Search results

  1. Crashwise

    Sakata la mwandishi wa ITV na DC lachukua sura mpya, RC aingilia kati

    Jamani oneni tunavyo aibika Kama taarifa nilizoziona kwenye moja ya majukwaa ya kijamii kuhusu wana habari Arusha na RC ni kweli kwamba RC Gambo kamuombea radhi DC wa Arumeru kwa kuamuru kuswekwa rumande kwa Mwandishi wa ITV na Radio One, Halfan Liundi na kutoa pikipiki mbili kwa chama cha...
  2. Crashwise

    Simba SC bingwa U20

    Team ya Simba chini ya miaka 20 imefanikiwa kuchukua kombe baada ya kuifunga team ya Azam Fc kwa mikwaju ya penalty 5-3 kabla ya hapo team hizi zilitoka sare ya 2-2 mchezo uliochwzwa kwa dakika 120.... Hongera team yangu ya Simba walindeni hao vijana
  3. Crashwise

    Kuota ni hatari kuliko kuua?

    Waliouwa tunaruhusiwa kuwaona magereza lakini aliyetoa maono/ ndoto siyo mahakamani wala magereza tunazuiwa kumsalimia wala kwenda kusikiliza kesi yake... Hii serikali ya Mungu inataka kuwaaminisha watanzania kuwa kuota ni hatari kuliko kuua.... Kwanini nasema hivyo juzi vijana wengi...
  4. Crashwise

    Vita ya Gambo na Lema yahamia kwenye Familia ya Lema

    Mnyukano wa Godbless Lema Mbunge wa Arusha mjini na Mrisho Gambo RC mkoa Wa Arusha linaendelea na sasa limeingia kwenye hatua nyingine mpya baada ya mke wa Lema kukamatwa juzi na kuhojiwa na kesho atapandishwa kizimbani...
  5. Crashwise

    Lema amgomea Mrisho Gambo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa Hospitali ya mama na mtoto

    Leo ilikuwa uwekaji jiwe la msingi ikiwa tayari kabisa ujenzi kuanza rasmi mgeni rasmi alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo laini zoezi hilo limeshindwa kufanyika baada ya mkuu wa mkoa huyo kudaiwa kuvuruga kwa makusudi hali iliyompelekea mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema...
  6. Crashwise

    Kumbe Fiesta ni kuitangaza CCM!?

    Nimepita stand ya daladala hapa Kilombero Arusha nimekuta Gari la matangazo linamasticker ya M na mwenge siwezi kuweka hapa maana nayachukia.. swali langu kwenu wanajukwaa kumbe fiesta ni kuitangaza CCM?
  7. Crashwise

    Lema azidi kuing'arisha Arusha, atoa vitanda na magodoro zahanati ya Elerai

    Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema amesaidia vitanda vyote na magodoro yote ya zahanati ya Elerai hivyo kufanya zahanati hii kupanda hadhi kuwa kituo cha afya, Mungu akurudishie ulipopunguza, hakika Arusha tunasonga mbele na kupaa kimaendeleo. Zahanati hii itahudumia kata ya Elerai...
  8. Crashwise

    Meya wa CHADEMA Arusha kugawa mamilioni kwa vikundi 96 vya Ujasiriamali leo

    Halmashauri ya Jiji la Arusha ambayo inayoongozwa chama Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) leo itagawa zaidi ya milioni 400 kwa vikundi 96 vya ujasiriamali kutoka katika kata 25 ili kuwawezesha kujikwamua kiuchumi Zoezi hili ni la awamu ya kwanza, na linafanyika kwa mara ya kwanza katika historia...
  9. Crashwise

    Anaewaelewa Baba Jesca na Baba Mwanaasha anieleweshe!?

    Mmoja anasema wale watoto waliotimuliwa udom ni vilaza mmoja anasema walifaulu vizuri tu na walisitahili kuendelea na masomo huyu anaungwa mkono na waziri wa wizara hiyo wa baba jesca. ndugu zangu wanajamvi naomba kujua nani yuko sahihi na je ni kweli Baba jesca ana mtoto anasoma UDOM na alipata...
  10. Crashwise

    Katibu Mkuu CHADEMA atembelea Bunge la Afrika Mashariki

    Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Vincent Mashinji alipotembelea na kushiriki katika bunge la Afrika mashariki leo mkoan Arusha akiwa ameambatana na wajumbe Wa kamati kuu prof Baregu na Fedreck Sumaye (waziri mkuu mstaafu) na mbunge wa viti maalumu mkoa wa Arusha Mh. Cecilia Pareso,Katibu wa CHADEMA...
  11. Crashwise

