Search results

  1. Nussayr

    Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

    Patia yeye na hizo nguo!! Sijasema umlipishe. Vipi kwani umeshasahau mara hii tu, raha ya kuwa FAZA?.
  2. Nussayr

    Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

    Alikuwa anafurahia kuona pingili pingili zikiwa kwenye track'suit zake. Asingeweza kumpa za uso. Namshauri vitu vyote alivyotumia huyo manzi Afanye kumtumia tu yeye anunue vipya. Kwani laki saba ni mbali kiasi gani??
  3. Nussayr

    Biashara ya duka stress tupu

    Una Maana gani we Jamaa?
  4. Nussayr

    Biashara ya duka stress tupu

    Una muda gani tangu uanze kuifanya baishara hiyo? Unauza nini hapo dukani? Pole lakini!
  5. Nussayr

    Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

    Kivipi? Una tego sio??
  6. Nussayr

    Miaka 35 huna familia, gari, nyumba wala mashamba... Unategemea miujiza gani kutoka Mbinguni?

    Hawa jamaa wa kuwahi nafasi Tusaidiane kuwajulisha umuhimu wa mawazo yao kwa sisi wasomaji. tusiwakatie tamaa namna hii. Mkuu Daby aliwahi anzisha uzi wa kututaka tuitafakari Jf ya leo. Nakumbuka thread ile ilipeperuka hadi leo haionekani.... sijui nini kilitokea.
  7. Nussayr

    Kwenu madada:ushauri.

    Na zile kamati zetu pendwa za maandalizi ya Harusi nasi katujumisha??
  8. Nussayr

    Throwback Thursday.....

    Ni hapo juzi tu...
  9. Nussayr

    Throwback Thursday.....

    This.
  10. Nussayr

    Throwback Thursday.....

    Doh!!
  11. Nussayr

    Maswali gani ya kijinga ulishawahi kuulizwa ?

    Unafanya nini saa hizi? Nikamjibu "naongea na wewe" Hapo ni baada ya salamu za kutosha tena ndefu kwelikweli.
  12. Nussayr

    Baada ya Chanels za FTA kuondelewa naona Zuku wameboresha huduma

    Hongera sana mkuu. Jamaa wa Startime wamepitia na TBC yao hapa. Sijajua huko home hali ipoje. Tutavuna "TUSICHOPANDA" mwaka huu.
  13. Nussayr

    Continental decoder: kwa yeyote yule mwenye king'amuzu cha continental

    Kwa sasa tulia kwanza... unapotaka kuamia ni porojo tupu. Fanya kusubiri hiki kiupepo kitulie.
  14. Nussayr

    RIP in advance..part 2

    Done.
  15. Nussayr

    Kufanya mapenzi kinyume na maumbile

    [emoji1] [emoji1] Atusaidie kujua inathibitikaje kuwa ni kweli huyu kafanya kosa hilo??
Back
Top Bottom