Search results

  1. Opticf

    chumba na sebule kinahitajika

    chumba na sebule kinahitajika maeneo ya kimara korogwe kuja mpaka riverside. laki moja budget. asante
  2. Opticf

    Budget 100k simu inahitajika

    Habari mwenye kuuza simu kwa hiyo bei. Anitafute
  3. Opticf

    Natafuta Simu inayo support Whatsapp

    Kwa 120k utanipa smartphone ipi? Ni pm kama unayo.
  4. Opticf

    Nahitaji Smartphone kwa 100k

    Habari wanajamvi ninahitaji simu kwa bei hiyo.
  5. Opticf

    Self contained maeneo ya Ubungo

    Nahitaji chumba maeneo ya ubungo kiwe self budget 50,000/=
  6. Opticf

    Mtungi wa gesi

    Natafuta mtungi wa gesi ambao hauna kitu yaani empty.
  7. Opticf

    Vodafone v 875 smart mini inauzwa

    Nauza simu tajwa Ipo katika hali nzuri kama unahitaji nicheck bei 70k only.
  8. Opticf

    Pata Vodafone v875 mini

    Nauza simu hiyo kwa 70000/= km unahitaji ni pm imetumika miezi 2 Ipo katika hali nzuri
  9. Opticf

    Ofisi za GL

    Habari wanajamvi ningependa kuuliza ofisi za GL yaan generator logistic wanahusika na mambo ya minara upande wa power transmission je zinapatikana wapi?
  10. Opticf

    Vodafone V 875 inauzwa 80,000/=

    Simu tajwa hapo juu imetumika miezi miwili haina tatizo inakubali line zote. Kama unahitaji niPM.
  11. Opticf

    Natafuta chumba self contained

    Ninahitaji chumba maeneo ya kuanzia ubungo hadi kimara au njia ya tegeta kuanzia tangi bovu mpaka tegeta. Asanteni nahitaji kuhamia mwanzo wa mwezi wa nane kama itawezekana
  12. Opticf

    Vodafone V875 smart mini

    Simu tajwa hapo juu zinauzwa zikiwa zinakubali line zote ni mpya unafungua mwenyewe kutoka kwenye box lake. Bei 100000/=
  13. Opticf

    Uza simu ya Vodafone kutoka vodacom

    Jaman mwenye kuuza simu ya vodafone kutoka vodacom aniuzie
  14. Opticf

    Simu na pad za tecno bei rahisi.....

    nikija na 100000tshs ntapata simu gani?
  15. Opticf

    Smartphone inahtajika

    Uza smartphone kwa 100000tshs iwe na uwezo wa kushka 3G
  16. Opticf

    Kwa wale wanao hitaji vyumba mbezi mwisho.

    bei gan chumba
  17. Opticf

    Wapi ofisi za Northen Engineering Works Ltd

    Wakuu napenda kuuliza wapi zilipo ofisi za NEWL kwa hapa Dar?
  18. Opticf

    Ofisi za Jilanjo na Mobax

    Heshima kwenu wanajamii ningependa kujua zilipo ofisi za jilanjo na mobax haya ni makampuni mawili tofauti.
  19. Opticf

    Gsm300 modem

    Wakuu nahtaj kujua wap naweza pata modem aina hyo katika maduka yetu?
  20. Opticf

    Nahtaj sim kwa 100000

    Jaman mwenye simu hyo nimeshaingia mjin tuwasiliane
Back
Top Bottom