Search results

  1. M

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    mkuu jeshi huwa wanaumri maalumu wa kujuunga au kwa ulaya ni tofauti
  2. M

    Mambo ya kuzingatiiwa na DEREVA unapokaribia alama za ZEBRA

    dodoma zebra zinazo heshimika ni mbili tu, ya jamatini na zebra ya relini kama unaenda mahakama kuu opposite na kanisa.
  3. M

    Mnishauri: Elimu form four nataka nikasome ufundi mechanic U.S.A

    div three ya 25 c tatu ya phy,bios na kisw mengine d.
  4. M

    Mnishauri: Elimu form four nataka nikasome ufundi mechanic U.S.A

    Kheri ya mwaka mpya wanajamvi. Nina ndugu yupo U.S nataka niende huko ila napenda kama nikienda basi niende nikasome katika fani ninayoipenda yaani mechanics sasa sijui kwa elimu yangu itaewezekana au nibaki bongo tu nikasome VETA.
  5. M

    Nielewesheni jinsi ya kujiunga advance level U.S.A

    kwenda kusoma a level secondary schl
  6. M

    Vigezo gani vinahitajika kujiunga A-level Kenya?

    kwa four leaver wa bongo akienda kenya anaweza kujoin unvrty au!
  7. M

    Nielewesheni jinsi ya kujiunga advance level U.S.A

    Hi every body! naomba ufafanuzi hapa,ukitaka kwenda kusoma marekani kwa level ya advance secondary ni shart uwe na level ipi ya elimu ya hapa tanzania? na ukisoma advance ya marejani unaweza kujiunga na chuo kikuu cha Tz na kupata mkopo?thank you.
  8. M

    Vigezo gani vinahitajika kujiunga A-level Kenya?

    Hi every body! Naomba ufafanuzi hapa, ukitaka kwenda kusoma Kenya kwa level ya advance secondary ni sharti uwe na level ipi ya elimu ya hapa Tanzania? na ukisoma advance ya Kenya unaweza kujiunga na chuo kikuu cha Tanzania na kupata mkopo? Thank you.
  9. M

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    wakuu habari zenu! mimi naomba kujuzwa kuhusiana na gharama za chuo kwa mwaka kwa mtu anaeyechuku diploma ya MECHANICAL ENGINEERING kuanzia ada na kila kitu.
  10. M

    Kwa muda huu inawezekana kweli

    nataka kusoma mechanical engineering
  11. M

    Kwa muda huu inawezekana kweli

    nataka kusoma mechanical engineering lakini kusoma kwangu kutategemea mkopo wa body kwani nitaomba likizo bila malipo kutokana kwamba fani hiyo ni tofauti na fani ninayo tumikia sasa. ningechukua hata diploma ila kwa sasa sina uwezo wa kumudu ada na gharama zingine kwa miaka mitatu ya masomo...
  12. M

    Kwa muda huu inawezekana kweli

    mkuu New Nytemare ndio harakati zenyewe hizo za kutafuta pesa.
  13. M

    Kwa muda huu inawezekana kweli

    muhali gani wanajukwaa wezangu!nimemaliza kidato cha nne mwaka 2008 takribani miaka tisa imepita.Kwasasa nimeajiriwa nahitaji kujiendeleza ila lazima nipitie A level .Je ninaweza nikamudu masomo ya a level kwa komb ya pcm maana nimemaliza shule miaka mingi hata yale mafomula ya hesabu nimesahau.
Back
Top Bottom