Search results

  1. A

    Fuatilia uefa live hapa !!!

    Hongera Bayern kwa bao 4 kwa kalai
  2. A

    Fuatilia uefa live hapa !!!

    kama hapakutoshi Bofya na hapa
  3. A

    Fuatilia uefa live hapa !!!

    Football / Soccer Live Scores and Match Results - ESPN FC Utapata update kila dakika ingawa hautaona moja kwa moja
  4. A

    Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

    onyesheni hata mlizovaa ndani sasa!
  5. A

    Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

    Siku ukikamata tablet si utaimba na wimbo?
  6. A

    Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

    Hatuhitaji kujua aina ya visimu mnavyotumia, ni ushamba mkubwa heti kwa kuwa unatumia simu ku google, basi unafikiri uko juuu saaaana! Lo! eti 'sent from my nokia asha, ...... sent from my blackbel' Hivi tangu simu zimeanza kutumika Tanzania nyie ndio kwanza mnaanza kutumia internet kweye simu...
  7. A

    Kwaheri airtel internet!!!!!!

    tulifurahia hapo kale kwa gharama nafuu, na speed kiasi; lakini sasa ni hovyoooooo kabisa
  8. A

    Kwaheri airtel internet!!!!!!

    Mbali na kuongeza gharama maradufu za kutumia Internet kwa wanaotumia modem, ni wiki moja sasa mtandao huu umeelemewa kabisa, hata kufungua email inashindikana! yaani ni zaidi ya slow. ninachofurahi imenifanya kupata mbadala iliyo bora zaidi. kwaheri airtel
  9. A

    Redio imani: Tcu imewekwa kudhoofisha uislamu

    Ni kipindi kinachoendelea asubuhi hii. sijui kama hawa wachambuzi ni timamu kweli!
  10. A

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Ni kweli waislamu wameharibu mali katika makanisa matatu mbagala - kova
  11. A

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Mungu ndo mwenye imani na anaweza kuitetea mwenyewe tu! ulikuja uchi na utarudi hivyo hivyo
  12. A

    Watoto wa vigogo waiteka UVCCM!

    Inawezekana hata vijukuu vyao ambavyo havijazaliwa tayari vimetengewa nafasi tayari!
  13. A

    Baba mkubwa kwa english anaitwaje?

    sambamba na hayo ze wazungu hawana ba mkubwa wala ma mkubwa wala mdogo; wana ze 'uncle' and ze 'aunt'
  14. A

    Kikwete, akutukanaye hakuchagulii tusi!

    Bado bukta ataenda kupewa China
  15. A

    Nisipofanya mapenzi kwa muda mrefu

    Je kuna madhara yoyote yanayoweza kunipata?
  16. A

    Hatari Chooni kwako!!!

    Bora nikajisaidie porini
Back
Top Bottom