Search results

  1. M

    World War III mlangoni tujihadhari

    Putin amesema matangazo ya vita ni njama za Marekani na washirika wake ili waweze kuuza silaha zao na kutengeneza faida. Hii hapa chini kwa ufupi toka YahOOO Russia threat exaggerated by West to justify military spending - Putin Vladimir Putin has accused the West of exaggerating the threat...
  2. M

    World War III mlangoni tujihadhari

    Haituachi nasi, pengine Nuc ikapigwa Syria na upepo ukaileta africa si ndiyo tumekwichaga bageshwa!!! mimi bado nina hamu ya kuendelea kuishi hata nifikie mamia
  3. M

    World War III mlangoni tujihadhari

    Turkey has this morning warned the conflict in Syria will be the flashpoint for World War III as global superpowers back opposing sides. “If this proxy war continues, after this, let me be clear, America and Russia will come to a point of war,” Deputy Prime Minister Numan Kurtulmus told Anadolu...
  4. M

    Mrema awashukia wanasiasa wanaomkwaza Rais Magufuli

    “Wakati wa harakati za uchaguzi mkuu wa mwaka jana wapo viongozi wa dini waliosimama kwenye nyumba za ibada na kuwahubiria wafuasi wao kwamba mwaka huu rais lazima atoke kanda ya Kaskazini na nje ya hapo hatuwezi kukubali. Maneno hayo hayapaswi kuachwa yaendelee kwa kuwa ni hatari kwa...
  5. M

    Wito kwa wanafunzi wote wa vyuo

    Wewe un watoto wangapi uko mashuleni? Usidanganye watoto wetu ili wavunjwe miguu na kupoteza maisha katangulize wa kwako, kaka na dada zako kwanza tuone matokeo ndo twakwetu wajifunze ukomandoo wenu
  6. M

    Ndoa ya ccm na cuf yatoa raisi ukawa

    Jana Wadanganyika walipatwa na butwaa baada ya kushuhudia mazingaombwe ya CCM yaliyofanywa Zanzibar yakijirudia tena kwa Watanganyika kwa kuibua ndoa ya CCM na CUF kiaina.Ndoa hii iliyosababisha Maalim Seif arejeshewe mafao yake na hatimaye kuwa makamu wa rais kwa upande wa Zanzibar, sasa...
  7. M

    Kagame says 'Rwanda will not accept this rubbish of injustice' after London arrest of its spy chief

    Ndugu zangu katika mada kama hii hatupaswi kuwa wawasha moto bali tujadili kwa ukweli na uwazi. Mie baada ya kuangalia michango yote wote mnajadili kwa kulalia pande zenu yaani uhutu na u-tusi na wengine kuitukana nchi yangu Tanzania kwa vyvyote sijapenda hayo ebu jadilini tofauti kudai kwamba...
  8. M

    Tanzania yaendelea kuporomoka viwango fifa

    Viongozi wa soka Bongo siyo kabisa toka enzi ya Babu Ndolanga hatuna viongozi wa soka bali manazi wa soka tu wakijinufaisha na mapato ya soka na kujipatia umaarufu tu hata huyu Jamal Malinzi hana lolote kwa maendeleo ya soka letu bali ujiko na kujikweza tu.Mbona tunashiiiiiiida Wabongo!!!
  9. M

    What MPs do in Bunge

    My point to the above Quote is, we, as Ordinary people/Citizen/Voters need some significant support to believe that our representatives are going to be able to fulfill their most fundamental duty that of holding government to account and being the watchdog and gate-keepers of the nation’s...
  10. M

    TeamLowassa hatuna chetu Ikulu!

    Taratibu hadi August, 2015 wengi mtakuwa ICU au mortual kabisa!!
  11. M

    Edward Lowassa special thread

    ama kweli wewe nae zero
  12. M

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Hakika mkimchagua huyu mjue safari ya Matumaini kuelekea kuzimu imeivaa Mwasis wa taifa letu alishatoa maono yake kuhusu EL na kuhitimisha kwa kusema wote mnaomshadidia mkaribisheni majumbani kwenu mnywe nae chai lakini siyo Ikulu Watanzania upofu huu hadi lini?? Huyu ni mwanamazingaombwe tu...
  13. M

    Magufuli: Barabara Dar - Chalinze kuwa na flyover tano

    Kaka akinyamaza nani atajua kama flies zilianza enzi yake akiwa Magufuli wa mabarabara!!
  14. M

    What MPs do in Bunge

    Members of Parliament spend their first year wondering how they managed to get elected, and the rest of their time in office wondering how their colleagues got elected. Do you agree? if yes why do you think so.
  15. M

    Mgombea urais CHADEMA kupatikana Agosti 4

    Sijaona mahali panapoongelea ni jinsi ama namna ambayo mgawanyo wa majimbo yaliyopewa Chadema na ukawa yatakavyo kuwa ila taarifa inaonyesha kuanza uchukuaji wa fomu kwa madiwani na wabunge kwana kwa majimbo ambayo Chadema hawana uwakilishi. Nini maana ama hata Ukawa ni mbwembwe tu? Wekeni wazi...
  16. M

    Haya ndiyo Majina ya wagombea wa nafasi za uongozi Taifa ACT- Tanzania

    Kipummbwi yumkini we simweledi wa mapinduzi!!historia inatuonyesha kuwa wale wote walioleta mapinduzi ya kweli katika jamii walionekana wasaliti kwa wengi wenye maono tofauti na wao. Hata baba wa taifa alionja mahakama ya mkoloni,akina chee, Max,Lenin,Socrate na hata Mao wa China. Hivo...
  17. M

    Tanzania dreams big with port project at former slave harbour... seen as JK port legacy project

    For those of us who know Bagamoyo in comparing with Singapole port,we think that the project is viable since the Baga ports could handle multiple number of ships (in the same way to the singapore port) vs Dar ports with limited wharfs/berths.Dar have only 8 berths and the entrance can allow only...
  18. M

    World Bank urges Tanzania to tackle fiscal deficit

    Fiscal deficit!!!????I cannot understand why the Government is forced to borrow internally while her institutions spend handsomely on luxurious expenditures!! and still same institutions have set a side huge amount of funds in financial institutions which earns interest to accumulate funds for...
  19. M

    Sababu za kufunga Boda ya Tanzania na Kenya

    Watanzania wenzangu sote tumekua tukisikia jinsi ndugu zetu wanaofanya biashara ya kusafirisha Watalii wanavonyanyaswa na kunyanyapaliwa kutoka kwa jirani zetu hawa. Kwa maneno ya kawaida tu ni vigumu kuona usumbufu unaowakabiri ndugu zetu aswa unaposikia ya kwamba Waziri anayehusika na maswala...
  20. M

    Linda na Zari nani mzuri

    Linda yupi mnamlinganisha hapa?kama Linda wa ATL Zari hampati yule Linda wa akina Richard wa BBA!ni moto wallah!pamoja na kuwa ni age mate wangu above 40s but you would be wipedout by her beuty!!!
Back
Top Bottom