Search results

  1. W

    Uchaguzi 2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

    Haujasema kitu kipya Pascal. Mifumo na taratibu zetu za uchaguzi ni zilezile. Matokeo pia hasa ya urais yatakuwa yaleyale. Kilichokuwa kinatakiwa ni 'ushindi' wa 90% au zaidi. Huo nao utapatikana tu.
  2. W

    JWTZ na Polisi nao hupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu kwa Tanzania Bara?

    Wanapiga kura zote kuanzia mwenyekiti wa mtaa/kijiji. Katiba inawaruhusu.
  3. W

    Uchaguzi 2020 Nitashangaa Wafanyabiashara kumnyima Magufuli kura

    Wafanyabiashara wa nchi hii wana chama kimoja tu cha siasa cha kujiunga nacho, CCM pekee. Vinginevyo wewe utalala na kuamka na TRA.
  4. W

    JWTZ na Polisi nao hupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu kwa Tanzania Bara?

    Askari wetu wanapiga kura. Someni Ibara hii ya 147 ya Katiba yetu:
  5. W

    JWTZ na Polisi nao hupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu kwa Tanzania Bara?

    Raia wa nchi hii mwenye umri wa miaka 18 anapiga kura wakiwemo wanajeshi, polisi, magereza, uhamiaji, zimamoto na wengine wote. Wasichoruhusiwa askari wetu ni kujiunga na vyama vya siasa na kufanya siasa ingawa wanaipenda sana CCM.
  6. W

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli hajawahi kushindwa, hatashindwa

    Mitandao tu imemshinda kuhimili.
  7. W

    Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

    Hata wewe Pascal? Kwa nini upande wa pili wakiripoti matukio kama haya tunatanguliza mashaka kwanza?
  8. W

    Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Moderators hamtendi haki kuunganisha posts. Hili la kufikiri kwa niaba yetu members wenu sio sahihi. Mnaviza na kufifisha fikra zetu. Acheni tabia hii. Kama post haina wachangiaji inajiondoa yenyewe. Moja ya mambo yaliyosababisha nikawakimbia kwa muda mrefu ni hilo la kuunganisha mawazo na...
  9. W

    Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Najiuliza sipati jibu. Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze. Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu? Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
  10. W

    Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Ushoga hata serikali inauhimili. Nakumbuka Makonda alipoukomalia serikali ilimruka.
  11. W

    Spika Ndugai ana jukumu la kumuita mbunge wa Gairo, Shabiby kwenye kamati ya maadili kwa kumtumia sms zisizofaa DC wa Gairo!

    Shabiby awe muangalifu tu au ajifunze toka kwa yule tajiri wa mabasi wa Tarime, Zacharia. Ajue pia enzi hizi ni za tajiri kufanywa chochote.
  12. W

    Sakata la TZS 1.5 Trilioni: Serikali yakiri haikupeleka Zanzibar TZS 204 Bilioni

    Naomba niwe mjumbe wa Tume/Kamati itakayochunguza sakata hili la TShs 1.5Tr. Nitaanza na Mikutano Mikuu miwili ya CCM ilivyogharamiwa baada ya Mwenyekiti wa CCM kukataa fedha ya wafadhili wake wa miaka yote. Kuna ule MkutanoMkuu uliofanyika kumchagua na ule wa Uchaguzi MKuu ndani ya CCM. Baada...
Back
Top Bottom