Search results

  1. Limbani

    Don Nalimison amwandikia barua Mkurugenzi Jiji la Mwanza kuacha Kazi na Ajira Serikalini

    Hujaandika kuacha kazi, bali umeandika kuomba kuacha kazi. Na kwa vile ni ombi, wanaweza kukukatalia!
  2. Limbani

    Barbra Hassan wa Power breakfast.

    Muache dada wa watu, she is good!!
  3. Limbani

    Safari ya Mafia: Njia gani nzuri ya kunifikisha?

    Kiongozi ni kati ya masaa 4 hadi 6 kutegemea na boti na hali ya hewa kwa siku hiyo
  4. Limbani

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuni namba 238844 na reference namba ni "mkeka"
  5. Limbani

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Mangapi alishafariki kitambo tu
  6. Limbani

    Nauza iPhone 6s bei sawa na bure

    Pole kaka, watu vyuma vimekaza
  7. Limbani

    Kwa mwendo anaokwenda nao Rais Magufuli, upinzani unakufa kifo kitakatifu.

    Upo sahihi mkuu, maana nafasi ya vyeo vya uteuzi ni chache, pia kuna wanaCCM ambao wamepigwa jua na mvua wakisubiria vyeo. They will not be happy kuona akina Katambi nk wakipewa vyeo.. Labda ni uoga wa kufichuliwa madhambi na kushughulikiwa (Msando) ndio unawafanya wengine kukimbilia CCM...
  8. Limbani

    Mwenyekiti BAVICHA Patrobass Katambi Naanza Kupoteza Imani Kwako!

    Soma tarehe ya hiyo post na ujitahidi kuhushughulisha ubongo wako
  9. Limbani

    Ndege yaanguka Serengeti na kujeruhi watalii wawili na rubani mmoja

    Nyingine imeanguka leo na kuua watu 11
  10. Limbani

    Ndege yaanguka Serengeti na kujeruhi watalii wawili na rubani mmoja

    Ndugu yangu ndege nyingine ya Coastal imeanguka leo na kuua abiria 10 na rubani mmoja!!
  11. Limbani

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Kuna yule dada alikuwa na jina nimelisahau!! Anakatika kulingana na mvuta kamba anavyotaka...
  12. Limbani

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Ni vikaragosi, vile vinavyochezeshwa na mshika kamba, Akivuta mguu unacheza, akivuta mkono vivyo hivyo!!
Back
Top Bottom