NAAMINI KUTAJWA TAJWA KWAKE NI UTHIBITISHO JINSI RUSHWA NA UFISADI UNAVYOWEZA KUATHIRI JAMII KISAIKOLOJIA KUTEKA MAWAZO YA WENGI PASIPO KUJITAMBUA.
KIWANGO ALICHOFIKIA CHA KUNUNUA WAJUMBE NA WADHAMINI WA CCM KILA KONA NA ISITOSHE KUNUNUA BODABODA NCHI NZIMA NA KUGAWA FEDHA MAKANISANI NA...
Ni ushauri kwa Jeshi la Polisi kupitia jukwaa huru la JF.
Ni wakati muafaka kuachana na uniforms nyeupe kwa polisi wa usalama barabarani. Kwani hudhalilisha mtu asionekane msafi kutokana na mazingira ya kazi yake yaliyojaa vumbi kuchangia kuchafua uniforms haraka.
Tubadilike...
CCM mpya Tanzania mpya
Hayawi hayawi sasa yanaenda kutimia...Tunahesabu masaa kuanzia leo kabla ya tarehe 23.7.2016 ambapo nchi mpya inaenda kuzaliwa. Ni nchi yenye jina lilelile Tanzania ila yenye mtazamo, utamaduni wa kutenda na utashi mpya katika kusimamia maendeleo ya watu wake na njia zake...
Wakati huo mwenyekiti CCM taifa alikuwa Mkapa mwaka 1997 na ndipo alipoaanguka ghafla akiwa katika vikao vya chama na baadae kukimbizwa hospital na baadae kufariki dunia.
.
KI UKWELI NA NINA ENDELEA KUSEMA TENA NA TENA, JAMANI, JAMANI, JAMANI MTU HUYU HAFAI KUWA HATA KATIBU KATA. MNAO MKUMBATIA MTAJUTA.
AONYWAE KILA MARA NA KUSHUPAZA SHINGO YAKE ASISIKIE, HATIMAYE HUKATWA ASIPATE DAWA.
KWA WAKUU WOTE NDANI YA UZI HUU:-
NAAMINI RAIS WETU YUKO VERY OBJECTIVE NA STRATEGIC ANAFAHAMU VEMA NI MKUTANO GANI WENYE MANUFAA KWA NCHI NA UPI NI WA KUNYWA CHAI NA KAHAWA NA NI UPI AENDE NA USIO NA MANUFAA WA KUTUMA MWAKILISHI NI UPI NA HUFANYA HIVYO.
KWA HIYO NI VEMA TUMPE NAFASI YA...
ENDELEENI KUSHANGAA KWANI VICHWA VYENU VIMEJAA MAJI. AKIENDA MWAKILISHI NA AKIENDA RAIS TOFAUTI NI IPI?
KUNA JIPYA ZAIDI YA AJENDA ZILIZOPO MBELE YA KIKAO AMBACHO AKIENDA RAIS ATAZIBADILISHA NA ASIPOENDA YEYE BASI AJENDA HAZITOJADILIWA?
TUACHE FIKIRA DHAIFU ZA KUFIKIRI KUWA RAIS AKIENDA KWENYE...
UKAGUZI HUU UMECHELEWA SANA. TUNAOMBA UFANYIKE KWA UMAKINI MKUBWA NA KAMA ITAGUNDULIKA KUNA UPOTEVU WA KODI YA SERIKALI NI VEMA MGODI ULIPE GHARAMA YOTE AU MALI YA WAHUSIKA ITAIFISHWE NA SERIKALI TUCHIMBE WENYEWE.
KWA WANAOMUUNGA MKONO LOHASA UKIWAFUATILIA SANA UTAGUNDUA KUNA JAMBO HALIKO SAWA NA HUENDA NI WAPIGA DILI MIJINI AMBAO JPM AMEWASHIKA PABAYA. KWA MTU ANAYEJITAMBUA HATA KAMA ALIWAHI KUPITIWA AKAMUUNGA MKONO KWA SASA ALISHAJIREKEBISHA NA HATAKI HATA KUMSIKIA JINA LAKE.
Ni zigo tena zito sana. CDM watajuta tu subirini siku si nyingi.
Ogopa sana katika maisha yako mtu anayependa madaraka/cheo au fedha kupindukia. Mtu namna hiyo ni mbinafsi, mchoyo na yuko tayari hata kutoa roho ya mtu.
Hulka na Kariba aliyonayo mtajwa hapo juu kwenye mada haitoi mwangaza...
MLETA UZI NI WAKUPUUZWA HAJITAMBUI.
Ni vema tujiulize kabla ya kunena. Majibu ya maswali haya hapa chini ndo yatakayomsaidia mleta uzi.
1.Website nini?
2.kazi yake ni ipi?
3.Ina manufaa gani?
4.Hutengenezwaje?
5.Je utaalam wa IT ni kutengeneza website?
6.Ku design website inahitaji mafunzo...
Seif amekwama naona anajishika pua, masikio, midomo, kichwa lakini wazungu bado hawamwelewi. Jamani madaraka na tamaa za kutaka uongozi mbaya sasa anahangaika na ulimwengu. Na ulimwengu siku zote ni tambara bovu.
VYAMA VYETU VYA SIASA VINGI NI VYA KIFAMILIA JAPO VINA JIPAMBANUA KAMA VYAMA MAKINI VYA KITAIFA. VIMEKUWA CHANZO CHA MGAWANYIKO NDANI YA JAMII YETU.
NI VYEMA WATANZANIA TUKA ANZA KUPAMBANUA CHAMA CHA KITAIFA NA KILE KILICHOJENGWA KAMA CHAMA CHA KIFAMILIA KATIKA SIASA.
JINSI YA KUTAMBUA CHAMA...
Kiukweli watanzania tubadilike. Tunatia aibu jamii yetu kwa kujenga utamaduni wa kulalamikia kila jambo linalofanywa na serikali na viongozi wetu.
Napata shida sana kufahamu ni kipi hasa watanzania wanahitaji.
Serikali awamu ya nne imelalamikiwa sana kuwa dhaifu, fisadi, rais mzururaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.