Search results

  1. K

    Waziri KAPUYA na bendi yake

    JF ni kutoa uwazi na ukweli, tatizo si kueleza nisemacho mimi ni jinsi watu walivyochangia. haikuishia kwa kapuya na u alhaj wake watu wamefikia hadi kwa ustaadh na hujat hii moja kwa moja ni uukashifu uislam ndio maana nikauliza mbona haikutajwa padri au sister ili watu wajue mchangiaji alikuwa...
  2. K

    Waziri KAPUYA na bendi yake

    acheni udini waislamu wakijibu mnapiga kelele, pekecha mauno haijalishi ni Alhaj, Ustaadh au hajat mbona hukusema sister padri au kasisi na ndio kutwa wanaimba ndombolo ya yesu
  3. K

    Waziri KAPUYA na bendi yake

    JF kuna ubaguzi hasa wa diniangalia watu wanavyochangia Kapuya kuwa na bendi. Hairuhusiwi si kapuya (alhaj) bali waislamu wote. eti mtu anachangia anasema unatakiwa upekeche kiuno haijali ni Alhaji, Ustaadh au Hajat mbona hajasema sister, padri au kasisi. mnasema watu waache kashfa za dini...
  4. K

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    kulaumu wanafunzi na kuseherekea kupigwa kwao na kupelekwa mahakamani wakati kina Balali, Mkapa, Lowasa, Vijisenti(Chenge ) na wenzao wanatesa mitaani japo wamefisadi kiasi kikubwa cha mali zetu ni kuwa na ujauzito wa mawazo au utindio wa ubongo
  5. K

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    samhani nahisi yote mliongea ni sahihi lakini hayana lakini hayazingatii ukweli na wakati. kuwalaumu wanafunzi hawa ambao wanajua nini wanadai huku maisha yanazidi kuwa magumu kwao kusoma kwa tabu huku milioni zaidi ya mia zinalipwa Richmond na nyingine zaidi ya 140 zinalipwa mkapa na wenzake...
Back
Top Bottom