Search results

  1. Haliali

    Wizara ya fedha naomba ufafanuzi wa PAYE (kodi), mbona haijashuka mpaka leo?

    Waziri wa fedha na mipango July 2016 alilitangazia bunge na wananchi kuwa PYE itapungua kutoka asilimia 11 hadi asilimia tisa. Waajiriwa tulifurahia sana na bunge kwa kauli moja waliipitisha budget hiyo. Leo ni mwisho wa mwezi wa januari 2017 yaani miezi sita imeshapita na hatujaona hayo...
  2. Haliali

    Sherehe za Mapinduzi: Fahali wawili hawakai zizi moja

    Nachanganyikiwa sielewi vile
  3. Haliali

    Waalimu wahamia kuendesha bodaboda na kupiga picha mitaani

    Hahahaha, dah pole yenu walimu.
  4. Haliali

    Tahadhari: Benki nyingi zinaweza kupata hasara na nyingine kufilisika

    Katika bank ambazo sina wasiwasi nazo ni CRDB
  5. Haliali

    Miezi minne sasa Jeshi la Uhamiaji, halijatoa Mshahara wala Posho kwa Askari wake

    Uhakiki wa wafanyakazi hewa unaendelea, wawe na subira tu.
  6. Haliali

    Bei elekezi ya sukari imeota mbawa?

    Bunge la awamu hii limekuwa la watu wanao jipenda wenyewe na kutusahau tulio wachagua. Ee Mungu ibariki Tanzania
  7. Haliali

    Magufuli: Watumishi hewa wamefikia 10,295. Ashusha kiwango cha kodi katika mishahara

    Nikiangalia mmchanganua wa mwaka uliopita, siku zote hili jambo linawahusu wale wanaopata mshahara chini ya 360,000/ hawa wengine nidanganya toto tu. ukiangalia salary slip unaweza pata ugonjwa wa moyo. nibora salary slip wabakigi nazo tu, nisheeeda
  8. Haliali

    Kwa kutaja mshahara wa rais,TZ yenye neema inakaribia

    Napita tu. Ni tajibu swali baadae, ngoja niende kanisani kwanza nikamuombee rais wetu
  9. Haliali

    CUF hakushiriki sasa makelele ya nini

    hahahahaha, najua hiyo nijanja ya CCM, mmeibigia kura CUF nyie wenyewe ili mtafute uhalali. hiyo ni danganya toto, na maigizo ya bongo moves.
  10. Haliali

    Maajabu ya Manispaa ya Arusha yanayotakiwa kuigwa na mikoa mingine

    wanapatikana kwa wingi arusha. wachaga mnawasingizia tu
  11. Haliali

    Dhambi ya bandari haitamuacha Jakaya Kikwete

    Nasubiri maoni ya Bro Ritz
  12. Haliali

    Eng. Stella Manyanya aanza kwa kasi ya Magufuli, afanya ziara ya kushtukiza TEA, atatimua waalimu!

    Mnajuwa kudanganya watu sana. eti kakuta mambo safi kwenye ziara ya kushtukizia, hapo hapo anakabizi madawati. haingii akilini kabisa
  13. Haliali

    Kuanzia Januari 2016 wasanii kulipwa na Redio na Televisheni zitakazotumia nyimbo zao

    Nafikiri hatujaelewana sehemu moja hiyo stika ya tra pesa analipa nani, mfano CD nainunua kwa sh 5000 ambayo ina include 18% kodi. hapo ni mie nimeilipa hiyo kodi wala siyo msanii. Pia kama wamekubaliana kulipwa kwenye kila wimbo utakao chezwa kwenye tv au radio basi wakubali kuwa na EFD...
  14. Haliali

    Kuanzia Januari 2016 wasanii kulipwa na Redio na Televisheni zitakazotumia nyimbo zao

    ufafanuzi please, analipa yeye kama msanii au mtumiaji au mnunuzi ndiye anaye lipa? nafikiri muuliza swali alimaanisha PAYE. Inatakiwa wakifanya onyesho popote 13% yamapato yote inaenda TRA, sawa? hapo tutaenda sawa
  15. Haliali

    Aliyeshindwa ubunge kuvunja chungu

    Hii ya John D wa arumeru mashariki ni kweli kabisa. kinacho muuna zaidi Nassari kamuacha kwa kura nyingi sana. tofauti ya kura elfu hamsini(50,000) siyo kidogo. Ila amekoma hatarudia tena
  16. Haliali

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Na wasiwasi sana na uraia wako. hujui kiswahili dah, yatakayoludiwa-----yatakayorudiwa kula -----Kura Hatutaluhusu -----Hatutaruhusu kuludia-------------Kurudia
Back
Top Bottom