Search results

  1. T

    Dkt. Bashiru Ally amtaka Bernard Membe kujibu kuhusu kufanya vikao vya kutafuta kura 2020

    Kwahivo imeshindikana kumpa taarifa yeye binafsi na likaishia hukohuko mpaka kuongea hadharani tena kutema biti.
  2. T

    Iringa: Mahakama ya Wilaya yamwachia huru Abdul Nondo baada ya kutomkuta na hatia

    Kwa matamshi yote Yale ya Mwigulu,kumbe ilikuwa hewa tu, aje hapa sasa aongee tena. Hii nchi inavituko Kweli.
  3. T

    Uko wapi Dk Wilbroad Slaa? Njoo ushuhudie anguko la Mafisadi

    Nishampigia fisadi.Tumempenda wenyewe.
  4. T

    Rais Kikwete akabidhi Polisi Magari 399 mapya kati ya 777 leo Kurasini jijini Dar es Salaam

    Why now?? Hatishiki MTU hapa,mtaachia hii nchi asubuhi mapema jogoo la kwanza.watu ndivyo tulivyoamua.
  5. T

    System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

    Hizo nguvu zoote na pesa nyingi mnazotumia kununua wasanii na kulipa wanamuzik kuwavuta watu kwenye kampeni,ni za nini.mngekaa basi msubiri kuapishwa.Kwanza wewe ni nani ikiwa tu mwenyekit wenu alishasema uchaguzi wa mwaka huu siyolelemama kama wenye akili mgando km wewe mnavyotaka...
  6. T

    Prediction: CHADEMA kupoteza majimbo 50% waliyokuwa wanayashikilia

    Kijasho kitakushuka teremka chemka .Ahahaha
  7. T

    Maalim Seif ahutubia umati wa wafuasi wa CUF Buguruni saa 3 usiku jana

    Kwa Mara nyingine mpango wa CCM umefeli.
  8. T

    Kazi inaanza na majeshi yapo imara

    Kutoka kaskazi mpaka kusi kutoka masharik mpaka magharib,tutashambulia kutoka makanisani.
  9. T

    Dr. Slaa: Lowassa alijieleza kwetu tukamuelewa, pia wapo wengine wanakuja

    Wakati nchi IPO gizani kumbe mkuu wa kaya anasuka mpango wakupiga dili Richmond.
  10. T

    Vijana: UKAWA ni tishio la amani na usalama wetu

    Kama kilivyo chama chako cha mapepo naona umeshapagawa.Tukusamehe bure kwakuwa hii inayotema pumba siyo akili yako.
  11. T

    CHADEMA ni Vigeugeu, Wasaka tonge, Opportunists, double standard

    Maccm hofu imewashika yanajua kabisa Lowasa akihamia upinzani ni tatizo.Yamejaa woga na sintofahamu. Kwasasa hata akija nani ila inamaanishida tu ccm kuondoka madarakani ni BIG YES. NAICHUKIA CCM KULIKO KITU CHOCHOTE.
  12. T

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Wapuuzi hao wanatumika.Kwasasa ni ngumu mno kuzuia wimbi la mabadiliko lililopo.Naichukia sana ccm.
  13. T

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Kwa Mara ya kwanza kabisa nimesoma comments zote sijaacha Hata moja; hapa ofisini wananishangaa.Huu Uzi mtamu aisee.Napenda Siasa ni tamu.
  14. T

    ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

    Poor Machali.Nimemdharau sana huyu jamaa.Bunge atalisikia tu haingii tena.
  15. T

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    HABARI MBAYA:Huu mwaka hakivuki hiki chama cha wezi.
  16. T

    CHADEMA mnapaswa kujua kuwa Watanzania tuna akili timamu na si matahira

    Tangu lini watu wanaotoka maeneo unapotoka wana akili.
  17. T

    Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

    Huu Uzi peleka huko kwenu CCM hapa siyo mahali p
Back
Top Bottom