Search results

  1. N

    kwa wasio na ajira walio Dar es salaam inatuhusu.

    wa mikoani tuanze yetu haya wale wa moshi wako wap jitokezeni
  2. N

    mtoto kaanguka

    ahsante,mwanangu kaanguka toka kwenye kiti cha urefu wa kama stool hv za kawaida,kaangukia sakafuni japo kuna carpet chin na hakupoteza fahamu kbsa,damu amemeza kdg sana kwani nilimsafisha kwa maji ya chumvi,meno mpaka uguse ulitingishe ndo utaona linacheza ni kdg kama vile jino la mtoto...
  3. N

    mtoto kaanguka

    msaada wadau mwanangu ana mwaka na miez miwili ,ameanguka kutoka kwenye kiti hadi chini akaangukia meno mawili ya juu mbele na yanatingishika japo ni kidogo sio sana na damu imetoka nying kiasi!nimempa paracetamol na amelala.je kuna shida yoyote na hayo meno kwa kuwa yanacheza kidogo?ushauri...
  4. N

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    nashkuru kwa ushauri nimeshapambana mno kila mahali hata kuvolunteer imekuwa shida naishia kupewa ahadi tu
  5. N

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    nashkuru kwa ushauri nitaufanyia kazi
  6. N

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    ndugu bila teaching skills nani ataniajir sasa
  7. N

    inatafutwa nyumba ya kupanga moshi

    wana jamii inahitajika nyumba ndogo ya kupanga iwe na maji na umeme,atleast vyumba viwili,jiko,choo na bufu sihitaji dalali.thanks
  8. N

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    ninunue wap ndugu kama nawe unafanya hii business nipe abc's zake plz
  9. N

    Tusingekuwa na tatizo la ajira

    sio jembe la mkono mwenyewe anakwambia wana trecta kama 60 kwa kata yote hivyo yanakodishwa
  10. N

    Tusingekuwa na tatizo la ajira

    Mmmh nimemsikiliza diwani wa kata ya kwadelo(kondoa) ITV leo kipindi cha kumekucha kwa kweli Hongera sana kijana,yeye kaamua kuhamasisha vijana wenzake walioko mjini wajiajiri katika sekta ya kilimo tena kwa kuwapa ardhi na kukopeshwa mitaji kwa kushirikiana na halmashauri yake,wanalima...
  11. N

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    we nipe kazi alafu useme unataka 2.5 ya kitu gani?
  12. N

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    ahsante kwa ushauri
  13. N

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    thankx 4 the courage von bado nina subira najua Mungu wangu c kiziwi ,ila ndo hivyo tunataribu njia ambazo wengine wametokea
  14. N

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    nashkuru ciello, vp nipe mchongo basi
  15. N

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    maisha ni malengo na kuchagua,mimi nimeona this is the way out kama we una namna nyingine ya kuendesha maisha bila ajira tujuzane.hizo ethics napaswa nikaziapply kazin c mtaan
  16. N

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    yaani diploma niongeze dau kwni una mpango wa kuja nilipa ngapi?c o bachelor ni dip jamani
  17. N

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    vigezo tunavyo ila undugu umezidi huko maofisini
  18. N

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    nimejaribu kwa uhalali zaid sipati nimeamua kuthink outside the box
  19. N

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    nashkuru kwa ushauri leona be blessed
Back
Top Bottom