Search results

  1. bonnykessy

    Shamba linauzwa Kilimanjaro

    Kia stand ya ndege(uwanja wa ndege/Kilimanjaro international airort) iko wilaya ya hai,kia stand ya magari iko wilaya ya siha, pia mfahamu moshi ni wilaya kama wilaya nyingine hivyo ni kajisehemu tu cha mkoa wa kilimanjaro hivyo siyo kila aliyeko kilimanjaro yuko moshi.
  2. bonnykessy

    Ananishawishi sana kuingia kwenye QNET mpaka anakera!

    Halo! Mimi pia nimeshabananishwa sana na binti niliyesoma nae advanced! Yaani ulichokieleza ni copy and paste, nilivyokuwa nasoma huu uzi nilijihisi umeniandikia au wewe ndiyo mimi.,kiufupi mpotezee usiwe na akili za mbayumbayu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bonnykessy

    Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

    Acha utapeli, waambie watanzania ukweli,..s.h.w.a.i.n eti nimeingiza sh ngapi??!!mipichapicha yako hainitishi hapa, watumie familia yako,mimi inaninufaishaje?, kha! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bonnykessy

    Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

    Fanya kazi halali, acha janjajanja! Unalaghai watu hapa, nyie ni mijambazi hatari sana zaidi ya wanaotumia silaha za moto. Mnabore nyie!!! yaani mnabore, tena mkome na mlegee,ACHA UWIZI!, ningekuwa na uwezo ningekutandika makofi humu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. bonnykessy

    Kwa anaejua kuhusu hizi mambo za BIASHARA YA MTANDAONI anieleweshe

    .hahahahaaa qnet Sent using Jamii Forums mobile app
  6. bonnykessy

    Mwenye CV ya Rose Sandi, afisaelimu msingi Halmashauri ya Wilaya ya Siha

    Hiyu mama wa watu unamchafua bure tu jamani, mbona hana shida na mtu,ni mstaarabu sana tu na msikivu sana kwa ninavyomfahamu, .Mtoa uzi wewe una chuki binafsi.
  7. bonnykessy

    Mwenye CV ya Rose Sandi, afisaelimu msingi Halmashauri ya Wilaya ya Siha

    Mhh mkuu ni bora uende kwenye ngazi husika watakupatia kwa utaratibu wanaoujua wao, lasivyo itakuwa ni umbea huu.
  8. bonnykessy

    Confession: Kiukweli mawachukia walimu

    ..mtoa mada usikute uneshapewa suspension ndiyo unaitumikia sasa ndiyo maana unawachukia walimu, hakika wewe ni mwanafunzi tena form II hivyo usituchore,haiwezekeni kwa post yako kweli kama umehitimu na kufaulu alafu ukayaandika haya kwa waliokutoa upumbavu na ujinga!!!
  9. bonnykessy

    INAUZWA Photocopier cannor Ir 2018

    Asante kwa taarifa
  10. bonnykessy

    Msaada!!. Tuna mtoto wa miezi minne, unfortunately imenasa.

    Duh! Mtoa mada huna hofu ya Mungu, ilo wazo la kutoa mimba lifute na katubu, wewe wangekuflash ungejijua hii leo?? Shame on you!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. bonnykessy

    Payroll za mshahara wa mwezi huu hazina mabadiliko yoyote ya mshahara

    Kauli ya kulimia meno mnadhani ilimlenga nani?? Mmeitaka wenyewe,acha muisome namba..**M **M mbele kwa mbele,komba huko alipo bwn amrehemu,apate pumziko la umilele AMINA. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. bonnykessy

    Naombeni kufahamishwa hivi kardinali ni cheo au jina la mtu?

    Mhadhama ni neno la heshima kama tunavowaita wabunge "mheshimiwa", cardinal ni cheo anachopewa askofu kila nchi kama balozi wa baba mtakatifu kwa hiyo nchi kikatoliki,cardinal wanachaguliwa na baba mtakatifu,na baba mtakatifu anachaguliwa na makadinali ambao lazima wawe na umri fulani,nadhani...
Back
Top Bottom