Search results

  1. M

    Kusini tunajiandaa kutoa matamko makali dhidi ya ukimya wa Dr Slaa na Mh Mbowe

    Cjakuelewa. Watamke nn ambacho hakijasemwa na zitto subiri.
  2. M

    Waandamanaji wa Mtwara ni hawa hapa

    MBONA UNACHOSEMA NI TOFAUTI NA HALI HALISI KULE MTWARA ? nadhani ubongo wako umepata shock ya gesi. uje upya na hoja ya maana. tutakuhamasisha ule mizizi, shauri yako.
  3. M

    Sijamwamini SLAA..

    Dr. Ni kiboko , usiku kucha anatafutwa kuchafuliwa kisa ni vile anavopata umaarufu. Hakuna wanasiasa wengine e e e e e ? Mnanichosha . Endeleeni tu ila mnamwongezea cv.
  4. M

    Mwampamba Amjibu Dr Slaa

    Unaonaje mwampamba uende kufungua kesi mahakamani kudai hayo. kibaraka ww na wenzio hamwezi kufanikiwa adhima yenu.no point no issue here.
  5. M

    Kibaha: CHADEMA yaporomoshewa matusi ya nguoni, mpango wa utekelezaji wa ilani wawekwa pembeni...

    mwenzie LUSINDE yuko wapiiii ? ILANI YA CCM IMEKUWA NI CHADEMA, AAAH, CHADEMA WAKO JUU NA BADO. ATAKUMBUKA NA NGOMBE WALE WA KIENYEJI.
  6. M

    Opinion: Shukuru Kawambwa ni waziri mbovu kuliko wote Tanzania

    Wa kwetu akale wapi ? Cku hizi ni bora liende. Hata mwendawaimu anaweza akaongoza taasisi, mkuu wa kaya yuko likizo.
  7. M

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    ISSUE HAPA NI SERIKALI KULINDA NA KUONDOA KERO ZOTE ZA JAMII NA MAKUNDI HALALI AMBAYO YANATAMBULIKA KWA KUKEMEA IWAPO KUNA UPOTOSHAJI NA KUFAFANUA MAMBO AMBAYO HAYAJAELEWEKA KWA JAMII. SOMA VIZURI TAMKO NA MKATABA ULE WA MoU UPATE UFAHAMU, USITUMIE NGUVU UKAACHA AKILI NYUMA.
  8. M

    CCM yafuata nyayo za CHADEMA, CUF

    Mbona anaumauma maneno ? Wananchi wangapi hawana uwezo wa kukata rufaa kama giant lema na wamedhurumiwa haki zao ? Utawala bora wa ccmizi hadi ukate rufaa ? Wewe zoba kweli, hiloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
  9. M

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Mbona propaganda zako hazina mashiko ? Ndo zile pesa ulizopewa na mwigulu na nepii ?
  10. M

    CHADEMA yajipenyeza Tabora, Yashinda kwa kishindo uchaguzi

    Ina maana watu wa vijijini wameanza kuelewa ? Kazi ipo.
  11. M

    Naibu katibu mkuu CCM Mwigulu adoda MWANZA

    Patupuu hapo. Anawaza fumanizii lake.
  12. M

    Tundu Lissu, Terezya Huvisa ndani ya EATV

    Ungemwita welema afundishwe mambo na lisu.
  13. M

    Arusha kwatibuka CHADEMA wawakimbia CCM Narok

    Huyu alikimbia darasa, kinyaa kitupu.
  14. M

    Re: Falsafa ya Mzee Ndimara juu ya umiliki wa kadi ya chama kingine

    hiyo kadi alilipia wapi , ofisi gani na mda gani kama siyo porojo tu. Kichwa kibovu.
  15. M

    BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Hakuna cha uchawi wala dawa ya loliondo , takataka zinaondoka zenyewee mapemaaa. Hakuna kulealea uozo kama wanavyofanya CCM.
  16. M

    Serikali kandamizi husababisha uasi ndani ya nchi - Godbless Lema

    maneno ya lema yamekung'ata mzee wa bk. Poleeee, vumilia.
  17. M

    Habari Leo: CHADEMA kuingia msituni wakishindwa uchaguzi wa 2015

    Hiyo ni porojo ya ccm kwa wtz, kwa kuhisi kuwa watanzania waleeeee, ndo hawa wa leo. Mambo ni tofauti sana na mfanye haraka kurekebisha daftari la wapiga kura msisingizie fedha hakuna. Waone masikio yao.
  18. M

    Haya ndiyo matokeo ya kukimbia shule, masikini CHADEMA...

    hapa nape alicholeta ni matusi na kujidhalilisha tu. Unaweza ukasoma darasani na usielimike. Shusha hoja za kitaalamu kama alivyoshusha mwenzio na wengine wana jf. Pale mwanza yule mwanamke (mccm mkoa) tuna ushahidi alitangaza kuwa atawaondoa wale viongozi wa tanrods na tanesco mkoa kwa issue...
  19. M

    Mwigulu Nchemba ni mtoto wa mkulima kweli! Kwanini aipende CCM hivi?

    Ana akili za ovyo mno na hata ukimuuliza kwanini ng'ombe wa babake wamekondeana vile pamoja na yeye kusoma shule. Wala hana majibu ya kwanini hali ya maisha ya ndugu zake pale jimboni ni duni vile hata baada ya ccm kuwepo madarakani. Kumbe hajaelimika. Mtangazaji alijaribu sana kumpa maswali ya...
  20. M

    Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

    Apelekwe mahakamani akathibitishe hayo, akileta mzaa arudishe gharama za kesi. Zuzu kazuzuliwa na zuzu mwenzie
Back
Top Bottom