Search results

  1. THE ONETATUS

    Yaani siku hizi ukigusa tu, unapewa bila hiyana...

    Hakuna atakachofanyiwa mwananume akose la kuongea juu yako zuri na baya halina tofaut kwenu
  2. THE ONETATUS

    Msaada wenu jamani ba-mdigu..

    Ninatumia samsung galaxy s3 lte, hivi hii sim haina Fm radio au mimi ndo sijui inapatikana wapi?? Naomba mnisaidie majibu wanaoifahamu vizuri hii sim..
  3. THE ONETATUS

    Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

    Nimefanya hivo zimeongezeka ila zile ambazo nilikuwa sijalipia hazijaonekana!! We ni hatari!! Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  4. THE ONETATUS

    Najuta kuchelewa kuijua ANDROID

    Te te te te te....!! Nashukuru sana mkubwa kwa kuniburudisha nimecheka sanaaaaaa... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  5. THE ONETATUS

    Kama huhusiki na hiphop usije hapa

    Aisee kundi A litanihusu zaidi. Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  6. THE ONETATUS

    Sina mzuka na mamito wangu...

    Kama hajakulea inaweza kuwa sababu pia ila la msingi jitahidi kila unapo muwaza baba ndo muda huo unampigia sim na mama au kama upo karibu pay her a vizt inaweza kukusahidia kuwa karibu naye kiasi furani.. Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  7. THE ONETATUS

    ati wazee wote wako vijijini.mjini wanaume wote uitwa baby

    Wizi mtupu!! Wanawake wa kisasa hao wanahitwa... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  8. THE ONETATUS

    Application not compatible with my damn phone

    hivi hizi nokia mbona zinazigua kwa upande wa apps maana na mimi nina NOKIA 5250 inanisumbua sna hasa upande wa internate na apps kama whatsapp niki istall haikai hata mwezi inahitaji update ukijaribu kuiapdade inakwambia no space mpaka inaniboa kusema kweri.
  9. THE ONETATUS

    Download free JF application for Blackberry

    vp kuhusu NOKIA wakubwa?
  10. THE ONETATUS

    Leo ni siku ya kukumbuka kifo cha hayati Mwalimu J.K. Nyerere

    Naombeni kujua wana JF kwa nini mwalimu alikataa balozi la ISRAEL lisiwepo hapa nchini Tanzania?
  11. THE ONETATUS

    Nisaidiwe mawazo

    Mi naona katika mwili wko utakuwa una matatizo cha kufanya mimi nakushauri kama mtu mwenye uzoefu na haya mambo,kuna mtu alikuwa na matatizo kama yako nikampatia product moja inahitwa FEMININE HERBAL na TREE-EN-EN nicheki nitakusaidia namba zangu ni 0658277192.
  12. THE ONETATUS

    Nasumbuliwa na tumbo naombeni msahada wenu

    nashhuru sana mkubwa ngoja kwanza niyafanyie kazi ulonambia ikishindikana niende tena kwa dactari.
  13. THE ONETATUS

    Nasumbuliwa na tumbo naombeni msahada wenu

    mkuuu iyo nayo tayari nimepima sina vidonda vya tumbo!!
  14. THE ONETATUS

    Nasumbuliwa na tumbo naombeni msahada wenu

    damu nishapima ila typhoid hakuna nkubwawangu
  15. THE ONETATUS

    Msaada wako ni muhimu

    tumia join air itakusaidia utatumia line yoyote.... samahani kama nipo kinyume na swali.
  16. THE ONETATUS

    Nasumbuliwa na tumbo naombeni msahada wenu

    Tumbo linanisumbua sana nilijarb kwenda hosp nikachukua vipimo nikahambiwa choo ndio kinasumbua nikapewa dawa hila dawa haijanisaidia chochote pia naweza nisipate aja kubwa kwa muda wa siku 4 hadi 5 na nikila muda kidogo njaa nisaidieni jamani
  17. THE ONETATUS

    Msaada: Matumizi ya olive oil na nguvu za kiume

    naashukuru sana kaka imeipata hiyo...
  18. THE ONETATUS

    Keys za idm na youwave

    kwa IDM tunia hizo XBVS3-12WG3-248T3-IE3UC PKHK9-G47KQ-25KVP-LQLKX 6K5R0-65D1N-4DF10-LH6XI
Back
Top Bottom