Pole sana mkuu, Mungu akutie nguvu. Nikupe tu neno la faraja kuwa hii Dunia ni njia na sisi tunapita, hakuna njia tunaweza epuka kifo. Zika mkeo na ushukuru kwa yote.
NB: Nimetoka kuzika ndugu wa karibu sana jana kwa huu ugonjwa wa cancer so naelewa maumivu na gharama za kuuguza. Huu ugonjwa ni...
Nenda UDOM, angalau wana mitaala inayoendana na dunia ya sasa. Hivi vyuo vikongwe vingi bado wana mitaala ya zamani.
All in all, course zote za computer ni wewe mwenyewe kujiongeza. Zipo zote online
Kama una mpango wa KUOA hapo achana nao kabisa.
Wanawake wa dizaini hiyo ni kuwafanya "watumwa". Kama akikuomba hela usimpe mpaka mkutane mkulane, yani hela unampa baada ya "show". No show no money. That way atajigundua kuwa yeye ni muuzaji na itamuuma (hapa kama ni kweli sio muuzaji).
Na...
Nadhani hujanielewa sehemu, nimemaanisha leo sio siku ya mapumziko kisheria. Hivyo wanaosherehekea leo wanalazimika kwenda makazini. Ila kama serikali ingetangaza leo ni mapumziko basi na wao wangekuwa na muda mzuri zaidi
Halafu kwa ujuavyo serikali ni nani? Unavyoviona leo kama sheria/mifumo...
Ungeweza kutoa hoja bila kutumia maneno ya kuudhi.
Nikuulize swali, unafikiri anayepanga 'public holidays' ni nani? Mfano tungekuwa na majority ya wananchi wana imani ya ki-budha, je siku yao kuu isingeiingizwa kwenye public holidays?
NB: Kwa majibu yako, wenye kuelewa wameshaelewa elimu yako...
Nadhani umefika wakati sasa Serikali muondoe hii sintofahamu ya sikukuu za kitaifa( public holidays) haswa zinazotegemea muandamo wa mwezi.
Ni vizuri serikali (msemaji wa Serikali) akawa yeye ndio anatangaza kama ni mapumziko ya kitaifa au la. Inakuwa sio vizuri/ haijakaa vizuri kwa...
Nchi ya maziwa matatu inalalamikia ukame dunia ya leo? Hivi kama 'think tank' zimechoka huko kwenye system si mpishe damu changa aisee?
Yani kuna mambo yanakera kupita maelezo.
Maana ya kuwa na ziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa ni nini sasa?
Matatizo uliyoelezea yote hapo juu, 'Mwajuma' wa huku mtaani anayatatua kwa accuracy ya 98%. Tatizo sio wa kishua na uwe tayar kuishi na 'mswahili' kwa kiwango flani.
IF YOU KNOW YOU KNOW
Ukiuguza ndio utajua umuhimu wa hivi vyoo vya kukaa.
Ila pia katika kuboresha, wizara inaweza ku-design vitu kama removable-plastic-casing ambavyo unaweka juu ya choo kabla ya kukaa.
Ikiwa mgonjwa anakuwa na uhitaji anapewa. Ili kupunguza ile interaction ya wagonjwa wengi kukalia choo kimoja...
Huyo kaamua vita mapema, mwambie aje lodge flani na taja namba ya chumba ila mwambie una 50k. Hiyo 50k nyingine unalipia chumba.
Kama yeye hajakuonea aibu kukuomba hela, hutakiwi na wewe umuonee aibu. Kwa wakongwe tunajua huyo ni muuzaji
TANESCO naomba msaada, umeme hauingii ndani ya nyumba lakini nimeangalia kwenye rimoti ya luku unit zipo za kutosha tu. Ila kuna alama ambayo sijaielewa, nimeweka picha kwa ufafanuzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.