    Maoni ya kambi rasmi ya upizani(KUB) kuhusu bajeti ya wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UFUNDI MHESHIMIWA SUSAN ANSELIM JEROME LYIMO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KATIKA WIZARA HIYO KWA MWAKA...
  12. Crashwise

    Arusha; Nyumba za polisi zaangukiwa na mti na kusababisha maafa

    Mti mkubwa umeangukia moja ya nyumba wanazoishi Polisi wa kituo kikuu cha polisi mkoa wa Arusha na wilaya ya Arusha....
  13. Crashwise

    Hotuba ya Kambi ya Upinzani kuhusu makadirio na matumizi Wizara ya Mambo ya Ndani

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MHE. GODBLESS JONATHAN LEMA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI YA UPINZANI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA HIYO, KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 Inatolewa chini ya...
  14. Crashwise

    CHADEMA Arusha, yaandelea kufyeka magugu ya chama cha Mapinduzi

    Habari njema Halimashauri ya jiji la Arusha linaloongozwa na CHADEMA limeshinda kesi ya mil 78 dhidi ya Barack printers kampuni inayomilikiwa na Moris Makoi diwani wa Moshi vijijini ccm. Mahakama ya rufaa imeamuru kampuni hiyo kulipa halimashauri kiasi hicho cha fedha, itakumbukwa kuwa Barack...
  15. Crashwise

    CCM ni ile ile na wanachelewa sana kuelewa

    Na Cecilia Pareso. Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wafanyakazi nchini leo wanapoadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani. Nimemsikia Rais, katika hotuba yake ameahidi kushusha kodi ya Pay As You Earn(PAYE) toka asimilia 11 ya sasa hadi asilimia 9 katika mwaka ujao wa fedha 2016/17...
  16. Crashwise

    Baada ya Nape kuzuia Bunge, sasa Baraza la Halmashauri ya jiji la Arusha live kupitia Radio 5

    TAARIFA KWA UMMA. Kituo cha Radio 5 Arusha kitarusha live mkutano wa Baraza la Madiwani; Halmashauri ya Jiji la Arusha siku ya Jumamosi tarehe 07/05/2016. Wananchi wote mnashauriwa kufuatilia kwa karibu mijadala itakayokuwa inaendelea kwenye Baraza moja kwa moja kupitia Radio 5 au kufika...
  17. Crashwise

    Kesi ya Halmashauri ya Arusha Mjini Dhidi ya Morris Makoi diwani wa CCM Moshi

    -Kesi ya Halmashauri dhidi ya Moris Makoi(diwani wa Moshi Vijijini)inaendelea katika mahakama ya Ardhi hapa Arusha. Makoi amefungua kesi akipinga Halmashauri kuchukua jengo lake la ghorofa lililopo stendi ndogo (viyumba 27) pamoja na choo,ambavyo hakuwahi kulipia ushuru wa pango tangu 2005...
  18. Crashwise

    RC wa Arusha aanza uigizaji baada ya tetesi kuwa anahamishiwa Shinyanga

    Kuna tetesi kwamba RC Ntibenda wa hapa Arusha anapelekwa Shinyanga sasa haikueleweka ni kichaa gani leo kilimkumba RC huyo akaita waandishi wa habari akiwaambia anaenda kukabidhiwa madawati Fibre Board kufika kiwandani akaanza kwa kuzunguka ndani kiwanda kama vile mtu aliyepoteza pochi mara...
  19. Crashwise

    TANZIA: Diwani pekee wa CCM ktk Jimbo la Arumeru Mashariki afariki dunia

    Diwani wa Kata ya Ngarenanyuki, Ngudu Naftali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Jana jioni alipata ajali ya kuanguka toka kwenye mti wakati akiwa anapruni. Ikumbukwe ndiye alikuwa Diwani pekee wa CCM Jimbo la Arumeru Mashariki R.I.P...
  20. Crashwise

    Tundu Lisu: amshangaa JPM na amri take ya kukamata watu hovyo..

    Lissu alaani agizo la Magufuli kwa wakuu wa mikoa ya kukamata watu ovyo. Mwanasheria mkuu wa Chadema Tundu Lissu, ametoa maoni yake kuhusu kauli ya Rais Magufuli ya kuwaagiza wakuu wa mikoa kawakamata vijana wanaocheza pool muda wa kazi. Mwanasiasa huyo maarufu, alisema ni wazi kuwa agizo...
Back
Top Bottom