Search results

  1. T

    CCM tumefika mwisho wa kufikiri, tuwape nchi Wapinzani

    Wapinzani watakaotoka ndani ya CCM. Bahati mbaya wale wenye mawazo mbadala waliopo CCM wanafahamu kuwa mawazo yao ya kuleta mabadiliko ya kweli hayakubaliki na Wahafidhina wa chama chao. Na wao WANAOGOPA kutoka na kuanzisha chama kingine kitakachokuwa na nguvu ya kuiweka pembeni hii CCM...
  2. T

    Ananinyima tendo la ndoa, kisa eti amefunga

    Naona bado hujanielewa nilichoandika. Rudia kusoma kwa utaratibu
  3. T

    Ananinyima tendo la ndoa, kisa eti amefunga

    Jifunze kutofatisha baina ya Tendo la Ndoa na tendo la ngono au tendo la zinaa. Tendo la ndoa linafanyika baina ya wanandoa. Wewe umekataliwa kufanya tendo la ngono/zinaa na mchepuko sio mkeo huyo. Ushauri: Acha zinaa ndugu. Baki Njia kuu.
  4. T

    Kumuona nabii kiboko ya wachawi ni laki tano

    Poleni kwa changamoto hiyo ya kifamilia. Msikate tamaa. Pamoja na hayo yote, bado WAPO WATUMISHI WA MUNGU WAKWELI. Na wapo ninaowafahamu pia. Wana karama ya kuombea wenye changamoto mbalimbali za kimaisha kwa kutumia Jina la Yesu Kristo tena bure kabisa. Yesu aliwausia watumishi wake kwamba...
  5. T

    Nahisi nimelaaniwa wakuu, kila ninachofanya hakiendi

    Hizo Safari unazokunywa ndio zinazidi kukumaliza!
  6. T

    GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

    Kuwa mzalendo ndugu. Tuziombee heri timu zote. Zote zikifanya vizuri heshima itakuwa kwa Watanzania wote.
  7. T

    Ijue vita ya Kiroho ya Mapenzi

    Dawa ya kuepukana na hayo yote ni kuachana na uzinzi tu basi. Tuache zinaa. Tubaki njia kuu ili kujiepusha na masaibu ya aina hii na mengine yanayoendana na hili.
  8. T

    Azizi Ki tukitolewa kazi unayo, tafuta chimbo la kujificha kabisa!!

    Msameheni tu huyu ndugu. Inaonekana Hana ufahamu wa kutosha kwenye sheria na kanuni za soka.
  9. T

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Mimi nafikiri Sio uoga bali wanacheza kwa tahadhari. Ingekuwa uoga wangekuwa wanabutua mipira hovyo.
  10. T

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Hata kama katazo si jipya, je, ni katazo halali kwa taifa linalojinasibu kuwa lina uhuru wa imani kwa wananchi wake? Ili kuweka usawa, basi katazo hilo liwepo pia kipindi cha Kwaresma. Vinginevyo litolewe lisiwepo kabisa ili kuweka usawa kwa dini zote.
  11. T

    Kampuni ya utalii yapigwa faini kwa kuwaruhusu Watalii kula hadharani Zanzibar

    Imani na matendo ya imani kwa Mungu wa kweli haihitaji kutumia nguvu za kimwili. Kufunga kwa ajili ya mambo ya kiroho kunahitajika imani na uvumilivu. Ni kujizuia kula kwa muda uliopanga wewe binafsi au kupangwa na dini au madhehebu yako. Haijalishi utakiona chakula mbele yako au utamwona mtu...
  12. T

    ATCL yapanga kuwa na uwanja wake ndani ya Julius Nyerere Airport

    Kujengewa Uwanja wake? Hapa bado sijaelewa. Je, hii inamaanisha watakuwa na njia yao peke yao ya kurukia ndege (runway) au ni jengo la abiria (terminal building)?
  13. T

    Asante Mungu muumbaji wa Mbingu na Ardhi kwa wema na Rehema zako

    Namshukuru Mungu kwa wema wake kwangu. Pamoja na changamoto mbalimbali ninazopitia hapa duniani, bado wema wake ni mkuu mno kwangu. Ndugu wasomaji wa ujumbe huu, nawasihi tuwe na tabia/desturi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu hata kwa kidogo tulichopewa. Shukrani hufungua milango mingine ya baraka...
  14. T

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Hivyo viatu vina sura inayofanana na pasi ya mkaa. Inaonekana ni vizito
  15. T

    Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha uhamishiwe Mwanza

    Maoni yako tumeyapokea, ila kwa sasa hayatabadilisha chochote. Uamuzi umeshafanyika, uwanja unajengwa Chuga- Geneva of Africa. Nyie Wasukuma endeleeni kusubiri zamu yenu, sijui itafika mwaka gani?
Back
Top Bottom