Search results

  1. M

    Mapato na Matumizi ya zaka, sadaka, fungu la kumi na michango 'Makanisa ya Walokole'

    .....sigh...and with this last gasp of breath..... I fulfill my mission here on earth......dying like Apostle Paul.....a very happy soul indeed. In Jesus name, Amen!
  2. M

    Mapato na Matumizi ya zaka, sadaka, fungu la kumi na michango 'Makanisa ya Walokole'

    Kuna watu wanadhani kuwa makanisa ya 'kilokole' yako juu ya sheria. Napenda kuwakuwakumbusha kuwa makanisa yote ili yaendeshe shughuli zake kihalali hapa nchini, ni lazima yapate usajili kama NGO's, hivyo uwazi wa mapato na matumizi ni jambo la msingi, na kutojua sheria sio kinga ya kuvunja...
  3. M

    Mapato na Matumizi ya zaka, sadaka, fungu la kumi na michango 'Makanisa ya Walokole'

    I wish to hear directly from the congregation members themselves! Ukweli unabaki kuwa ukweli tu, 'Mtumishi atakula madhabahuni'. Wachungaji na waumini kuweni wakweli, je kuna 'auditing' yoyote katika mapato na matumizi kwenye makanisa yenu? Hususan, makanisa ya 'kilokole', je yanaendesha...
  4. M

    Mapato na Matumizi ya zaka, sadaka, fungu la kumi na michango 'Makanisa ya Walokole'

    Tatizo la usiri wa mapato na matumizi katika makanisa ya 'walokole' limechukua sura mpya baada ya kujitokeza vilio vya baadhi ya waumini toka makanisa mbalimbali ya madhehebu hayo wakitaka uwazi juu ya matoleo yao. Hali hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na viongozi wakuu wa makanisa...
  5. M

    Tayari nimepanga kutembelea vyombo zaidi vya habari

    Thus, making it even more important to include the JF headquarter in Nape's program of visiting house media, so he can exchange views with Maxence and Mods & other staff at JF. Go Nape go...... I salute JF and all its members!
  6. M

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    Yes, I know EL pretty well! He's in top gear towards the race for 2015 General Elections!
  7. M

    Pamoja na ujio wa Symbion, mgao kama kawa!

    double-loss kwa wenye dstv,startimes,etc., umeme uwepo au usiwepo, bili iko palepale!
  8. M

    Nini Tafsiri ya Ubalozi wa Canada kufanya sherehe za taifa lake Dodoma ili wabunge wahudhurie?

    Canada Day is on next Friday 01st July 2011, NOT ON 24/07/2011 (this Friday). Source: google 'CANADA DAY 2011'. Mchezo mchafu???
  9. M

    Tunaibiwaaaaaa! Jamani wateja wa Vodacom someni hapa!

    Leo ni siku ya tano tangu nianzishe thread hii, Vodacom wameuchuna tuwaeleweje? Mwamvita Makamba naomba uweke mambo hadharani, maana mimi ni mteja wa Vodacom wa kudumu na sina mpango wa kutupa laini yangu. Mnyonge, mnyongeni, ila haki yake mpeni! Au kwenu nyie Vodacom mteja sio mfalme?
  10. M

    Kupitisha Bajeti; binti wa Nyerere 'HAPANA', binti wa Sokoine 'NDIO'.

    Msimamo kati ya familia mbili maarufu katika historia ya taifa hili umekuwa tofauti ndani ya bunge la bajeti, baada ya Mh. Leticia Nyerere kupiga kura ya 'Hapana' huku binti wa marehemu Sokoine akipiga kura ya 'Ndio'. Hii ndio demokrasia ya kweli miongoni mwa kada ya wabunge wa viti maalum...
  11. M

    Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    Mimi natofautiana na wana-CCM wenzangu, naamini Nape ataniunga mkono kwa hili; well done Freeman (Mbowe). Now it's your turn Nimrod (Mkono) and Jenista (Mhagama) to set pace on CCM behalf, rudisheni hayo 'mashangingi' mrudishe heshima kwa wananchi walalahoi. The time for change is now, or...
  12. M

    Tunaibiwaaaaaa! Jamani wateja wa Vodacom someni hapa!

    @Barubaru, uchunguzi umekamilika na hapa kinachofanyika ni kukusanya ushahidi zaidi ili hatimaye hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya Vodacom. Hivi sasa tunavyoendelea kuchangia mada, bado wizi huu unaendelea kwa spidi ile ile!
  13. M

    Kadi yangu ya CCM niifanye nini?

    CCM JUU, JUU, JUU ZAIDI, upinzani ndani ya Chama ndio jeuri ya Chama kwa wapinzani wetu! Hongera wanamapinduzi wa kweli kwa kukiimarisha Chama, na ole wao mafisadi kwa kuidhoofisha Chama, CCM JUU, JUU, JUU ZAIDI. Mapinduziiii.......daimaaaa!
  14. M

    Kituko kingine cha Pinda

    Something is very wrong in Pinda's head (bent mind)! Hivi kama mhasibu wangu in my private company, ananisababishia hasara ya 2m na internal auditors wanaconfm mhasibu aliziiba kwa kufoji risiti, je sitamsimamisha kazi mara moja na kutoa taarifa polisi? Shame on you, bogus PM!
  15. M

    Kadi yangu ya CCM niifanye nini?

    mpambanaji, wewe ni mpambanaji kwelikweli, na nimeupenda sana ushauri wako. Kibwagizo; Chama chetu cha Mapinduzi chajenga nchi x2, Nyerere, aaaah! Kawawa wajenga nchi. Karume, aaaaah! Sokoine, wajenga nchi. Bahati mbaya saaana wana-CCM wa ukweli tumebaki wapweke, maana viongozi wetu wote ni...
  16. M

    Tunaibiwaaaaaa! Jamani wateja wa Vodacom someni hapa!

    Wizi unafanyika bila kuuliza salio na bila kutumia simu, as I said earlier the balance is reducing automatically every 30minutes by shs.0.02, the only time the deduction ends is when you remove the sim-card out of your phone! Wizi mtupu! Au na wao wame-introduce CAPACITY CHARGES!
  17. M

    Tunaibiwaaaaaa! Jamani wateja wa Vodacom someni hapa!

    You'll be terrified by this fact; yaani hata kama simu yako yenye line ya Vodacom umeizima kabisa, utakapoiwasha after 1hour utakuta wameshaiba shs.0.04! This is too much, stop Vodacom, stop stealing from your customers! It's a huge sum of money you're stealing from your over 4million customers...
  18. M

    Let's assess safety ya Ikulu with Ferry, Fish Market, Kituo cha rapid transport

    tupe taarifa zaidi, kuna mtu au kikundi cha watu ambao unajua wana nia ya kufanya mashambulizi? In case of confidential info, just PM me please.
  19. M

    Tunaibiwaaaaaa! Jamani wateja wa Vodacom someni hapa!

    Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia na kuchunguza kinachoendelea katika mitandao mbalimbali ya simu hapa nchini. Leo naona ni siku mwafaka kuweka bayana jinsi Vodacom inavyoibia wateja wake kama ifuatavyo: Leo asubuhi saa 10:48 salio langu lilikuwa shs.278.21 - saa 11:33 ni shs.278.17 - saa 12:29...
Back
Top Bottom