Search results

  1. M

    Membe Ubalozi karibia utafungwa kule Brussels

    Watalii wengi kwa mfano wanaoshukia JNIA wanalipia visa hapo Airport Dar es Salaam. Hawachukui visa ubalozini.
  2. M

    `SMZ rudisheni hati za kusafiria`

    kuhusu apology nimeshaelewa si unajua tena utu uzima, nimekubali kuwa umekubali.
  3. M

    ZANZIBAR HAINA FISADI hata mmoja

    muungano ufe hakuna haja kuwalazimisha watu kuungana kama hawataki, muungano ni kama ndoa, na katika ndoa hakuna kulazimishana? Wazanzibar wapewe full authority, wamebakiza vitu vidogo sana, wana rais wao, wana bunge lao, wana chama chao cha mpira, wana wizara zao n.k.
  4. M

    `SMZ rudisheni hati za kusafiria`

    whatever the case, muungano ufe hakuna haja kuwalazimisha watu kuungana kama hawataki, ndoa kani ni lazima? Wazanzibar wapewe full authority, wamebakiza vitu vidogo sana, wana rais wao, wana bunge lao, wana chama chao cha mpira, wana wizara zao n.k.
  5. M

    ZANZIBAR HAINA FISADI hata mmoja

    minority ni wewe ulileta hapa, peruzi tena huu mjadala uone kama kuna mahali nimeweka neno minority.
  6. M

    `SMZ rudisheni hati za kusafiria`

    inafaulu kwa gharama za wanzibari, hawawataki mnajikombakomba kwao, mara ngapi wameshawaambia muuvunjike muungano, labda wanataka kuungana na nchi nyingine yenye maslahi isio na mafisadi wala ukimwi. Hii ni karne ya ishirini na moja ya sayansi na tekenolojia na utandawazi, hakuna kufa kiofisi na...
  7. M

    ZANZIBAR HAINA FISADI hata mmoja

    wewe si umeuliza wapi nimeitoa hiyo habari, nimekuwekea nasubiri apology.
  8. M

    `SMZ rudisheni hati za kusafiria`

    hiyo myth ya uzungu ni wewe ndio unasema. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uvunjwe, kwani ni lazima kuungana? ilivunjika Checkslovakia, USSR ije kuwa Tanzania.
  9. M

    ZANZIBAR HAINA FISADI hata mmoja

    sehemu yenyewe hiyo hapo juu.
  10. M

    `SMZ rudisheni hati za kusafiria`

    hii tanganyika ilikuwepo na uhuru tumepigania wenyewe. Sasa kujikomba huko Zanzibar mliwasaidia mapinduzi? tukubali ukweli tuwaachie nchi yao, nini kulazimisha.
  11. M

    ZANZIBAR HAINA FISADI hata mmoja

    umepata wapi hiyo habari.
  12. M

    `SMZ rudisheni hati za kusafiria`

    kwa habari hii na ile ya zanzibar hakuna ufisadi unaweza kung'amua upande upi hautaki muungano
  13. M

    `SMZ rudisheni hati za kusafiria`

    nchi moja kuanzia lini, kujikomba kwenye muungano tu wakati hamtakiwi! Tanganyika ni Tanganyika na Zanzibar ni Zanzibar, hakuna cha Tanzania.
  14. M

    ZANZIBAR HAINA FISADI hata mmoja

    kwi kwi kwiiiii
  15. M

    ZANZIBAR HAINA FISADI hata mmoja

    Hbari ndiyo hiyo, bububu, nungwi, paje, chwaka, hadi mazizini na kiembe samaki acha michenzani na darajani wote hawataki muungano. Nashangaa watanganyika wasiojua hata kiswahili wanang'ang'ania muungano,
  16. M

    `SMZ rudisheni hati za kusafiria`

    yaani watanganyika kujikomba huko visiwani hawachoki, hawataki muungano unawaletea matatizo mengi, kuanzia ukimwi hadi ufisadi. Muungano na uvunjwe.
  17. M

    ZANZIBAR HAINA FISADI hata mmoja

    soma hiyo habari vizuri. Bara ndio kuna mafisadi na visiwani hakuna. Sasa ili ufisadi usiambukizwe huko visiwani logically muungano uvunjike.
  18. M

    ZANZIBAR HAINA FISADI hata mmoja

    mji mkongwe
  19. M

    ZANZIBAR HAINA FISADI hata mmoja

    akina nani hao.
  20. M

    Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama na maziwa mbadala iwapo ni lazima

    hiyo onja onja hadi kujua ladha inaendana na chakula inamaanisha njema irikuwa ikipata kama dozi?asubuhi mchana na jioni, au kila mama anapomaliza kula.
Back
Top Bottom