati mwingine field manager...
  2. Rashidabdallah

    Kama huijui vizuri kampuni ya utafiti ya SYNOVATE sasa hivi inaitwa Ipsos synovate.

    fuatilia mkuu utendaji na matokeo wanayotoa synovate hakika utakuja kuwachukia watafiti.
  3. Rashidabdallah

    Wadau.

    Karibu sana jf
  4. Rashidabdallah

    Kama huijui vizuri kampuni ya utafiti ya SYNOVATE sasa hivi inaitwa Ipsos synovate.

    Habari zenu wanajamvi? Ninataka kuwajuza tu kama hamuifahamu vema kampuni ya utafiti ya Synovate. Kwa miaka kadhaa kampuni hii ya utafiti imekuwa ikitoa matokeo ya tafiti za kubashiri hali ya siasa hapa nchini utfiti huo unaitwa SPEC. 1.Tafiti zao zote hazifuati kanuni na taratibu za kufanya...
  5. Rashidabdallah

    Synovate: Vinara tisa urais 2015

    Kweli kabisa kampuni ya synovate inasifika kwa upikaji wa data na hii project SPEC ndiyo inamatatizo sana ya pesa hadi data collector wanapika dodoso guest house.
  6. Rashidabdallah

    CCM Maarufu: Utafiti wa Synovate wabainisha!

    Hii tafiti wanayofanya synovate inaitwa SPEC AU SHADA na huwa kwa mwaka wanaifanya mara tatu. Katika hii kampuni kuna malalamiko mengi sana kutoka kwa data collector kwa kulipwa pesa kidogo na hata wages zao kucheleweshewa wakati mwingine hadi miezi minne au mitano.Sasa kwa matatizo haya hawa...
  7. Rashidabdallah

    jaman hii tanzania loans society ni ya nan hasa

    Namba ya tigo imesajiliwa katika tigo pesa ZAINABU MRISHO.
  8. Rashidabdallah

    Researchers needed

    Asante kwa taarifa.
  9. Rashidabdallah

    MM Research ndio mkombozi wa tafiti nchini Tanzania.

    MM Research&consultancy company ni kampuni ambayo inafanya tafiti mbalimbali hapa Tanzania,ina wafanyakazi waliobobea katika tafiti.Tunakaribisha makampuni mbalimbali pamoja na taasisi zote ndani na nje ya nchi. Tembelea kwenye tovuti yetu www..mmresearch.uphero.com au kwa no za simu...
  10. Rashidabdallah

    Jeshi jeshi jeshi

    chadema ndio chama kitakachoongoza dola 2015 ajira za jeshi zitakuwa wazi na bila kificho na upendeleo kwa watoto wa makada wa chama.
  11. Rashidabdallah

    Natafuta kazi ya utafiti iwe interviewer au supervisor.

    kaka yale ni makampuni ya wakenya kuna ukandamizaji sana,kuna watu wamekuwa vibarua kwa miaka sita hawajaajiriwa.hakuna mipango yoyote nimekuwa kibarua tu pindi project ikiwepo.
  12. Rashidabdallah

    Natafuta kazi ya utafiti iwe interviewer au supervisor.

    Nimefanya kazi za utafiti tangu wakati nasoma form five nilikuwa nafanya part time wakati wa likizo baada ya kumaliza form six nikaendelea na kazi hiyo hadi wakati huu nimefanya project kama 50 nikiwa na synovate sasa hivi wanaitwa ipsos synovate na hata infinity insight,millward brown,research...
Back
Top Bottom