Search results

  1. J

    Mama yako akiwa na Jamaa unajisikiaje?

    mama ni mama wala sitahangaika na huyo jamaa, ingawa sitamheshimu kama baba yangu! But raha ya mama nitaiheshimu na ikiwezekana nitailinda kwa nguvu zote maana asingekuwa yeye nisingekuwepo duniani
  2. J

    Misemo ya Kizamani

    > pekosi-suluari pana chini > jast bikoz- car wash
  3. J

    Hivi kwanini Mahakimu uitwa Waheshimiwa

    Ni mazowea tu hayo, maana waheshimiwa wa kweli duniani ni baba na mama, pamoja na babu na bibi- wengine is just ndugu
  4. J

    Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

    ni kweli, na hata katika mitandao hawaweki up-dates zao waisrael hawaonyeshi hali yake ikoje kwa sasa, ingawa kuna wakati familia yake ilisema haitazungumzia hali yake tena maana ni almost keshakufa
  5. J

    Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

    Kwa hiyo hawa wanaotamba wameishi miaka 132 watakuwa wameishi masaa mangapi kwa mujibu wa hesabu za Mungu? let's share experience ingawa ni za kibinadamu!
  6. J

    Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

    una uhakika upi?give relevant evidence na ikiwezekana za kisayansi zaidi- maana unajadili issue muhimu na pia ya mtu muhimu zaidi kuliko Wtz wote
  7. J

    Kifo cha RPC Mwanza: Maswali ya Bei Mbaya...

    Ongeza na hili, kama ni kikao cha harusi, mkewe alimuacha wapi?
  8. J

    "Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

    ipo kazi, eh endeleeni kuleta mambo wadau ili mjadala unoge, maaaaana hata mimi nilikuwa na wazo fulani kama hilo > 1. Gari binafsi, bila ulinzi tena usiku ule? > 2. Wako wawili ndani ya gari-harusi/kikao cha harusi unakwenda bila ndugu wengine i.e mke? > kwanini alijiamini kiasi cha kuongea na...
  9. J

    Hekima inapoita: Mauaji ya Barlow yanahitaji kulaaniwa, kukataliwa na yanalia "haki"

    Be it or not, Barlow anabaki kuwa binadamu aliyekuwa na haki ya kuishi kama mimi na wewe tunavyoendelea kupumua. Kimsingi kufurahia jambo baya hata kama umewahi kutendwa au kuathirika kwa ubaya wowote wa dunia hii au wa kimfumo wa serrikali, hupaswi kushangilia kifo cha mtu mwenzako, hata kama...
  10. J

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Tunasubiri majibu zaidi kuliko maswali tuliyo nayo kutoka Jeshi la Polisi, lakini kwa ufupi tu ni kuwa, binafsi najiuliza hivi hakuna mkono wa maofisa wa jeshi hilo mkoani Mwanza? maana nasikia kati ya makamanda wa polisi waliokuwa makini katika kazi, huyu Barow alikuwa miongoni mwao. Hakutaka...
  11. J

    Mgombea CCM azimia akihesabu kura!

    alijua atashindwa akaona bora ajizimilie baaaaaliii ili awe na sababu
  12. J

    Katiba mpya itaruhusu wanawake kutongoza wanaume na kuwaoa!.

    hii itakuwa poa maana nao ni binadamu na kwa kuwa wanataka haki kwa wote, basi hapo ndo haki itakapoanzia watusimamishe barabarani na kuanza kutubembeleza kama tufanyavyo sisi, hiyo imekaa mwake
  13. J

    Dr Slaa kutikisa Arusha Jumamosi

    kwani kuna kipi kipya, mwenye taarifa atujuze, ana makombora gani tena?
  14. J

    Kambi ya Lowassa Inapumulia Mashine ndani ya CCM, Ndoto za Urais zazidi kuota mbawa

    walipofikia sasa watamalizana, tusubiri matokeo tutaona balaa lake, maana biashara iliyoko ikulu inaonekana kuvutia wengi, kuna biashara gani pale? Eeeh Baba wa Taifa rudi uone Magogoni uliyoiacha safi inavyoviziwa kwa mizinga ya fedha na makombora ya rushwa
  15. J

    Hii mara nyingi hutokea kwa akina dada

    hawa ni wezi watakuwa wamedhurumiana
  16. J

    Hii mara nyingi hutokea kwa akina dada

    amelaaniwa kila apiganaye na mwenzake hadi akafikia kuvua nguo
  17. J

    Hii mara nyingi hutokea kwa akina dada

    bangi hizo si unawaona wenyewe, na hao wanaonekana kuwa wavuvi waliodhurumiana samaki
  18. J

    YANGA NA SIMBA YAINGIZA SH. MILIONI 390/; A LYON na TOTO siku hiyo hiyo Dar SH.27,000 watu 9

    siamini kama Yanga na Simba wameingiza kiasi hicho tu, lakini naamini ni zaidi ya hicho nikizingatia kuwa kiingilio kilikuwa kikubwa-kuna jamaa yangu aliwahi kuniambia kuwa timu hizo mbili zinapocheza, huingiza si chini ya nusu bilioni, na huyu ni mtu wa TFF, sasa kwa uongo huu wa TFF ufisadi...
  19. J

    Familia ya Nyerere mnaaibisha taifa

    Kama kuna uongo basi ni huu wa huyu jamaa yetu, kaburi la Mwalimu Nyerere ni sehemu ya makumbusho yake na hakuna mahali popote duniani ambako makumbusho haitozi fedha walau kidogo kwa ajili ya kuona 'mikusanyo' iliyoko ndani yake au iliyo katika eneo la makumbusho-kwa suala la kaburi la Baba wa...
  20. J

    Jussa: Hakuna "kupatana" na Watanganyika

    ni siasa hizo naamini wanazisoma na sidhani kama wanapaswa kupingana wao kwa wao ndani ya chama chao
Back
Top Bottom