Search results

  1. X

    Udom!! Udom!!!

    yeap kaka kwa watu wa kada ya afya waalishaitwa tokea siku nyingi walifanya interview november mwaka jana ........ ila kwa tetesi wengine wataanza kuitwa chuo kitakapofunguliwa na wanafunzi kulipa ada ili muwezi kulipwa hela za kujikimu kaka..... vuta subra kaka ila endelea na ishu zako huku...
  2. X

    Watumishi waafya mnatakiwa kuripoti kabla ya june 24

    dah hawa watu wanaongoza hii wizara ni janga la taifa kwa vile wao hawatibiwi kwny hospitali za umma ndo mana wanafanya hvyo huwezi kuongea hata siku moja kuna upungufu wafanyakazi wakelewa ....mtaani kuna madaktari wengi sana lakini hawataki kuajiri ... ukiuliza utaambiwa bado vibali...
  3. X

    Mishahara ya tanapa ikoje wakuu

    dah mkuu nenda kapige hyo interviw yko ..ukifaulu watakupa barua ya offer /mkataba kwenye huo mkataba ndo utakuta hayo yote unayoyaulizia...
  4. X

    Rais Kikwete angekuwa anatoa maamuzi magumu tusingefika hapa

    Ndugu yangu Hii ni tanzania na ni ya wachache wewe mnyonge na mie tutaendelea kuugulia tu hapa... Atakuwa vp na msimamo mkali wakati walimweka hapo madarakani ni washkaji zake na walitumia hela nyingi sana? Je watazirudisha vp hela zao pasipo kuingia mikataba yenye utatanishi ??je watazirudisha...
  5. X

    kazi vip jamani

    Dah wakuu siku hizi kupata kazi ni ishu sana wenyewe hawatangazi na hata wakitangaza basi kuna walakini...
  6. X

    Huu ni muda muafaka kwa Watanzania kuingia mtaani ili kuitoa CCM

    Sijui watu wengine wakoje et machadema kweli?? kweli weww unaona uchadema hapo au ?haihitaji elimu ya sekondari au chuo kujua kuwa wanakoendelea kutupeleka jamaa ni kubaya We utaishia kisema kachademu huku unalala njaa na kesho hujui utakula nini...kila siku ukiamka afadhali ya majuzi ile...
  7. X

    Serikali yatoa ajira "kibao" afya

    Wakubwa hzo ni siasa tu.....hamna cha ajira hapo
  8. X

    Kazi kibao wizara ya afya

    Kwa sababu haikuhusu ndo mana huelewi.... Endelea na shughuli za kujenga taifa kaka badala ya kuuliza vtu ambavyo hata havikuhusu....
  9. X

    Kazi kibao wizara ya afya

    Hizo ni siasa tu kaka Waziri alikuwa anajibu swali bungeni tu kaka ni porojo tu pale hamna kitu wewe tafuta chuo ukafundishe sio lazima upractice mdcn kaka unachezea bongo..liwalo na liwe kaka
  10. X

    Nafasi za kazi leo hii 2013.04.16

    1;-Monitoring and evaluation officer 2;-NMSF grants coordinator Applications should be addressd to Executive chairmain Tanzania commission for AIDS P O BOX 76987 DSM Deadline 2013.05.03 Mwajiri Bank of baroda tanzania ltd 1;-branch head 2;-senior manager 3;-secretary to managing director...
  11. X

    Kazi psrs

    Jamaa wametoa kazi kupitia gazeti la serikali daily news la leo hii 2013.04.15 1:-monitoring and evaluation (M&E) 2;-public financial manager Deadline ni april 30- Kwa maelezo zaid ya sifa kamata nakala yako ya daily news faster bila kuchelewa... Best of luck
  12. X

    Kazi kazi kazi -tra watt wa wakulima kazi kwenu

    1;-principal public relation officer 2;-Quality assurance 3;-web developer 4;-Assistant systems administrator For more information visit www.tra.go.tz
  13. X

    Majina ya walioomba kazi wizara ya afya haya hapa

    ..wakubwa kazi hamna kwa sasa wizara haihitaji wafanyakazi kama kweli ingekuwa inahitaji tokea wengine mmemaliza internship zenu tokea mwaka juzi mngekuwa mpo mtaani bila kazi??dah hii ndo tanzania liwalo na liwe ndo mana ya ule msemo aliosema bungeni
  14. X

    Nafasi za kujiunga na jkt 2013

    Mkuu unayeukizia jkt..kuna information ambazo nilizipata kwamba hawa jamaa wanarecruit kwa sasa madaktari tu pekee yao na wako willing kuchukua hadi watu 200kwa sasa ... Nadhani wanataka watu wa kuwapeleka darfoo na congo mashariki . Africa ya kati na sasa mali kwa ajili ya kutibu majeruhi...
  15. X

    udom vp jaman?

    Zilikuwa administrative post kaka... Vuta subra kaka wataita tu...
  16. X

    Ajira wizara ya afya

    sija kebeh mkubwa ila ukweli ndo huo ingawaje inauma sana hamna watu wanafiki na wasiopendana kama field yetu hii na wataendelea kutunyanyasa tena kwa sana tu.. nipate kazi wapi wakati intern yenyewe ishaingia majungu na sijui ntamaliza lini ..nasubiri kuhojiwa kaka.....life not easy at all
  17. X

    Ajira wizara ya afya

    ha ha vijana tulishindwa kuungana kwa pamoja kipidni cha mgomo kupiganian maslahi ikiwemo kubadili hzi system mbovu za kukalisha intern mtaani baada ya internship wengine mkakimbili kurudi kazini na wengine tukaambulia kifungi cha kiezi nane ..sasa hvi mnakuja hapa kulalamika ...na mimi hapo...
  18. X

    udom vp jaman?

    wameita watu wa kada ya afya mimi walinipigia tokea jumatano ya wiki iliyopita.......nadhani wengine mtafuatia... msikate tamaa mana sisi tulipiga oral tokea mwaka jana mwezi wa kumi na moja tarehe moja ... xo kama ipo ni ipo tu..
  19. X

    Usaili udom vipi?

    hv hawa watu mbona wako kimya sana ??wengine waliishia kufanya written hadi leo hamna updates...wengine oral tokea mwanzoni mwa november mwaka jana hamna updates .. dah nakupenda tanzania nchi yangu.....
  20. X

    Nyumba nyumba vyumba vinapangishwa mwenge

    hicho ambacho unakipanganisha kwa laki na nusu ukifika elfu 90 ni pm kuna jamaa anahitaji.......
Back
Top Bottom