Search results

  1. Tanganyika one

    Jamani natafuta chumba maeneo ya kinondoni

    Kiwe na maji ,umeme , sakafu nzuri bei kuanzia sh.0>>>>>tsh 80,000/=
  2. Tanganyika one

    Research uraisi 2015

    Naomba upige kura hapo chini ni pata majibu ya research yangu ya uraisi 1.ccm 2.chadema 3.cuf 4.nccr 5.tlp
  3. Tanganyika one

    Zuzu akiwa na mwalimu wake ndani ya chumba cha mtihani

    University students waliingia kwenye quiz ya kuongea,two friends ambao walikuwa wakisaidiana walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ammezeshe mwenzie. Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana na wanafunzi walishagundua kuwa maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa...
  4. Tanganyika one

    New bites & vitafunio in dar es salaam

    packing yake tumeitengezeza kwa kutumia mifuko laini inayo ruhusu hewa kupita ili kuzuia joto kukaaa ndani ya mfuko, Bei yake ni TZ shilingi 1000 kwa kimoja kinacho kua na vipande vitano , nakuhusu uwezo wa kukaaa muda wa siku 45 inatokana na kwamba viko katika hali ya biscuits ndo maana vina...
  5. Tanganyika one

    Zuzu amwandikia barua bill gate tar 1

    Kwenda kwa: Bill Gates, Microsoft Kutoka kwa: Zuzu, Tanzania Tarehe: 1 Oktoba 2012 Yahusu: Matatizo kwenye kompyuta yetu mpya. Ndugu Bill Gates, Anko wangu amenunua kompyuta mpya kwa ajili ya kutumia nyumbani kwetu. Nilipoichunguza nimegundua ina matatizo kadhaa. Nimeamua kukuandikia barua hii...
  6. Tanganyika one

    nae huyu ni wakwe2 pia

    SEMINA UBUNGO PLAZA; Watu wakaanza kujitambulisha, wa1; mimi naitwa john niko UDOMmwaka wa wa pili, nasoma LAW; wa2 naitwa Stella niko UDSM mwaka wa tatu nasoma PUBLIC RELATION, wa3 kwa kusuasua saaana huku akijishtukia, aaah, aaaaahh, eeeehhh eeeeehh mimi naitwa Paulo niko TANESCO mwaka wa4...
  7. Tanganyika one

    lijue babila lako na uchapiaji wake

    1. Ukiona kila unapotaka kusema FANTA, unasema FANDA ujue una damu ya Kihehe 2. Ukiona kila unapotaka kusema SODA, unasema THODA ujue una damu ya Kipare 3. Ukiona kila unapotaka kusema KAFARIKI, unasema KAFWALIKI ujue una damu ya Kihaya 4. Ukiona kila unapotaka kusema CEILING BOARD, unasema...
  8. Tanganyika one

    New bites & vitafunio in dar es salaam

    sawa kiongozi wangu kwajina ninaitwa DESELER ladha yake kukuelezea ni ngumu ila mchanga nyiko wake wakati wa utengenezaji una fanana na wa keki ila hivi vina zidishiwa mahitaji na huokwa wakati wa upikaji mbali na hapo upati kanaji wake ni dar es salaam MIKOCHENI B number ya simu ni...
  9. Tanganyika one

    Watanzania je tunayajua haya juu ya vyama vyetu vya siasa?

    mie nikijana mdogo sana nina pata miaka 21 sasa tangu akili yangu ilipo pata kutambua kwamba hii ni nyekundu na hii ni nyeupe nimekua nikipata shida sana kwani kwanilivyo sikia wenzetu MAREKANI wana mpango wa nchi yao miaka 100 mbele .ila vyama vye hivi vimekua viki toa ahadi ya kendeleza nchi...
  10. Tanganyika one

    Wanaume wanaohongwa na wanawake

    haswaaaa maana yangu ndio hiyo anahongwa na ana pewa ujira wa penzi
  11. Tanganyika one

    Utajuaje kuwa anakupenda au anakutumia tu....?

    kipimo cha mapenzi ya kweli ni kipi na utajuaje kwamba mwenzio anakupenda kiukweli?
  12. Tanganyika one

    Mtoto wa umri wa miaka mitano na matarajio ya kua raisi wa nchi!!!!!!!!

    waweza kusema neno lolote juu ya mtoto huyu na mtazamo wako kuhusu picha hiii wewe kama wewe imekufanya ufikilie nini juuu yake????????
  13. Tanganyika one

    Wanaume wanaohongwa na wanawake

    jamani mie nina swali nataka kujibiwa nyie mna mchukuliaje mwanaume asiye fanya kazi , akiwa na elimu yake na nguvu zake akihongwa na mwanamke kwa ujira wa penzi?
  14. Tanganyika one

    New bites & vitafunio in dar es salaam

    Hongera kwaku comment, hata hivyo wafer kama uviitavyo wewe vina fanana kwa ukaribu na (DESELER) bites hizi mpya ninazo tangaza kwa mfano mchanga nyiko na mwonekano kidogo ila sifa kubwa ya deseler mbali na mashine rahisi na adimu in ayo tengeneza hua zina dumu kwa muda mrefu na zina ladha ya...
  15. Tanganyika one

    New bites & vitafunio in dar es salaam

    kwa wafanya biashara wadogo wadogo , wanao husika na vyakula mbali mbali ,na kwa matumizi ya nyumbani, tuna watangazia BITES au vitafunwa vipya jijini DAR ES SALAAM , asili yake ni nchi ya france,hutumika muda wowote ule uhitajipo, unaweza kuagiza kiasi chochote uhitajicho na kuletewa pale...
Back
Top Bottom